Chakushangaza (@chakushangaza) Kanalının Son Gönderileri

Chakushangaza Telegram Gönderileri

Chakushangaza
Njoo▶tukujuze ▶tukushangaze ▶tukuelimishe ▶tuulishe ubongo wako madini

CHANNEL ILIANZISHWA RASMI MNAMO 11/06/2019
4,721 Abone
4,984 Fotoğraf
168 Video
Son Güncelleme 28.02.2025 22:03

Chakushangaza tarafından Telegram'da paylaşılan en son içerikler


(SEHEMU YA SITA)

CHA TATU, Alisema inabidi wajifanye kama watu wa manispaa ambao wako eneo hilo kwa ajili ya urekebishaji wa jengo na mandhari zima, genius aliona hii njia ni nzuri kwasababu itawalazimu wavae mask ambayo itawsaidi katika kuficha uhalisia wako.

CHA NNE, Alisema baada ya tukio tutasafirisha mali zetu kupitia madastibini ya taka ili kuwapoteza maboya mapolisi na walinzi wasiwashtukie wakiwa wanasepa zao na tutaweka haya madastibini upande ambao tutatorokea ili iwe rahisi kwetu.

CHA TANO, Alisema kuwa ni lazima tukodishe magari na tusitumie magari yetu binafsi kwani itakuja baade kutugharimu uchunguzi ukianza kufanyika na akasema pia kuwa READER kwakuwa yeye ndo alikuwa mzee kupita wote [alikuwa na miaka 76] basi atatumia usafiri wa jumuiya kufika eneo la tukio [nchini uingereza kuna kibali maalumu kinachowaruhusu wazee sana kama READER kutumia usafiri wa jumuiya bure kufikishwa mpaka aendapo kutokana na umri wake ndo maana MR. BASIL akataka READER atumie faida ya uzee wake]. CHA SITA, Alisema kuwa njia ya kupitia itakuwa lifti kwa mantiki ya kuwa yeye MR. BASIL alikuwaga katika kampuni moja nchini RUSSIA ya kuweka na kutengeneza lifti kwenye majengo makubwa, kwahiyo suala la namna ya kupenya ndani wamwachie yeye kwani bado hajamalizia vizuri kuandaa namana bora ya kupenya ila hatobadilisha njia penedekezwa ya lifti.

CHA SABA, Alisema kuwa njia ya kutokea itakuwa ni ule mlango wa tahadhari ambao unakuwepo kwa ajili ya tahadhari kama kutatokea maafa kama moto na hapo ndipo walipohifadhi yale madastibini ya uchafu kwa ajili ya kuhifadhia mali zao ili wakitoka waziingize humo na kuondoka zao.

CHA NANE, Alisema kuwa faida ya uzee wetu itatusaidia sana kuwaharibu kisaikolojia walinzi na mapolisi kwani huwezi kutegemea wazee wafanye uwizi na sisi indo tutawaonyesha kuwa tunaweza kushangaza dunia nzima, na hapo ndo MR. BASIL akawa amemaliza kufungua mpango wake wote kwa wenzake na kusikiliza maoni yao wao wanasemaje.

Wazee wote waliipitisha bila kipingamizi na kuona mpango unajitosheleza na hakuna haja ya kuongeza chochote zaidi ya kujiandaa na kazi inayowakabili mbele yao...!!! INAENDELEA...!!!

(SEHEMU YA TANO)

Kwa ajili ya kuuthibitisha na kuongezea au kupunguza katika mpango wake, baada ya kumaliza majadiliano kila moja akaondoka zake na kuelekea kwake kwa kusubiri mpango mzima wa genius BASIL.

Katika mahojiano ya polisi na wale wazee walisema kuwa MR BASIL alitumia zaidi ya miezi tisa kuandaa mpango mzima wa uwizi katika bohari salama, MR. BASIL baada ya miezi tisa alikuwa tayari ameshaandaa mpango mzima wa tukio ulioshiba kila sekta kuanzia mwazo wa tukio hadi mwisho wake.

