Msomi Bora @msomibora2018 Channel on Telegram

Msomi Bora

@msomibora2018

Education Channel from www.msomibora.com

๐Ÿ‘‰ Exams for Nursery, Primary and Secondary Schools

๐Ÿ“š Notes/Books for Primary and Secondary Schools

๐Ÿ–Š๏ธ Education News
๐Ÿ–Š๏ธ Life Inspirations

JOIN OUR GROUP
๐Ÿ‘‰https://t.me/+gitzIZULoj1hMGQ0

Msomi Bora (English)

Are you looking for a comprehensive education resource that covers exams, notes, books, education news, and life inspirations for nursery, primary, and secondary school levels? Look no further than Msomi Bora! This Telegram channel, with the username @msomibora2018, is your go-to hub for all things education-related. From exam preparation tips to study materials, from the latest education news to uplifting life inspirations, Msomi Bora has it all

With a focus on providing valuable resources to students at all levels, Msomi Bora aims to support and enhance the learning journey of every individual. Whether you're a student looking for exam preparation materials or a teacher seeking educational news and resources, Msomi Bora has something for everyone

Join the Msomi Bora community today and gain access to a wealth of educational content that will help you succeed in your academic and personal growth. Don't miss out on this opportunity to enrich your learning experience and stay informed about the latest developments in the education sector. Click on the link below to join our group and start your educational journey with Msomi Bora: https://t.me/+gitzIZULoj1hMGQ0

Msomi Bora

14 Jan, 19:36

BEI MPYA ya KUTANGAZA SHULE

Ni katika Blog ya Msomi Bora

Advertise your School, College or any business.

Bei kwa sasa
Tsh. 300,000 kwa Mwezi
Tangazo (Poster) lako litakaa juu, kila mtu ni lazima ataliona tu.

Maelfu ya Watu
Msomi Bora hutembelewa na maelfu ya Watu kwa siku. Hivyo Tangazo lako litaonekana kwa watu wengi sana kwa Mwezi.

Faida ni kubwa sana.
Kwa hii bei yetu, hata ukipata Mwanafunzi mmoja tu, pesa yako inarudi.

Tuna Uzoefu wa Kutangaza
Tunajua namna ya kuifanya Shule/Chuo chako kiwe na mvuto na ushawishi kwa watu wengi.

Bure kwenye Social Media
Ukishalipia kwenye Blog, tutakutangazia bure Tangazo lako kwenye Channel zetu za Whatsapp na Telegram.

Acha kutembea Mashuleni
Tangaza Kidijitali ndugu
Acha kutembea kwenye Mashule huku ukilipa pesa nyingi ili upate Wanafunzi.

Njoo Whatsapp Inbox
Andika "Kutangaza Shule"
0763243437

Bonyeza link kuona mifano ya Matangazo
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2018/03/advertise-now-with-msomi-bora.html

Msomi Bora

14 Jan, 09:04

FORM SIX - MOCK EXAMS

2024 - 2025

Exams from different regions

Including:
Kilimanjaro and many others

All Subjects

Free download:
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2024/03/mock-exams-for-form-six-2024-all.html

Msomi Bora

14 Jan, 06:57

GUTAMA F6 SOLVED EXAMS

Pre-Necta 2024

Exams with Answers

All Subjects

Free Download
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2025/01/gutama-solved-exams-pre-necta-form-six.html

Msomi Bora

08 Jan, 17:57

Kalenda ya Mihula 2025

Msomi Bora

07 Jan, 16:40

MENU OF MSOMI BORA

All Education Materials on Msomi Bora Website

Read and download varieties of Studying and Teaching Materials for free.

Notes, Exams and Books

Just click the link below:

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2024/02/all-education-materials-on-msomi-bora.html?m=1

Msomi Bora

07 Jan, 16:40

MSOMI BORA - EDUCATION MATERIALS

Read and download the thousands of education materials for free, from our Website.

After clicking the Link
Just scrow down, and read the instructions very carefully, you will get anything you want.

A) NOTES

1. Nursery Notes
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2023/07/notes-for-nursery-pupils-all-subjects.html?m=1

2. Primary Notes
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2020/05/study-notes-for-primary-pupils.html?m=1

3. Secondary Notes
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡https://www.msomibora.com/2019/08/study-notes-for-secondary-students.html?m=1

B) PAST PAPERS
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2020/05/past-papers-1986-2020.html

C) SOLVED EXAMS
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2019/08/solving-exams.html?m=1

๐Ÿ“™๐Ÿ–Š๏ธโœ๏ธ๐Ÿ“š๐Ÿ“š๐Ÿ–Š๏ธโœ๏ธ๐Ÿ“—

D) SOCIAL MEDIA
Join today our Social Media Groups, Channels and Pages.

