Fahamu Zaidi @fahamuzaidi Channel on Telegram

Fahamu Zaidi

@fahamuzaidi


Managed by Fahamu Media Team.

Fahamu Zaidi (Swahili)

Karibu kwenye Telegram channel yetu inayoitwa 'Fahamu Zaidi'! Channel hii imeanzishwa na timu ya Fahamu Media ili kukuletea habari na maarifa zaidi kuhusu mambo mbalimbali yanayojiri katika jamii yetu. Fahamu Zaidi ni mahali pazuri pa kupata taarifa sahihi, za uhakika na za kuaminika kuhusu masuala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kitamaduni. Kwa kupitia channel yetu, utapata makala, video, na mjadala wa mara kwa mara kutoka kwa wataalamu wa masuala hayo. Fahamu Zaidi inalenga kuelimisha, kufahamisha na kuelimisha jamii yetu kwa njia bora zaidi. Jiunge nasi leo ili uweze kufahamu zaidi kuhusu dunia inayotuzunguka!

Fahamu Zaidi

09 Nov, 16:39


Tafiti: Kulia wakati unatazama filamu ni moja ya kiashiria una afya bora kihisia (emotional strength).
#Fahamumedia #Fahamuzaidi

Fahamu Zaidi

30 Oct, 17:12


Tafiti: Watu wanaopenda kuonekana 'smart', ndio huongoza kuwa na uoga wa kukataliwa zaidi.
#Fahamuzaidi #Fahamumedia

Fahamu Zaidi

23 Oct, 17:51


Kujamba mara kwa mara ukiwa karibu na mwenza wako ni moja ya kiashiria cha upo kwenye uhusiano imara!
#Fahamumedia #Fahamuzaidi

Fahamu Zaidi

22 Oct, 14:22


Saikolojia: Wanaume wana kawaida ya kufanya maamuzi magumu na hatari zaidi kama kutakuwa na wanawake warembo karibu!
#Fahamuzaidi #Fahamumedia

Fahamu Zaidi

17 Oct, 19:15


✍️ Chapo 255
#Fahamumedia #Fahamuzaidi

Fahamu Zaidi

16 Oct, 18:27


Ukitaka kumtoroka mtu aliyelala bila kumstua, usimuangalie usoni!
#Fahamumedia #Fahamuzaidi

Fahamu Zaidi

16 Oct, 17:02


Tafiti: Urefu wa kidole gumba chako, ni sawa na pua yako!
#Fahamumedia #Fahamuzaidi

Fahamu Zaidi

09 Oct, 16:55


Moja ya uongo unaongozwa kufanywa na watumiaji wa intaneti, ni pale wanapoambiwa kusoma na kuelewa masharti na taratibu kisha kukubali. Wengi hukubali bila hata kusoma kidogo!
#Fahamumedia #Fahamuzaidi

Fahamu Zaidi

04 Oct, 09:54


85% ya mambo unayo hofia huwa hayatokei!
#Fahamumedia #Fahamuzaidi

Fahamu Zaidi

03 Oct, 19:14


#Fahamuzaidi #Fahamumedia

Fahamu Zaidi

03 Oct, 18:29


Tafiti: Kicheko husaidia kupunguza kitambi na unene uliopindukia!
#Fahamuzaidi #Fahamumedia

Fahamu Zaidi

24 Sep, 18:18


1. Kupenda kusoma.
2. Uwezo wa kuzungumza lugha ya kigeni.
3. Uwezo wa kutumia kifaa fulani cha muziki.

Ndio vitu vinavyowavutia zaidi wanawake kwa wanaume wanaopenda/uwezo wa kufanya hivyo!
#Fahamumedia #Fahamuzaidi

Fahamu Zaidi

24 Sep, 14:32


Tafiti: Wanawake hawavutiwi na wanaume wanaopenda kucheza kamari, kutazama video za ngono na wanao sapoti harakati za kutetea wanaume!
#Fahamumedia #Fahamuzaidi

Fahamu Zaidi

24 Sep, 10:59


Kukaa kimya hutoa majibu mazuri zaidi hasa katika mazingira haya;

- Kwenye ugomvi wa maneno.
- Kama hauna uhakika kama hilo jambo ni ukweli.
- Mtu mwingine akiwa anaongea.
- Unapokosolewa.
- Unapotaka kuweka umakini kwenye jambo fulani.
#Fahamuzaidi #Fahamumedia

Fahamu Zaidi

28 Aug, 13:19


Tafiti: Ubongo haupendi kujisumbua!
#Fahamumedia #Fahamuzaidi

Fahamu Zaidi

28 Aug, 13:19


Tafiti: Ubongo unapenda zaidi kulaumu kuliko kusifia!
#Fahamuzaidi #Fahamumedia

Fahamu Zaidi

26 Aug, 15:29


Vyanzo vilivyotumika kuhusu uwezo wa nyuzi za buibui;

1. https://curiokids.net/en/can-spider-webs-really-stop-a-train/#:~:text=a%20chemical%20reaction.-,The%20Spider%20Web%20strength,a%20large%20amount%20of%20energy.

2. https://www.smithsonianmag.com/smart-news/could-spider-silk-stop-a-moving-train-29344557/

3. https://www.nbcnews.com/tech/tech-news/fact-checked-spider-mans-web-would-be-strong-enough-stop-flna1c8543810

4. https://www.sciencefocus.com/nature/spider-man-really-could-stop-a-train

5. https://ednieuw.home.xs4all.nl/Spiders/Info/SilkBoeing.html (Hii ina mahesabu kabisa)

Fahamu Zaidi

26 Aug, 12:04


Tafiti: Uzi wa buibui wenye unene sawa na penseli unaweza kusimamisha ndege (Boeing - 747) ikiwa katika mwendo!
#Fahamuzaidi #Fahamumedia

Fahamu Zaidi

26 Aug, 11:44


Tafiti: Nyuzi ya buibui inaweza kusimamisha treni!
#Fahamuzaidi #Fahamumedia

Fahamu Zaidi

25 Aug, 14:32


Tafiti: Kulala saa nyingi zaidi siku za wikiendi ili kufidia usingizi husaidia kupunguza magonjwa ya moyo!
#Fahamuzaidi #Fahamumedia

Fahamu Zaidi

23 Aug, 10:38


Saikolojia: Mtu akikutukana, kubaliana nae. Itamfanya ashindwe kuendelea kufanya hivyo!

Mfano: 'Una sura mbaya'
Jibu: Ndio, najua!
#Fahamuzaidi #Fahamumedia

Fahamu Zaidi

22 Aug, 09:51


Tafiti: Kuna watu wanapata maumivu ya mwili wanapofanya hesabu!
#Fahamuzaidi #Fahamumedia

Fahamu Zaidi

22 Aug, 09:23


✍️ [Chapo255]

Fahamu Zaidi

21 Aug, 15:12


Njaa husababisha kushuka kwa kiwango cha sukari mwilini. Ili kujilinda na kufanya utendaji uendelee kama kawaida, mwili huzalisha homoni mbili ambazo ni 'Adrenaline na Cortisol'.

Homoni hizo husaidia kuongeza kiwango cha sukari lakini pia huuweka mwili kwenye tahadhari ya kupambana na kitu chochote, na hapo ndipo hasira huwa ni rahisi kutokea!
#Fahamuzaidi #Fahamumedia