Kama kawaida yao baada ya ile miezi tisa walikutana wote kwenye kijiwe chao cha THE CASTLE na kuanza kikao chao ambacho genius mwenyewe akawa amekuja na mpango mzima na kuanza kuwaelezea ni namna gani watakavyofanikisha zoezi zima, Alianza kwa kuelezea hivi;

CHA KWANZA, alisema kuwa hatutotumia majina yetu ya kila siku kwani itaweza kutukamatisha kwasababu lile jengo lina kamera kwahiyo tutatumia nicknames katika shughuli yetu zima na majina hayo yatakuwa THE GOV, THE GENT, MR. GINGER, MR.BASIL [ambalo alisema ataendelea kulitumia hilo hilo nick name yake katika uvunjaji], MR. STRONG, MR. MONTANA. THE TALL MAN, THE OLD MAN, hizi code names walipeana kutokana na sifa walizokuwa nazo ili iwe rahisi kukaririri kwa kila mtu.

CHA PILI, alisema majaribio mengi ya uwizi huwa hayafanikiwa kutokana na makosa madogomadogo wanayoyatenda wakiwa kwenye tukio na kuweza kuwapa mwanya polisi kupata pa kuanzia katika chunguzi zao, sasa mimi nimeona hilo tatizo na sitaki litokee kwetu kwahiyo kuna nakala nimeeiandaa ambayo itakuwa inaelezea kila kitu kwa namna gani polisi wanavyoanza chunguza matukio na jinsi ya kuepuka kutokamatwa, hii nakala nimeiandaa kupitia kusoma vitabu mbalimbali akatoa mfano wa kitabu cha FORENSICS FOR DUMMIES. Maana kubwa ya kuandaa nakala hii ni kutokana na makosa waliyowahi kufanya wazee wenzake huko nyuma kwa kukamatwa kizembe na polisi [hakutaka makosa yajirudie kabisa]. Kila mmoja alipewa nakala yake akapige msuli aelewe mbinu zote za kipolisi katika uchunguzi wa matukio ya uwizi duniani na kiukweli ilikuja baaadae kuwasaidia katika mpango wao mzima.

CHA TATU, 👇
INAENDELEA...!!!

Vitabu vya kingereza vilivyopo
1. How to win friends and influence people
2. Eat that frog
3. The alchemist
4. Atomic habit
5. I can ,i will ,i must (Reginald Mengi)
6. Men's search for meaning (Viktor E Frankly)
7. How to change your mind
8. Psychology secrets and manipulation techniques (Darren Brown)
9. Gifted hands (Ben Carson)
10. You have a brain (Ben Carson)
11. The Richest Man in the Babylon (George s Clason)
12. Inside her mind ( Patrick King)
13. She comes first (Ian Kerner)
14. Evicted poverty and profit in the American city (Methew Demsond)
15. How to change your mind (Michael Pollan)
16. Attract the women inside her mind (Patrivk King)
17. Seducing the women manual (Owen Spart)
18. Make women chase you (Justin Rigney)
19. Men are from Mars women are from Venus (John Grey)
20. The philosophy of I ching (
21. Corol K anthony)
22. You're badass, how to stop doubting and start living....(Jen Sincero)
23. The law of the power of your thoughts (Owelia Queyn)
24. How to improve memory
25. Mirror work,21 days to heal your life (Luoise Hay)
26. Twin frame secret guide
27. The world's most dangerous secret societies (James Jackson )
28. The book of secret wisdom (Zinovial Duskova)
29. Sex tips for men (Player master mind)
30. How to analyse people and influence anyone (James Williams)
31. How to analyse people (Allan Goldman)
32. Hypnosis, attracting your success (Victoria Price)
33. Spiritual science of sex-element (Panditi shriram Sharma Acharya)
34. Tantric massage for love, a new level of awareness of sex,love and health ( Fill Sunrik)
35. Give and take away, a revolutionary approach to success (Adam Grant)
36. God told me to marry you (Kingsley Okonkwo)
37. When am i ready? (Kingsley Okonkwo)
38. Small Business big vision (Mathew Torren)
39. How i proposed to my wife, an alien sex love (John scalzi)
40. Who should i marry? (Kingsley Okonkwo)
41. 10 stupid things men do to mess-up their lives ( Dr laura schlessinger)
42. Do it today (Darius Foroux)
43. Lucky or smart?, who wants to be a millionaire?
44. 23 questions about hell ( Bill Wiese)
45. Life changing magic numbers (Bobby Seagul)
46. 9 steps of building habits that stick (Akash Karia)
47. The art of seduction (Robert Green)
48. The laws of human nature (Robert Green)
49. Manipulation,a guide to mind control techniques..(deborah weis)
50. Persuation, learn techniques in manipulation ( Toti Dasani)
51. How yo analyse people with dark psychology ( Jacob Anderson)
52. Seven things you should know about devine healing ( Kenneth E Hagin)
53. The monk who sold his ferrari (Tobin S Sharma)
54. Rich dad poor dad (Richard Kiyosaki)
55. The spiritual warfare (Jams)
56. Our invisible enemy, devil and his angels
57. Strategic warfare ( Ray Beenson)
58. Prayer is invading the impossible
59. Finish what you start (peter holins)
60.