TELEGRAM CHANNEL
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://t.me/msomibora2018

WHATSAPP CHANNEL
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029VaCq5CeADTOAxZYLo913

FACEBOOK PAGE
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://m.facebook.com/profile.php/?id=100063450415781

Msomi Bora

07 Jan, 16:40

ENGLISH COURSE - BURE

Ni kozi ya bure sasa

Jifunze za Kiingereza bure kabisa katika Blog ya Msomi Bora.

Masomo Maalum
Tumekuwekea masomo Maalum (Notes) rahisi yenye Kiingereza kwenda Kiswahili.

Utatazama Video
Pia tumekuwekea video Maalum ambazo utawaona Walimu mabingwa wakikufundisha English. Hao Walimu watakutaka utamke maneno.

Level za English
Utasoma Level Tatu za kijifunza Kiingereza. Kuanzia Level ya kwanza hadi ya tatu.

Kozi ya Wote
Uwe Mwanafunzi, Mwalimu au Mtu yeyote yule, jifunze au boresha Kiingereza chako.

Mwisho wa Mateso
Usipate Tabu tena kutokana na kutokujua Kiingereza.

Msomi Bora tumekuletea dawa ya tatizo, waambie marafiki, Ndugu na jamaa ambao hata wako Mtaani lakini wanapenda kujifunza Kiingereza.

Bonyeza Link hapo chini kusoma bure kabisa English Course
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2023/12/english-course-ongea-na-andika.html

Msomi Bora

07 Jan, 16:40

KUFUNGUA MITIHANI - ZIP FILES

Kuna Mitihani inawekwa humu au msomibora.com ikiwa kwenye Zip Files/Folders.
Ni rahisi sana kuifungua mara baada ya kuipakua.

Kama Simu yako haina uwezo kufungua hizi files, basi install WPS Office katika Simu yako.

Pakua hii App hapa chini:
๐Ÿ‘‰https://play.google.com/store/apps/details?id=cn.wps.moffice_i18n

Msomi Bora

07 Jan, 16:40

PAKUA MITIHANI LEVEL ZOTE

Jinsi ya Kupakua Mitihani katika Blog ya Msomi Bora

From 1986

Msomi Bora ndio Tovuti inayoongoza hapa nchini kwa kuwa na Mitihani mingi sana kuanzia Nursery, Primary hadi Sekondari.

Jinsi ya kupakua Mitihani
Baada ya kuibonyeza link ya Past Papers na kufunguka, fanya kama unashuka chini.

Soma Maelekezo vizuri
Maana kuna hatua za kufuata ili uweze kupakua Aina ya Mitihani unayotaka.

Chagua Mitihani
Utachagua aina ya mitihani unayotaka, na katika level yake au Madarasa husika.

Mtihani ya Aina Mbili
Tuna Past Papers (Not solved) na Solved Exams.
Aina zote hizi za Mitihani zinakufaa sana

1. Past Papers (Not Solved)
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2020/05/past-papers-1986-2020.html

2. Solved Exams
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2019/08/solving-exams.html?m=1

Ukushaipakua Mitihani
nenda katika matunzio ya simu yako, utaikuta Mitihani imehifadhiwa huko.

Msomi Bora

05 Jan, 14:28

NEW NOTES - CHEMISTRY FOR O-LEVEL

We have added New Notes (Notes 2) for Chemistry on Msomi Bora Blog.

Form 1 - 4

All Topics

You will read now "Notes 1" and "Notes 2"

Click the link below to read the notes for Free
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2018/07/chemistry-notes-for-ordinary-level.html

Msomi Bora

04 Jan, 08:33

MTAALA MPYA JANUARI 2025 USICHANGANYIKIWE MWALIMU PITIA HAPA MSTARI KWA MSTALI UTAELEWA TU

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Elimu imekuwa ikitoa maelekezo na taarifa mbalimbali kuhusu utekelezaji wa wa mtaala ulioboreshwa mwaka 2023 ili kuboresha elimu yetu iendane na zama za sasa.

Sasa hapa kuna pande mbili
1. Wale wanaotekeleza mkondo wa Amali
2. Wale wa mkondo wa Jumla

Sasa basi Utekelezaji wa mtaala huu kwa upande wa amali (ufundi) kidato cha kwanza ulianza Januari 2024 ambapo Shule 39 zilishaanza (25 za serikali na 14 zisizo za serikali).

Idadi ya Shule hizi za mkondo wa amali zitaongezeka kutokana na kukidhi vigezo vilivyowekwa na Wizara Kisha watapewa go-ahead Kuutekeleza.

