آخرین پست‌های Chakushangaza (@chakushangaza) در تلگرام

پست‌های تلگرام Chakushangaza

Chakushangaza
Njoo▶tukujuze ▶tukushangaze ▶tukuelimishe ▶tuulishe ubongo wako madini

CHANNEL ILIANZISHWA RASMI MNAMO 11/06/2019
4,721 مشترک
4,984 عکس
168 ویدیو
آخرین به‌روزرسانی 28.02.2025 22:03

کانال‌های مشابه

JamiiForums
57,601 مشترک
Bongo fleva music
16,360 مشترک
Msomi Bora
11,552 مشترک

آخرین محتوای به اشتراک گذاشته شده توسط Chakushangaza در تلگرام


#CHAKUSHANGAZA
ANNA MAKINDA na BIBI TITI

Tatizo pia Vijana hawasomi historia za viongozi, Anne Makinda ameanza kuwa Mbunge Viti maalum Vijana tokea mwaka 1975

#CHAKUSHANGAZA
WAANDISHI WA AGANO JIPYA👉 WALIFANYA MAKUSUDI AU WALIJISAHAU?

Neno BIBLIA lina maana ya mkusanyiko wa vitabu 👉 na ndani ya mkusanyiko huo kuna maandiko ya AGANO LA KALE na maandiko ya AGANO JIPYA.... Maandiko ya AGANO LA KALE ni mengi sana 👉 yamepangiliwa vyema na ni rahisi sana kueleweka kuliko maandiko machache ya AGANO JIPYA... Ndio maana Wasabato na Waislamu wengi wanayakubali sana maandiko ya AGANO LA KALE kuliko maandiko ya AGANO JiPYA.🙏

Ukisoma kitabu cha AGANO LA KALE kuanzia MWANZO hadi MALAKI unaweza kuwafahamu vyema wahusika wote na hata koo zao.👉 Lakini ukisoma kitabu cha AGANO JiPYA utaona waandishi wamelipua au wameunga unga vipande vya maandishi 👉 wala huwezi kukuta kurasa walau 4 zinaelezea kitu kimoja. Stori hazijitoshelezi.

Kuanzia MATAYO mpaka UFUNUO... Utakutana na stori au hadithi zilezile chache zinazofanana 👉 harafu utakuta mwandishi ktk AGANO JiPYA, anasema eti 👉 "Kuna mambo mengi aliyofanya Yesu, ambayo yakiandikwa mojamoja nadhani hata ulimwengu usingetosha kwa vile vitabu vitakavyoandikwa" YOHANA 21:25.

Je, hii 👉 ilikuwa ni kweli? Waandishi walijisahau au waandishi waliamua tu kufanya makusudi 👉 Kwa lengo Yesu asiweze kusomeka kwa mambo mengi 👉 ambayo mengineyo (huenda) yangedhoofisha 'Utakatifu' 'Unabii' 'Uana wa Mungu' au 'Uungu wake?' Maana haiwezekani waandishi kama MATAYO 👉MARKO 👉LUKA na YOHANA... Wakajikuta wote kwa pamoja wanaandika jambo lilelile kumhusu Yesu, bila ya kusimulia story tofauti wakati kila mmoja aliandika INJILI kwa wakati wake.

Kwamfano... MATAYO angeandika INJILI yake kwa ufasaha kabisa kuhusu uzao wote wa Yesu 👉 uzao wa wazazi wake pamoja na ndugu zake wote. Kisha MARKO naye angeandika INJILI yake historia ya maisha ya Yesu kuanzia alipofikisha umri wa miaka 12 mpaka 29 👉 kwamba (Yesu) alikuwa anaishi wapi, alikuwa anapendelea kufanha nini na nini na alipofikisha umri wa kufanya kazi alifanya kazi gani?

LUKA na YOHANA pamoja nyaraka kadhaa za akina Mtume PAULO... Wenyewe wangeandika kama hivi walivyoandika 👉 kazi za Yesu alipoanza kuhubiri INJILI akiwa na umri wa miaka 30... 👉 Naamini vitabu vingetosha kabisa na sisi wasomaji tusingechoka kuvisoma na wala tusingefikia hatua ya kutofautiana hata kuzalisha madhehebu mbalimbali ya kidini.

Angalia jinsi waandishi wote wa AGANO JiPYA walivyoacha kuandika Siku, Tarehe, Mwezi na hata Mwaka aliozaliwa Yesu... 👉 Watu wengine baadae walipokuja kusema kuwa "Yesu amezaliwa Desemba 25" Ndipo Wasabato na Waislamu walipoamua kupingana ktk hilo...👉 Na sio ktk hilo tu...Hata kwenye masuala ya ulaji wa nyama ya Nguruwe, siku maalum ya kuabudu Mungu, Kufunga mwezi mtukufu, Sikukuu ya Pasaka na hata kuoa, kuolewa na Talaka... AGANO JiPYA halifafanui kwa uwazi kama ilivyo AGANO LA KALE.