Only 3k per each book and 5k per package of 4 books, you're all welcome, @benlash

1.Tajiri wa Babeli (Tafsiri ya kitabu the richest man in it Babylon)
2.Mashimo ya mfalme Suleiman
3.Hadithi ya Allan Quatermain(Umslopogazi)
4.Hekaya za Abunuasi
5.Kisiwa chenye hazina
6.Alfu Lela Ulela kitabu cha kwanza
7.Adili na Nduguze(Shaaban Robert)
8.Shamba la wanyama
9.Mapenzi bora(Shaaban Robert)
10.Kisa cha Sungura alieitwa Peter
11.Theluji ya kilimanjaro
12.Nyayo za mwendo wa binadamu
13.Kinjekitile(Ebrahim Hussein
14. Baba tajiri baba masikini (Rich dad poor dad ) sehem ya kwanza (1).
15. Alfu lela ulela kitabu cha pili
16. Njama za Vatican
17. Hatua 6 za kujiajiri
18. Sayansi ya malengo
19. Money formula
20. Ishi ndoto yako
21. Tabia 12 zinazoleta mafanikio
22. Jinsi ya kuishinda hofu na kuanza
23. Jinsi ya kusimamia na kukuza biashara
24. Tumia fursa tengeneza biashara
25. Akiba & Uwekezaji
26. Mafanikio ni haki yako
27. Songa mbele
28. Yana mwisho
29. Maono
30. Ufanisi kazini
31. Mbinu za kuongeza kipato
32. Mbinu za kujenga ujasiri
33. Mwanamke na biashara
34. Timiza malengo
35. Ndoto za kipepeo
36. Be like millardayo
37. Kikosi cha kisasi
38. Njama
39. Namna ya kuondokana na madeni
40. Nguvu ya kumbatio
41. Kisa cha sungura aliyeitwa pete
42. Mawazo ya biashara
43. As a man thinker swahili version
44. Ponya penzi langu
45. Jifunze kutoka kwa tai
46. Elimu ya msingi ya biashara
47. Boresha ufahamu wako
48. Tutarudi na roho zetu
49. Zingatia maokoto
50. Tabia za kitajiri
51. Sanaa ya utongozaji
52. Tumaini lisilokuepo
53. Muongozo wa usomaji wa vitabu
54. Biashara 99 zinazofanya vizuri bongo
55. Ishinde tabia ya kughairisha mambo
56. I can i will i must (REGINALD MENGI)
57. Preparing for retirement
58. Tambua thamani na nguvu ya leo
59. Safarai ya mafanikio
60. Coach yourself to wealth
61.Hatua tano za ushindi
62. Akili ya diamond platinumz
63. Mwanamke mashine
64. Sanaa ya mawasiliano
65. Mbinu za kulea watoto kimilionea
66. Fungua ubongo
67. Kichwa chako ni dhahabu ya utajiri
68. Atomic habits
69. Alfu lela ulela 3
70. Alfu lela ulela 5
71. Tutarudi na toho zetu (ben mtobwa)
72. Kitabu cha kanuni 107 za fedha
73. Vita ya mkombozi wa familia
74. Kama unahitaji kujenga nyumba bora soma hii
75. Historia ya Mwana Malundi
76. Diana Princes (swahili)
77. Friday night bank robbery (swahili )
78. Pablo escobar (swahili)
79. Safarai ya Meli ya TITANIC
80. Jifunze Meditation 🧘‍♀️ 🧘‍♂️🧘‍♂️🧘‍♀️(Tahajudi)
81. LA ultima letra (Ujasusi kuwahi kutokea nchini Mexico)
82.Mtukutu ALBERT SPAGGIARI (mhalifu aliyeishangaza dunia kwa uhalifu wake)
83. Kijana na Ujana
84. Sayansi ya kipaji
85. Maajabu ya nguvu ya kubariki
86. Nidhamu binafsi
87. I will,i can, i must (REGINALD MENGI)
88. Kusadikika (Shaban Robert)
89. Siku isiyo na jina
90. Mtambo wa mauti (ben mtobwa)
91. Malaika wa shetani (ben mtobwa)
92. Dimbwi la damu (ben mtobwa)
93. Pesa zako zinanuka (ben mtobwa)
94. Salamu toka kuzimu (ben mtobwa)
95.
96.
97.
98.
99.
100.
101.
102.
103.
104.
105.
106.
107.
108.
109.
110.
111.
112.
113.
114.
115.