Kwa upande wa pili ambapo inazihusu shule nyingi tuu Katika kutekeleza maboresho haya ya Elimu yetu,

Utekelezaji wa mtaala Mpya kwa upande wa Mkondo Wa Jumla Kidato cha kwanza unaanza *JANUARI 2025.*

Hii ni kwa shule zote ambazo zipo mkondo wa Jumla. (Shule zote ambazo sio teule kwa mkondo wa Amali) Zitatumia Mtaala huu kwa mwaka 2025

Kidato cha I hadi IV kutakuwa na masomo 27. Mwanafunzi mmoja hatosoma masomo yote hayo, kutakuwa na uchaguzi wa Baadhi ya masomo.

NB:
Masomo matatu ya 1.*_Additional Mathematics, 2.Literature in English_*
3.*Fasihi ya Kiswahili_*

Yanafundishwa kuanzia kidato cha Tatu.

Hivyo Hapa wanafunzi walioko kidato cha tatu 2025 wataruhusiwa/wanaruhusiwa kuanza/kuchagua masomo hayo matatu hapo juu.

Masomo 24 yanafundishwa katika Mtaala mpya kwa upande wa Olevel Kuanzia Mwaka 2025

Masomo 27 ni haya yafuatayo:
1. Additional Mathematics
2. Mathematics
3. Physics
4. Chemistry
5. Biology
6. Computer science
7. Agriculture
8. Geography
9. Kiswahili
10. English Language
11. Arabic Language
12. French
13. Chinese
14. literature in English
15. Fasihi ya Kiswahili
16. Historia ya Tanzania na Maadili - Hili ndio limechukua nafasi ya Civics
17. History
18. Elimu ya Dini ya Kiislamu
19. Bible knowledge
20. Fine Art
21. Music
22. Sport Studies
23. Theatre Arts
24. Food and Human Nutrition
25. Textile and Garment Construction
26. Book Keeping
27. Business Studies - Hili ndio limechukua nafasi ya Commerce.

Note
*_Biology_* na *_History_*

Yameongezwa kuwa masomo chaguzi (optional). Yakiungana na yale ya zamani Physics Na Chemistry.

Ambayo toka miaka ya nyuma yamekuwa option kwa mwanafunzi wa kidato cha Tatu na Cha Nne . Ila kwa sasa hawa wanafunzi wanaweza opt toka Wakiwa kidato cha kwanza.

Idadi ya masomo ya lazima kidato cha I hadi IV imepungua kutoka *saba (7)* hadi *sita (6).*

* Masomo hayo ya lazima ni:

1. Mathematics
2. Kiswahili
3. English Language
4. Business Studies
5. Geography
6. Historia ya Tanzania na Maadili

Sasa Mtoto ili atahiniwe kwenye Mtihani wake wa kidato cha Pili Yafuatayo yanapaswa yazingatiwe.

Soma hapa kwa makini na ndipo mkanganyiko wa wengi ulipo.

Mwanafunzi wa kidato cha kwanza mwaka 2025

Watatakiwa kusoma kwa lazima yale masomo 6 kisha

kuongeza masomo yasiyopungua mawili mpaka manne yale ya option

Jumla mtoto anatakiwa asome masomo yasiyo pungua 8 na yasiyozidi 10.

Masomo chaguzi mojawapo ni kati ya haya yafuatayo.

History
Bios
Physics
Chemistry
Edk
Bible knowledge
Note Hayo ni mojawapo.

Wakati mtoto anachagua masomo ya option anapaswa kuzingatia mchepuo anaouchukua toka akiwa form one.

Hiyo michepuo angalia kwenye picha hapo juu.

Kila somo analoongeza la option lina mchepuo wake. Asije chagua somo ambalo halina mchepuo.

Msomi Bora

01 Jan, 04:59

HAPPY NEW YEAR 2025

We wish you all our Fans, this 2025 to bring more happiness and victory in your lives.

Msomi Bora Blog, we have planned to add and provide more education materials to you.

Keep following us

Msomi Bora

31 Dec, 09:05

NEW NOTES - BIOLOGY for FORM FIVE

We have added New Notes (Notes 2) for Biology on Msomi Bora Blog.

Form 5

All Topics

You will read now "Notes 1" and "Notes 2"

Click the link below to read the notes for Free
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2021/01/biology-notes-for-form-five.html

Msomi Bora

31 Dec, 07:52

Sultani Aliyepinduliwa Zanzibar Afariki

Jamshid bin Abdullah, aliyekuwa sultani wa mwisho wa Zanzibar kabla ya Mapinduzi ya Januari 1964, amefariki dunia nchini Oman akiwa na umri wa miaka 95. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Uingereza (BBC), Jamshid aliyefariki dunia jioni ya Jumatatu, Desemba 30, 2024, akiwa hospitali kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya muda mrefu na uzee, anatarajiwa kuzikwa leo, Jumanne, katika makaburi ya kifalme jijini Muscat, Oman.

Jamshid alizaliwa Zanzibar, Septemba 16, 1929 na alipata elimu ya msingi visiwani humo kabla ya kuendelea na masomo nchini Misri na baadaye Uingereza, alikohudumu kwa miaka miwili katika Jeshi la Wanamaji la Uingereza.