Mitume na Manabii wote walioandikwa ktk kitabu cha AGANO LA KALE wametajwa kwa uwazi majina ya wazazi wao wote mpaka ndugu zao... 👉 Lakini ukisoma kitabu cha AGANO JiPYA ni vigumu sana kukuta majina ya wazazi wa mama yake Yesu na vigumu sana kukuta majina halisi ya ndugu zake Yesu. 👉 Ingawa inasemekana Yesu alikuwa na mama zake wadogo, Shangazj zake, Wajomba zake, Kaka na Dada zake... 👉 Pia alikuwa na Babu pamoja na Bibi zake ambao wanatajwa kuwa ni (Anna na Yoakimu), lakini ndani ya AGANO JiPYA hawakuwekwa wazi.

Vilevile si rahisi kukuta ktk AGANO JiPYA imeandikwa kazi alizofanya Yesu (kabla hajaanza kuhubiri), si rahisi kukuta imeandikwa kama Yesu alikuwa na mke au mpenzi au alikuwa hana kabisa 👉 AGANO JiPYA limekwepa kabisa kuandika yote hayo, ingawa inatambua wazi Yesu alikuwa ni mwanadamu mkamilifu kama walivyo wanadamu wengine...👉 Alikuwa Analala, Anakula na Kunywa, Alikuwa anavaa Nguo. Alikuwa anajisaidia haja ndogo na kubwa...👉 Alikuwa anachukia na kufurahi... Alikuwa anachoka, Alibatizwa, Alitahiriwa, Alikuwa anasali na kuomba Dua na pia alikuwa na matamanio kama walivyo wanadamu wengine (maana alitamani hata kula matunda ktk mti fulani) na alipokuta matunda hakuna Yesu alichukia.

Kama ukisoma kwa kuunga unga maandiko ndani ya AGANO JiPYA, utagundua kuwa akina YUDA walikuwa wawili na mmoja ni ndugu yake Yesu. Akina Mariamu walikuwa watatu 👉 ambapo mmoja ni mama yake mzazi, wa pili mama yake mdogo na wa tatu ni Mariamu Magdalena (ambaye amezua gumzo sana ulimwenguni). 👉 Pia utagundua Simeoni Petro, Andrea, Yakobo, Yohana, Yuda, Yose au Yusufu, Salome na Yoana walikuwa ni ndugu wa mama mmoja (Mariamu mama yake mdogo Yesu) lakini baba tofauti. Lakini Yohana Zakaria alikuwa ni kaka wa Yesu (mtoto wa mama yake mkubwa Elizabeth).

Unga unga maandiko haya 👉 ili kuwajua ndugu wa Yesu: MATAYO 13:55 👉 MARKO 6:3 👉 LUKA 6:13:16 👉 MARKO 15:40 👉 LUKA 24:10 👉 MARKO 1:29 👉 YOHANA 19:25 👉 MATENDO 12:12:17 👉 MATENDO 12:2 na YUDA 1:1. Petro na Andrea baba yao ni Yohana. Yakobo na Yohana baba yao ni Zebedayo.

Bado kuna hili la mafumbo! 👉 Ktk AGANO JiPYA kuna maandiko mengi yenye muundo wa Mifano, Methali na Mafumbo... Ambayo ni vigumu kwa watu wengi kuelewa 👉 wakati kitabu chenyewe kimatafsiriwa ktklugha zote za ulimwengu... Mfano ni INJILI ya YOHANA 👉 INJILI hii ndio imehusika zaidi kumficha mwanafunzi aliyependwa na Yesu bila ya kumtaja jina mpaka mwisho.👉 Je, lengo hapa lilikuwa nini?

AGANO JiPYA haikuandika wazi 👉 kusema kama Yusufu na Mariamu (baada ya posa) waliooana? Waliendelea kuishi pamoja hadi kifo kilipowatengenisha? Walizaa watoto wengine tofauti na Yesu? Je, walikufa wakiwa na umri wa miaka mingapi? Walizikwa wapi? 👉 AGANO LA KALE wamezingatia kuandika yote haya... Lakini AGANO JiPYA limepuuzia 👉 Ndio maana watu wengi wanajikuta wakisema: "INJILI ni ngumu sana kuielewa mpaka uvuviwe na Roho Mtakatifu" MATENDO 19:13: 20 na MATENDO 8:9:25 🙏

Je, waandishi wa AGANO JiPYA walijisahau au waliamua tu kufanya makusudi 👉 kutoandika kweli yote?

#CHAKUSHANGAZA
LEO NA MAKTABA YETU 📚.

Picha ya kwanza ni Jerry Jonh Rawlings akitoa hotuba fupi tarehe 19/6/1979 huko Accra Ghana baada ya kufanya mapinduzi yaliyo iondoa madarakani serikali ya Meja Jeneral Akwasi Amankwa Afrifa. Na Picha ya pili ni Jerry Jonh Rawlings akimkaribisha Papa Johns ikulu ya Flagstaff house jijini Accra Ghana mwaka 1997.