Vitabu vyote vipo kwa Softy copies (PDF & EPUB) hivyo vinakufikia popote ulipo kwa njia ya whatsap au hapa telegram CHAGUA HAPO KWENYE LIST KISHA NJOO INBOX ..


Nauza
kwa Tanzania 🇹🇿 3000
Kwa Kenya 🇰🇪 170
per each ukinunua vingi punguzo lipo ukihitaji njoo inbox @benlash 🫡🫡🫡🫡🫡




KARIBUNI

List ya vitabu vilivyoandikwa na BEN MTOBWA

1. Mtambo wa mauti
2. Malaika wa shetani
3. Dimbwi la damu
4. Pesa zako zinanuka
5. Salamu toka kuzimu
6. Kiguu na njia
7. Mikononi mwe Nunda
8. Zawadi ya ushindi
9. Kiguu na njia
10. Noti bandia

Riwaya za A.E MUSIBA
1.Kikomo
2. Njama

List ya vitabu vilivyoandikwa na DENIS MPAGANZE
1. Ukombozi wa fikra
2. Maisha ni kutafuta
3. Wasomi huru gerezani
4. Ukombozi wa fikra za mwafrika
5. Fahamu ya ndoa kabla ya ndoa
6. Fungua ubongo

Simulizi za kweli za kijasusi,wizi na uuzaji wa mawada ya kulevya nk... vimeandikwa na (CHAKUSHANGAZA)
1. Historia ya Mwana Malundi
2. Diana Princes (swahili)
3. Friday night bank robbery (swahili )
4. Pablo escobar (swahili)
5. Safarai ya Meli ya TITANIC
6. LA ultima letra (Ujasusi kuwahi kutokea nchini Mexico)
7. Mtukutu ALBERT SPAGGIARI (mhalifu aliyeishangaza dunia kwa uhalifu wake


Vitabu vya simulizi za ALFU LELA ULELA vipo kuanzia kitabu cha 1,2,3,4 na 5

Vitabu vya simulizi za zamani za kusisimua vipo
1. Mashimo ya mfalme Suleiman
2. Hadithi ya Allan Quatermain(Umslopogazi)
3. Hekaya za Abunuasi
4. Kisiwa chenye hazina
5. Alfu Lela Ulela kitabu cha kwanza
6. Adili na Nduguze(Shaaban Robert)
7 .Shamba la wanyama
8. Mapenzi bora(Shaaban Robert)
9. Kisa cha Sungura alieitwa Peter
10. Theluji ya kilimanjaro
11. Nyayo za mwendo wa binadamu
12. Kinjekitile(Ebrahim Hussein
13. Aladini na taa ya ajabu
14. Alibaba na wezi 40
15. Mfalme anataka kuniua
16. Hakimu mwenye busara
17. Namtaka akiwa hai
18. Kibwe katika safari ya ajabu
19. Kufikirika (shaaban robert)