Uongozi wake ulidumu kwa miezi sita tu, kabla ya Mapinduzi ya Januari 12, 1964, yaliyomaliza utawala wa kifalme visiwani Zanzibar.

Soma zaidi
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kimataifa/sultani-wa-mwisho-wa-zanzibar-jamshid-bin-abdullah-afariki-dunia-4874462

Msomi Bora

30 Dec, 16:26

Mwalimu aliyepambana hadi Kumiliki Shule yake

Msomi Bora

28 Dec, 08:20

NEW NOTES - BIOLOGY FOR O-LEVEL

We have added New Notes (Notes 2) for Biology on Msomi Bora Blog.

Form 1 - 4

All Topics

You will read now "Notes 1" and "Notes 2"

Click the link below to read the notes for Free
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2018/07/biology-notes-for-ordinary-level.html

Msomi Bora

27 Dec, 07:23

Asili ya maneno "Kuchimba Dawa" na "Kukata Gogo"

Imezoeleka kwa watu hasa wasafiri kutumia tafsida wanapotaka kwenda haja kubwa au ndogo.  Maneno maarufu ni โ€˜kukata gogoโ€™ kwa haja kubwa huku wanaoenda haja ndogo wakisema โ€˜wanakwenda kuchimba dawaโ€™.

Ofisa Elimu wa Kijiji cha Makumbusho, Wilhelmina Joseph, anasema zamani jamii nyingi za makabila ya Kitanzania, zilikuwa zinajenga nyumba lakini hazikuwa na vyoo kama ilivyo sasa.

Kutokana na hilo, walipokuwa wakishikwa na haja walizoea kwenda kujisaidia vichakani au msituni.

Hata hivyo, ilipotokea kwa mfano, baba anataka kwenda kukidhi haja na anataka kumuaga mama mbele ya watoto, kuna ujanja wa kimaneno uliotumika ili kuwaficha watoto waliokuwa jirani.

Kwa kawaida, baba angeweza kusema kuwa anakwenda kukata gogo kama ni haja kubwa. Na ikiwa ni haja ndogo, alisema anakwenda kuchimba dawa.

Habari zaidi
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/asili-ya-maneno-kuchimba-dawa-kukata-gogo-4870062

Msomi Bora

25 Dec, 14:39

Merry Christmas to you All

Msomi Bora

24 Dec, 14:55

UPDATE in ENGLISH LEVEL 1

"International Level"

We have added some notes in English Level 1 for an International level.

So, any person from any country can learn this English Level, and become more better at this language.

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2024/08/english-course-for-beginners-kozi-ya.html

Msomi Bora

22 Dec, 08:01

TANGAZA SHULE YAKO

Ni katika Blog ya Msomi Bora

Advertise your School, College or any business.

Huu ni Msimu wa Likizo, wazazi na Wanafunzi wengi wako nyumbani wakitafuta Shule/Vyuo gani vitawafaa.

Watu 20,000 kwa Siku
Msomi Bora hutembelewa na watu zaidi ya Elfu 20 kwa Siku. Hivyo Tangazo lako litaonekana kwa watu zaidi ya Laki 6 kwa Mwezi.

Bei ni ndogo sana kwa sasa
Wahi nafasi kwenye Blog, ukichelewa sana utakuta bei zimeshapanda.

Bonyeza link kuona Bei na Taarifa muhimu zaidi:
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2018/03/advertise-now-with-msomi-bora.html

Msomi Bora

22 Dec, 08:00

HAKUNA KUOMBA NOTES..!!

Haturuhusu Kuomba Notes/Vitabu au kujifanya unatoa hizo huduma kwenye Channel au Group letu la Msomi Bora.

- Omba Mitihani uwezavyo

- Uliza Maswali ya masomo uwezavyo

- Omba Ushauri uwezavyo

Kusoma Notes ni Bure..!!
Ingia katika Blog yetu www.msomibora.com, utajisomea bure huko notes kama zote.

Kama ni kununua, basi tucheki wenyewe, na hii ni njia salama zaidi kwako ya kupata Notes.

Matapeli wengi wemejificha kwenye masuala ya Notes.

Kuna watu wanafanya hii Michezo haramu hasa hasa wakati wa usiku.

Hatuwezi kufunga Group kwa sababu ya Watu wajanja wajanja wachache. So, tutakuondoa wewe ili tuokoe wengi.

Tuheshimu Taratibu za Group wapendwa.