Huyu Rawlings alihusika katika kuratibu na kutekeleza mapinduzi ya mwaka 1979 kuiondoa serikali ya Meja Jeneral Afrifa ambayo ndio walifanya mapinduzi ya serikali ya kwanza ya Nkrumah ya 1966.

Baada ya mapinduzi Rawlings aliwahukumu kunyongwa viongozi wengi wa kijeshi akiwemo Meja Jeneral Akwasi Amankwa Afrifa ambae yeye alinyongwa tarehe 23/9/1979 pale black square...

Flt. Lt. Jerry John Rawlings alizaliwa tarehe 22 June 1947 kwa sasa ni rais mstaafu wa Ghana. Rawlings aliingia kwenye madaraka akiwa na cheo jeshini cha flight lieutenant kwenye jeshi la anga la Ghana yani Ghana Air Force.

Alitekeleza mapinduzi (coup d'état) mwaka 1979 na baada ya mapinduzi akayarejesha madaraka kwenye utawala wa umma (handing power over to a civilian government) na kurejea tena madarakani tarehe 31 December 1981 kama m/kiti wa baraza la usalama la nchi (Provisional National Defence Council).

Lakini mapema mwaka 1992 Rawlings alijiuzuru nafasi zake zote jeshini na kuunda chama chake cha siasa kilichoitwa National Democratic Congress (NDC) na kushiriki kwenye uchaguzi huo na kushinda na kuwa rais wa kwanza wa jamuhuri ya nne ya Ghana, pia alichaguliwa tena kwenye uchaguzi wa mwaka 1996 katika kipindi cha muhura wa miaka minne ambao ulikuwa muhura wake wa mwisho...

#CHAKUSHANGZA
Mmiliki na muasisi wa KFC Colonel Harland Sanders (wa kulia) wakati wa ufunguzi wa kituo kipya cha KFC Fort Campbell Nashville (USA) mwaka 1966.

KFC ilianzishwa mwaka 1952 huko Salt Lake City USA.

#CHAKUSHANGZA
Zona Del Silencio Hii sehemu inapatikana Nchini , Mexco. usichokijua ni kwamba sehemu hii, nisehemu ya kimya ambapo vitu vya umeme havifanyi kazi,
Mfano saa , ikifika hapo masaa yana rudi nyuma, redio haifanyikazi, simu na dira huwa zinaenda tofauti, mfano ndege ikipita hapo inapoteza mwelekeo.

#CHAKUSHANGZA
unamjua huyu? mwamba ⠀
👉anaitwa TAVI WHITE A.K.A WHITE BULLDOG ⠀

👉akiwa mfungwa katika Gereza la jiji la BULTMORE marekani aliwapa ujauzito askari walinzi wa Gereza wa kike Wanne mwaka 2013 ⠀

👉Pia wawili kati ya hao askari walikua wamechora tattoo ya jina Lake mmoja shingoni na mwingine mkononi👏

#CHAKUSHANGZA
THE BUBONIC PLAGUE ⠀
👉mnamo miaka ya 1347 hadi 1351 lilizuka gonjwa hatari lililo fahamika kama THE BUBONIC PLAGUE hili lilikua ni janga la dunia ugonjwa huu ulizuka hasa barani ulaya👏

👉Ambapo dunia ilikumbwa na ugonjwa huu uliokuwa unazalishwa na panya yaani ni ugonjwa wa panya ulio ulio wapata binadamu inaelezwa kuwa panya walikua wengi kupita kiasi hii ilitokana na kutokuwepo kwa paka wakati huo ⠀

👉pia inaelezwa kwamba zaidi ya watu million 200 ambao walikua ni karibia nusu ya watu wote duniani walikufa duniani kote kutokana na ugonjwa huu hatari ⠀
👉ikumbukwe mwishoni mwa miaka ya 1200 kiongozi mkuu wa Roman Catholic papa Gregory IX alitangaza kuanza kuuliwa kwa paka kila kona ya dunia kutokana na kuaminika kuwa paka walikua na uhusiano wa nguvu na imani za kishetani ⠀
.👉pia ugonjwa huo ulifahamika kama BLACK DEATH, GREAT PLAGUE, au BLACK PLAGUE👏👏

#CHAKUSHANGZA
Ukiachana na barabara kupigwa deki, tukio gani lingine unalikumbuka ukiona hii picha?😀

#CHAKUSHANGZA
MR METHANE ⠀
👉Huyu👆 ni mtalamu wa kujamba nchini UINGEREZA anaweza kujamba sauti mbalimbali akifatisha midundo ya muziki ⠀
👉Amekua akitumika na makampuni mengi ya biashara kupitia kipaji chake hicho ⠀
👉Pia amekua akifanya matamasha na anajiita THE ONLY PROFESSIONAL FARTER IN THE WORLD ⠀