Vitabu By J NANAUKA
1. Sayansi ya malengo
2. Ufanisi kazini
3. Mbinu za kuongeza kipato
4. Mbinu za kujenga ujasiri
5. Mwanamke na biashara
6. Timiza malengo
7. Tabia za kitajiri
8. Hatua sita za kujiajiri
9. Mbinu za kuuza zaidi
10. Tabia 12 zinazoleta mafanikio
11. Money formula
12. Nguvu ya mwanamke
13. Maono


VIPO soft copy PDF njoo inbox @benlash
Bei ni
Kenya 🇰🇪 180 ksh
Tanzania 🇹🇿 3000 ksh
Kwa kila kitabu kimoja ,ukichukua vingi punguzo lipo
KARIBUNI

1. Historia ya Mwana Malundi
2. Diana Princes (swahili)
3. Friday night bank robbery (swahili )
4. Pablo escobar (swahili)
5. Safarai ya Meli ya TITANIC
6. Jifunze Meditation 🧘‍♀️ 🧘‍♂️🧘‍♂️🧘‍♀️(Tahajudi)
7. LA ultima letra (Ujasusi kuwahi kutokea nchini Mexico)
8. Mtukutu ALBERT SPAGGIARI (mhalifu aliyeishangaza dunia kwa uhalifu wake)
9. Sayansi ya kipaji
10. Nidhamu binafsi
11. I will,i can, i must (REGINALD MENGI)
12. Kusadikika (Shaban Robert)
13. Siku isiyo na jina
14. Mtambo wa mauti (ben mtobwa)
15. Malaika wa shetani (ben mtobwa)
16. Dimbwi la damu (ben mtobwa)
17. Pesa zako zinanuka (ben mtobwa)
18. Salamu toka kuzimu (ben mtobwa)
19. Kiongozi
20. Aladdin na taa ya ajabu
21. Kibwe katika safari ya ajabu
22. Alibaba na wezi 40
23. Alfu lela ulela 4
24. Mfalme anataka kuniua
25. Namtaka akiwa hai
26. Hakimu mwenye busara
27. Nilifanya mapenzi na maiti 20 ili nitajirike
28. Mrembo kipofu
29. Siku njema (ken wilbrora)
30. Ndoa ya Amerika (Ken Wilbora)
31. Kiguu na njia (Ben mtobwa)
32. Mikononi mwe Nunda (Ben Mtobwa)
33. Kusudi linaloongoza maisha yangu
34. Tibu mahusiano yako
35. Wasifu wa Siti Binti Saad
36. Safari ya bulicheka na mke wake
37. Nguvu ya wazo
38. Sayansi ya muda
39. Sayansi ya kipaji
40. Nyuma ya pazia
41. Njama
42. Vazi jipya la mfalme
43. Kitabu cha mwanaume
44. Maandalizi ya kustaafu
45. Tole of fathers in family
46. Ukombozi wa fikra (Denis Mpaganze)
47. Ukombozi wa fikra za mwafrika
48. Kiongozi wa tofauti
49. Harufu ya kifo
50. Saikolojia ya mteja
51. Ishi ndoto yako
52. Mbinu za kujenga ujasiri
53. Zawadi ya ushindi ( Ben Mtobwa)
54. Kiguu na njia ( Ben Mtobwa )
55. Kuanza na $100
56. Maya wa ulaya
57. Akiba na uwekezaji
58. Viongozi wa Afrika
59. Maisha ni kutafuta (Denis Mpaganze)
60 Nidhamu binafsi
61.
62.
63.
64.
65.
66.
67.
68.
69.
70.
71.