Msomi Bora

22 Dec, 07:57

TOVUTI MUHIMU KWA WANAFUNZI

Important Websites for Students

1.
www.msomibora.com

2.
www.necta.go.tz

3.
www.moe.go.tz

4.
www.tamisemi.go.tz

Visit these Websites today, you will:

- Read, and download free the Education Materials (Notes & Exams)

- Get the Timetables and Exams results (Necta)

- Get the Education News from the Government

- Get the latest updates about our Education plans

Msomi Bora

22 Dec, 07:57

TOVUTI MUHIMU KWA WALIMU

Important Websites for Teachers

1.
www.msomibora.com

2.
www.tamisemi.go.tz

3.
www.necta.go.tz

4.
www.moe.go.tz

5.
www.tie.go.tz

6.
www.tea.or.tz

7.
www.tanzania.go.tz

Visit these Websites today, you will:

- Read, and download free the Education Materials (Notes & Exams)

- Get the Timetables and Exams results (Necta)

- Get the Education News from the Government

- Get the latest updates about our Education plans

Msomi Bora

22 Dec, 07:57

Vitabu vya Ujasiriamali

Msomi Bora Blog, tunakuletea wewe Mwalimu na Mwanafunzi vitabu vyenye Mafunzo ya kupika/kutengeneza:

1. Keki za aina zote
2. Juice za Matunda aina zote
3. Mapishi ya aina zote
4. Bidhaa za Usafi (sabuni, jiki, chaki n.k)

Elimu na Ujasiriamali kwa sasa havina budi kwenda sambamba.

Pakua vitabu hivi bure kabisa hapo chini

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Msomi Bora

20 Dec, 06:31

Jinsi Matapeli wa Mitandaoni wanavyowaibia Watu

Sasa hivi wahuni wanapiga hadi simu wanajifanya wanakupa mchongo au kikao mtandaoni kwa mfumo wa ZOOM... kisha codes zinakuja automatic kwa kioo cha simu yako... Ukizigusa tu unaliwa๐Ÿ˜Š Hackers wapo moto sana msimu wa Sikukuu! Kuwa Makini

#Ni Rahisi sana kumjua Hacker

Epuka Tamaa ya Kupata Pesa kirahisi mtandaoni.. Epuka Kubofya bofya Links, epuka kufanyia codes unazotumiwa kwa simu... kuwa makini na aina ya Kiswahili wanachotumia na ukiombwa pesa kwa njia ya Whatsapp au Facebook , Hakiki kwa kupiga simu kwa mhusika... #Ni rahisi sana kumjua Tapeli Hapokei simu za Video Call Whatsapp wala Call za kawaida na haombi hela ndogo ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š

Msomi Bora

28 Nov, 20:24

KUKATAA KIINGEREZA - Hasara wanazopata Watanzania leo hii

Soma hapa:
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2024/11/kukataa-english-hasara-wanazopata.html

Msomi Bora

28 Nov, 15:06

MSOMI BORA - EDUCATION MATERIALS

Read and download the thousands of education materials for free, from our Website.

After clicking the Link
Just scrow down, and read the instructions very carefully, you will get anything you want.

A) NOTES

1. Nursery Notes
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2023/07/notes-for-nursery-pupils-all-subjects.html?m=1

2. Primary Notes
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2020/05/study-notes-for-primary-pupils.html?m=1

3. Secondary Notes
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡https://www.msomibora.com/2019/08/study-notes-for-secondary-students.html?m=1

B) PAST PAPERS
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2020/05/past-papers-1986-2020.html

C) SOLVED EXAMS
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2019/08/solving-exams.html?m=1

๐Ÿ“™๐Ÿ–Š๏ธโœ๏ธ๐Ÿ“š๐Ÿ“š๐Ÿ–Š๏ธโœ๏ธ๐Ÿ“—

D) SOCIAL MEDIA
Join today our Social Media Groups, Channels and Pages.

TELEGRAM CHANNEL
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://t.me/msomibora2018

WHATSAPP CHANNEL
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029VaCq5CeADTOAxZYLo913

FACEBOOK PAGE
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://m.facebook.com/profile.php/?id=100063450415781

Msomi Bora

28 Nov, 15:06

ENGLISH COURSE - BURE

Ni kozi ya bure sasa

Jifunze za Kiingereza bure kabisa katika Blog ya Msomi Bora.

Masomo Maalum
Tumekuwekea masomo Maalum (Notes) rahisi yenye Kiingereza kwenda Kiswahili.

Utatazama Video
Pia tumekuwekea video Maalum ambazo utawaona Walimu mabingwa wakikufundisha English. Hao Walimu watakutaka utamke maneno.

Level za English
Utasoma Level Tatu za kijifunza Kiingereza. Kuanzia Level ya kwanza hadi ya tatu.

Kozi ya Wote
Uwe Mwanafunzi, Mwalimu au Mtu yeyote yule, jifunze au boresha Kiingereza chako.

Mwisho wa Mateso
Usipate Tabu tena kutokana na kutokujua Kiingereza.