Vitabu vyote vipo kwa Softy copies (PDF & EPUB) hivyo vinakufikia popote ulipo kwa njia ya whatsap au hapa telegram CHAGUA HAPO KWENYE LIST KISHA NJOO INBOX .. @benlash


Nauza
kwa Tanzania 🇹🇿 3000
Kwa Kenya 🇰🇪 170
per each ukinunua vingi punguzo lipo ukihitaji njoo inbox @benlash 🫡🫡🫡🫡🫡



KARIBUNI

(SEHEMU YA NNE)

Hawa wezi wanne wapya walikuwa ni KENNY COLLINS, CARL WOOD, WILLIAM LINCOLN na HUGH DOYLE hapa sasa jukumu la DANIEL JONES likawa limekamilika ila lilichukua muda wa takribani mwaka mmoja na miezi miwili kukamilika, muda wote huu ni kutokana na kutafuta watu sahihi wenye uzoefu wao katika Nyanja za uhalifu wa daraja la kwanza na pia wawe wazee kama mastermind alivyosema.

Baada ya zoezi kuisha wote nane wakakutana katika kijiwe chao cha THE CASTLE ili kuweza kujuana vizuri na kuanza kusuka mipango ya tukio zima kwa pamoja ingawa tayari MR. BASIL alikuwa na muongozo wa tukio na ndo maana alihitaji wawe nane. Hapa sasa wanaume wanaingia kazini.

MR. BASIL anampa muongozo bwana BRIAN READER kazi ya kwenda kufanya utafiti katika bohari salama ya HATTON GARDEN kwa kuhakikisha anasoma mazingira mazima ya eneo husika kwa ustadi mkubwa na alipewa hiyo kazi kutokana na historia yake nzuri ya zamani ya kuwa mpelelezi huru akiwa kijana na pia kuwahi kuhusika na uvamizi wa benki mwaka 1983, baada ya kupewa jukumu lake alianza kazi hiyo mara moja na ilikuwa ni mwaka 2013.

READER alianza kwa kufuatilia ratiba za wafanyakazi wa bohari ile na ulinzi wake kwa ujumla kuanzia ndani ya jengo hadi nje na alikuja kubaini kuwa bohari ile ina ulinzi usio wa kawaida na hapapitiki kutokana na mitambo iliyofunga, hivyo akaja kuleta ripoti kwa wazee wenzake kuhusu uchunguzi wake wote na hitimisho lake akasema eneo haliiingiliki.

Baada ya MR. BASIL kumsikiliza akamwambia unakumbuka mwanzoni nilikuambia kuwa nina maana yangu ya kuchagua lile eneo ni kwasababu nilijua kuwa hakupitiki ila kuna udhaifu mmoja ambao hata wewe nilijua hutougundua nao ni lifti ndani ya lile jengo zima ambalo ndo mimi ilinishawishi kulichagua lenyewe na ninajua hata wao wenyewe hawafahamu hili na wao wanajiamini kutokana na ubora wao wa ulinzi na sisi tutatumia huohuo udhaifu kufanikisha yetu, wazee wote wakacheka na kuona MR. BASIL ni genius.

Kikao kikaendelea kwa kujadiliana kwa kina ni namna gani watatumia lifti kufanikisha azma yao, ndipo genius mwenyewe akaomba apewe muda aandae mpango mzima wa namna watakavyotumia lifti kama faida ya kufanikisha azma yao na atarudi nao. INAENDELEA