Msomi Bora tumekuletea dawa ya tatizo, waambie marafiki, Ndugu na jamaa ambao hata wako Mtaani lakini wanapenda kujifunza Kiingereza.

Bonyeza Link hapo chini kusoma bure kabisa English Course
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2023/12/english-course-ongea-na-andika.html

Msomi Bora

28 Nov, 15:06

KUFUNGUA MITIHANI - ZIP FILES

Kuna Mitihani inawekwa humu au msomibora.com ikiwa kwenye Zip Files/Folders.
Ni rahisi sana kuifungua mara baada ya kuipakua.

Kama Simu yako haina uwezo kufungua hizi files, basi install WPS Office katika Simu yako.

Pakua hii App hapa chini:
๐Ÿ‘‰https://play.google.com/store/apps/details?id=cn.wps.moffice_i18n

Msomi Bora

28 Nov, 15:06

MENU OF MSOMI BORA

All Education Materials on Msomi Bora Website

Read and download varieties of Studying and Teaching Materials for free.

Notes, Exams and Books

Just click the link below:

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2024/02/all-education-materials-on-msomi-bora.html?m=1

Msomi Bora

28 Nov, 15:06

PAKUA MITIHANI LEVEL ZOTE

Jinsi ya Kupakua Mitihani katika Blog ya Msomi Bora

From 1986

Msomi Bora ndio Tovuti inayoongoza hapa nchini kwa kuwa na Mitihani mingi sana kuanzia Nursery, Primary hadi Sekondari.

Jinsi ya kupakua Mitihani
Baada ya kuibonyeza link ya Past Papers na kufunguka, fanya kama unashuka chini.

Soma Maelekezo vizuri
Maana kuna hatua za kufuata ili uweze kupakua Aina ya Mitihani unayotaka.

Chagua Mitihani
Utachagua aina ya mitihani unayotaka, na katika level yake au Madarasa husika.

Mtihani ya Aina Mbili
Tuna Past Papers (Not solved) na Solved Exams.
Aina zote hizi za Mitihani zinakufaa sana

1. Past Papers (Not Solved)
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2020/05/past-papers-1986-2020.html

2. Solved Exams
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2019/08/solving-exams.html?m=1

Ukushaipakua Mitihani
nenda katika matunzio ya simu yako, utaikuta Mitihani imehifadhiwa huko.

Msomi Bora

25 Nov, 16:37

Mwanafunzi aliyekatishwa Masomo ili Aolewe, adaiwa Kupigwa na Kujeruhiwa na Mumewe

Arusha. Mtoto wa miaka 16 (jina limehifadhiwa) kutoka wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha, amenusurika kifo baada ya kufanyiwa ukatili wa kupigwa na kujeruhiwa sehemu mbalimbali za mwili wake.

Mtoto huyo anadaiwa kuozeshwa na wazazi wake na kukatishwa masomo mwaka jana alipokuwa darasa la sita, katika shule moja eneo la Engaruka.

Kwa mujibu wa taarifa, tukio hilo lilitokea Novemba 19, 2024, mume wake alimfunga kamba kwenye mti na kumpiga kwa madai ya kukwepa majukumu ya ndoa, likiwamo la kubeba ujauzito.

Kwa habari zaidi:
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mtoto-aliyekatishwa-masomo-ili-aolewe-ajeruhiwa-4835684

Msomi Bora

24 Nov, 17:06

Chemsha Bongo

Aanze na amalizie na kipi:

Chui, Majani au Mbuzi?

Msomi Bora

23 Nov, 06:00

FRENCH NOTES for ADVANCED LEVEL

Forms 5 - 6

All Topics

Free reading on Msomi Bora
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2024/11/french-notes-for-advanced-level-form-5.html

Msomi Bora

18 Nov, 08:29

MIKOA YENYE WASOMI WENGI TANZANIA

Mikoa inayoongoza kwa maprofesa. Tanzania inajivunia kuwa na mikoa kadhaa yenye historia ya kutoa wasomi wengi, wakichangia sana kwenye maendeleo ya elimu nchini. Kila mkoa una hadithi yake ya kipekee, ikionyesha jinsi jamii zimeweka umuhimu katika elimu na maarifa.

Hii ni baadhi ya mikoa inayoongoza kwa wasomi nchini Tanzania:

1. Mara
Ukiwa kanda ya ziwa, Mara inashika nafasi ya kwanza kwa kutoa wasomi wengi zaidi. Makabila ya Wajaluo, Wajita, Wakurya, na Wazanaki yanajulikana kwa kuipa elimu kipaumbele. Hawa ni jamii zilizoenda shule kwa kiwango kikubwa na kuendelea kuwa na mchango mkubwa kwenye maendeleo ya taifa.

2. Kilimanjaro
Mkoa huu wa kaskazini unashika nafasi ya pili. Wachaga na Wapare, makabila makuu ya eneo hili, ni miongoni mwa watu wanaojulikana kwa juhudi zao katika elimu. Ni mkoa unaojivunia idadi kubwa ya wasomi waliofanikiwa sana kitaifa na kimataifa.

3. Mwanza
Ikiwa kanda ya ziwa, Mwanza inajumuisha Wasukuma, Wazinza, na Wakerewe. Jamii hizi zinatambulika kwa kuwa na wasomi wengi ambao wamekuwa nguzo muhimu kwenye sekta mbalimbali za maendeleo ya Tanzania.

4. Kagera
Mkoa wa Kagera ni nyumbani kwa makabila kama Wahaya, Wanyambo, Watusi, na Wasubi. Wahaya hasa wanajulikana kwa kuwa na historia ndefu ya kuthamini elimu, na Kagera kwa ujumla ni mkoa unaoshika nafasi ya nne kwa kutoa wasomi wengi nchini.

5. Mbeya
Kanda za juu kusini, Mbeya inahusisha makabila ya Wasafa na Wanyakyusa. Licha ya kuwa na mazingira magumu ya kijiografia, mkoa huu umeendelea kutoa wasomi wengi zaidi, wengi wakiwa ni kutoka jamii ya Wanyakyusa.

6. Tabora
Mkoa huu wa kati unajivunia makabila kama Wanyamwezi, Wasukuma, Wamanyema, na Watusi. Tabora imeendelea kujenga msingi wa elimu, ikishika nafasi ya sita kwa kutoa wasomi wengi zaidi nchini.

7. Arusha
Nyumbani kwa Wameru, Waarusha, na Wamasai, Arusha imejizolea sifa ya kuwa na wasomi wengi. Mkoa huu wa kaskazini ni kitovu cha elimu na biashara, na jamii zake zinaendelea kutoa wataalamu mbalimbali.

8. Ruvuma
Wangoni, Wamatengo, na Wamatumbi ni wenyeji wa Ruvuma. Mkoa huu unashika nafasi ya nane kwa kutoa wasomi wengi, huku wengi wakitokea jamii za Kingoni ambazo zimejikita katika elimu.

9. Iringa
Nyanda za juu kusini, Iringa ni mkoa ambao umeendelea kutoa wasomi wa kiwango cha juu. Jamii za Wahehe, Wabena, na Wakinga zinajulikana kwa kuchangia wasomi wengi kutoka mkoa huu.

10. Kigoma
Kigoma, mkoa ulioko magharibi mwa Tanzania, unashika nafasi ya kumi. Wenyeji wa Kigoma, wakiwemo Waha, Wamanyema, na Wabwari, wamejizatiti katika kuhakikisha elimu inakuwa sehemu ya urithi wao, na hivyo kutoa idadi kubwa ya wasomi.

Kwa ujumla, mikoa hii kumi inaonyesha jinsi elimu imekuwa chachu ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi nchini Tanzania. Kila mkoa una hadithi yake ya kipekee ya wasomi waliotokea huko, na kwa pamoja wanatoa mchango mkubwa kwa taifa letu.

Msomi Bora

17 Nov, 19:15

DJ aliyemjaza Mimba Mwanafunzi afutiwa Kifungo cha Miaka 30, kutumikia mitano

Sumbawanga. Mahakama ya Rufani, imemfutia kifungo cha miaka 30 jela, alichoadhibiwa mchezeshaji muziki (DJ), Sokolo Richard kwa kosa la kumpa mimba mwanafunzi wa kidato cha pili na kumhukumu kifungo cha miaka mitano jela.

Baada ya mwanafunzi huyo kumtaarifu DJ kuwa ana ujauzito wake, alimtaka asimtaje lakini akaendelea kulea mimba hiyo na hiyo ni moja ya sababu ya kumpunguzia kifungo lakini pia kwa sababu ni mkosaji wa mara ya kwanza.

Habari zaidi:
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/dj-aliyemjaza-mimba-mwanafunzi-afutiwa-kifungo-cha-miaka-30-kutumikia-mitano-4826626

Msomi Bora

16 Nov, 16:41

Majanga wanayopitia Walimu wa Shule Binafsi

Unatambua kuwa walimu shule binafsi wanafanya kazi katika mazingira magumu
ikiwamo kukosa kinga na usalama wa ajira zao?

Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu wa Shule Binafsi Tanzania (TPTU), Julius
Mabula, anayeelezea masaibu wanayopitia walimu wa shule hizo na masuala mengine mbalimbali kuhusu walimu na kada ya ya ualimu kwa jumla.

Akielezea masaibu hayo, Mabula amesema: โ€œChangamoto ya kwanza ni ajira. Huku kwetu, ajira za walimu binafsi hazina kinga kama ilivyo kwa walimu wa Serikali, kwa sababu ili umfukuze mwalimu ukutane na vyombo vitano, ambavyoni Wizara ya Elimu, Utumishi wa Umma, Tamisemi, CWT na Utumishi wa Walimu.