TBT: Zngu za Old Bongo Flava

1. Daz baba ft ferouz ft Afande Sele - Elimu Dunia
2. Afande Sele ft Solo thang ft P. Jay - Mtazamo
3. Jebby - Wanapagwa
4. Mb Dog ft Madee - Latifa
5. Squezer ft juma nature - Naja
6. Jay moe ft ngwea - kimya kimya
7. Dully sykes - Kupenda
8. Manex ft Dully sykes - nimexhezea bahati
9. Mwana FA ft lady Jay dee - alikufa kwa ngoma
10. 2Berry ft Shriko - wewe
11. Ferouz starehe.
12. Mwana fa bado nipo nipo
13. Daz baba nahitaji wife
14. Sogy dogy kibanda cha simu
15 Professor j zali la mental
16. Berry black natafuta mrembo
17. Matonya anita
18. Matonya vaileti
19. Ray c unanifuata kwa nn
20. Mb doggy latifa
21. Pro. Jay... Zali la mentali
22. Jebby ft. Afande.. swahibaa
23. TID.. Zeze
24. Afande sele.. darubini Kali
25. Daz nundaz... Nipe tano
26. Tmk wanaume.. twenzetu
27 Dully Skye's.. lady free.
28. East cost.. hii Leo
29. Gk ft. Pouline zongo.. sister sister
30. Ferooz.. kamanda.
31. Marlow Rita
32. Mandojo ft domo kaya ft lady jaydee wanok nok
33. Jebby kastor kabint kamoja
34. Daz nundaz ft afande sele elimu dunia
35. Afande sele mkuki moyoni
36. Banana zorro-Zoba
37. Pasha-hidaya
38. Wakali kwanza- Natamani
39. Grace matata -free soul
40. Bizzman- Nip
41. F.A &jaydee hawajui
42. GK -saut ya manka
43. Professor Jay-NIAMIN
44. Mandojo & Domokaya- DINGI
45. Mwana FA - Kama zam
46. Mikasi ngwear
47. Dhahabu dully
48. Bembeleza marlaw
49. Mtasema ladyjaydee
50. Z Anto jini
51. Simu ngwear ft fully
52. Mzee wa busara juma nature
53. Maisha ya bweni jay moe
54. TID-nyota
54. Nameless -nasinzia nikikuwaza
55. C sir madini-
56. Top C -lofa
57. Mwana FA ft Lina-yalaiti
58. Sajna- iveta
59. Sajna ft lina
60. Dully syles-hunifahamu


ONGEZA NA ZAKWAKO....

(SEHEMU YA TATU)

Baaada ya wiki moja MR. BASIL akakutana na wazee wenzake na kuanza kufanya mipango yao, amabacho cha kwanza kabisa ilikuwa ni kupata sehemu ya jumuiya [public] amabayo watakuwa wanashauriana namna ya kufanya tukio zima na ndipo MR BASIL akachagua pub moja hivi itwayo THE CASTLE ambayo yeye aliipendekeza kwasababu moja kuu ya kutokuwepo kwa CCCTV CAMERA kwani alishajua hatari yake huko mbeleni ambayo tutakuja kuiona baadae.

Kwahiyo THE CASTLE ikawa ndo kijiwe chao cha mipango ya tukio zima, MR. BASIL akawa amekuja na mwanzo wa mpango mzima wa tukio tukianza na chaguo la kijiwe cha kusukia mipango na sehemu ya kuvamia ambayo ni HATTON GARDEN, katika kikao chao cha kwanza alitaka idadi ya watu iongezeke kufikia nane na ndipo ikaja kazi ya kutafuta watu wa kuongezewa ambao walihitajika watu wa tano zaidi.

Kazi ya kutafuta hao watu alipewa DANIEL JONES kwasababu ya uzoefu na historia yake ya huko nyuma akiwa kijana kwani alishawahi kuvamia benki na kuiba vitu pamoja na fedha taslimu vyenye thamani ya paundi miliioni moja na kweli akaanza kazi ya kutafuta ila alipewa sharti moja kuwa ahakikishe hao watu wawe wazee akimaanisha wasiwe chini ya umri wa miaka 50. Yeye MR. BASIL aliamini kwenye msemo wa ‘UTU UZIMA DAWA’. Mtu wa kwanza kabisa kupatikana alikuwa rafiki yake JONES aitwaye PERKINS ambaye huyu ndo waliiba wote vile vitu vyenye thamani ya paundi million moja wakati huo wa ujana wao na bwana PERKINS alipoambiwa mpango wa tukio aliona neema imekuja kwani naye alikuwa na hali mbaya kifedha na alikubali kwa moyo mmoja kuingia mzigoni.

Kupitia marafiki hawa wawili wakaweza kutafuta wengine wanne ili kukamilisha idadi ya watu watano wapya waliohitajika na ndipo wakapatikana wazee wengine wanne waliohusika katika tukio la zamani huko la kihistoria la kuteka treni ya kifalme iliyokuwa ikisafirisha fedha na kutokomea nazo [huu uwizi nao ulikuwa balaaa kwani akili kubwa ilitumika katika mpango mzima na ulinzi mkubwa wote wa kifalme ulisanda kwa hawa wezi kwani nafikiri ni uwizi namba mbili kwa ukubwa uingereza baada ya huu ninaouelezea leo, nisije nikamaliza uhondo bure nitaileta siku makala yake ya tukio zima]. INAENDELEA..!!

(SEHEMU YA PILI)

Katika hao wezi nane kulikuwa na viongozi wakuu watatu waliokuwa wameanza na hili wazo la kuvamia HATTON GARDEN ambao ni BRIAN READER, DANIEL JONES na MR BASIL. Mnamo mwaka 2012 MR. BASIL ambaye huyu ndo mastermind wa tukio zima alikutana na wazee wenzake kama ilivyo kawaida kwa marafiki kukutana kupata unywaji na kubadilishana mawazo ya hapa na pale katika maongezi yao ya siku hiyo yalikuwa na utofauti kidogo na yale ya siku zote ni baada ya MR. BASIL kuwagusia wenzake wawili ambao ni BRIAN READER na DANIEL JONES kuwa amechoka na mambo ya kusubiri pensheni kila mwezi na bado alikuwa akilalamika kuwa haimtoshelezi mahitaji yake [huyu mzee alikuwa ni mtu wa totoz sana]. Baada ya malalamiko yale wenzake wakawa wanamcheka kwasababu wanamjua ugonjwa wake uko wapi ambao ni kupenda totoz sana ila MR BASIL hakuishia hapo aliendelea kuwaambia wenzake kuwa kwanini tusijiongeze kufanya chochote bila kujali umri wetu, ndipo bwana DANIEL JONES akamuuliza kwani wewe unatakaje...??? ndipo MR. BASIL akafunguka kuwa kwanini tusifanye uwizi wa akili ambao hatutatumia silaha wala kumjeruhi mtu.

Baada ya maelezo yale ya MR. BASIL akawa tayari ameshachukua attention ya wazee wenzake kwani nao wakaanza kumtolea macho wakisubiri kusikia kiendeleacho kuhusu maada yake aliyoileta kwani na wao kwa namna Fulani vyuma vilikuwa vimekaza na kuona kama fursa imejileta yenyewe.

MR.BASIL akaendele kuongea na kuwaambia kuwa mimi nina mpango kabambe na nimeamua kuwahusisha nyie marafiki zangu ili tufaidi wote kitakachopatikana katika mpango wetu wa tukio zima, ndipo akawaambia kuwa kesho yake wafanye hima waonane tena na atakuja na habari njema,

Kesho yake walikutana kama kawaida na akaanza kuwaelezea kuwa kwanini wasivamie bohari salama ya HATTON GARDEN....??? wenzake wakamwambia mbona umechagua sehemu yenye ulinzi mkali hivyo na ipo kati kati ya mji wa LONDON kwamba yeye haoni hatari ya kukamatwa , ndipo MR. BASIL akawaambia najua kabisa kuna ulinzi wa hatari ila nina maaana yangu kuchagua sehemu hiyo msiwe na wasiwasi nitawaelezea tukiwa kwenye mipango ya tukio.

Baaada ya wiki moja MR. BASIL akakutana na wazee wenzake na kuanza kufanya mipango yao. INAENDELEA...!!!


CHANNEL NAME @CHAKUSHANGAZA
CHANNEL LINK T.ME/CHAKUSHANGAZA

SAMBAZA MARA NYINGI UWEZAVYO