โ€œLakini huku sekta binafsi, mwajiri akikohoa kidogo umeshafukuzwa, kwa hiyo hiyo ndio inafanya watu kuona hiyo sio kazi, amesema na kuongeza Mabula.

Source: Bongo Plus

Msomi Bora

15 Nov, 16:14

Mtoto wa Mtahiniwa akibebwa na Police wakati Mama Mtoto akifanya Mtihani wa Taifa

KENYA: Police aitwaye Felix mwenye jukumu la usimamizi wa Mitihani ya Taifa (Ksce) amejikuta akitekewa na wema wa hali ya juu, na kuamua kumbemba Mtoto ambaye mama yake alikuwa akifanya Mtihani.

Licha ya Police huyo kuvuka mipaka ya Kazi yake, Wakenya wengi Mitandaoni wamempongeza Police huyo kwa wema wake.

Habari zaidi
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.tuko.co.ke/people/family/568983-tharaka-nithi-police-officer-wins-kenyans-hearts-babysits-kcse-candidates-child/

Msomi Bora

15 Nov, 15:42

Mwalimu apandishwa Kizimbani akidaiwa Kumlawiti Mwanafunzi.

Msomi Bora

15 Nov, 15:35

Mwafrika wa Kwanza kusoma Shule ya Wazungu Marekani

Ruby Bridges, alikuwa mtoto wa kwanza mwenye asili ya Kiafrika kusoma shule ya wazungu pekee ya William Frantz nchini Marekani, akiwa na miaka sita mwaka 1960.

Ruby alipewa ulinzi na maafisa wa polisi mwaka mzima kutokana na upinzani kutoka kwa jamii iliyopinga watoto weusi kusoma na watoto wa kizungu, huku mwalimu mmoja pekee akikubali kumfundisha.

Japokuwa alikutana na ubaguzi mwingi darasani, hakuwahi kukosa hata siku moja shuleni.

Source: Swahili Times

Msomi Bora

10 Nov, 12:31

Best Wishes FORM FOUR for your Final Exams

Msomi Bora tumefanya sehemu yetu kadri tuwezavyo, tunaamini hamtatuangusha.

Mungu awatangulie

Msomi Bora

09 Nov, 12:50

Mwanafunzi F4 Ahukumiwa kwa Kumpa Mimba Mwanafunzi mwenzie

MBEYA: Mahakama ya Wilaya ya Kyela imemhukumu kifungo cha nje cha Mwaka mmoja, Mwanafunzi wa Kidato cha 4 mwenye Umri wa Miaka 17 wa Shule ya Sekondari Ikimba na kumuamuru kumlipa fidia mwathirika ya kiasi cha Tsh. 200,000 baada ya kukutwa na hatia ya kubaka na kumpa mimba Mwanafunzi

Kamanda wa Polisi Mkoa, SACP Benjamin Kuzaga amesema Kijana huyo Mkazi wa Kijiji cha Kilambo, alitenda makosa hayo dhidi ya binti mwenye Umri wa Miaka 17, Mwanafunzi wa Kidato cha 3, aliyekuwa akisoma Shule moja na Mshtakiwa

Hukumu imetolewa na Hakimu Paul Barnabas - SRM kwa mujibu wa Kifungu cha 130 kifungu kidogo cha Kwanza na cha Pili (e) na Kifungu cha 131 kifungu kidogo Cha pili (a) vyote vya Sheria ya Kanuni ya Adhabu na Kifungu cha 60A kifungu kidogo cha Tatu cha Sheria ya Elimu

Source: Jamii Forums

Msomi Bora

08 Nov, 18:03

Mwalimu Akamatwa akidaiwa Kumbaka Mwanafunzi baada ya Kumlewesha

Jeshi la Polisi mkoani Kagera limemkamata Lameck Jonas, mwalimu wa taaluma wa Shule ya Msingi Rulanda wilayani Muleba, kwa tuhuma za kumpa dawa za kulevya, kisha kumbaka mhitimu wa darasa la saba na kutokomea kusikojulikana.

Binti huyo (13) amedai alibakwa Oktoba 30, 2024 alipofika shuleni kufuatilia matokeo, ambapo mtuhumiwa alifanya kitendo hicho kwenye moja ya madarasa baada ya kumpaka vitu sehemu mbalimbali na kisha kupoteza fahamu.

Source: Swahili Times

Msomi Bora

06 Nov, 15:39

FRENCH NOTES for ORDINARY LEVEL

Forms 1 - 4

All Topics

Free reading on Msomi Bora
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2024/11/french-notes-for-ordinary-level.html

Msomi Bora

05 Nov, 16:33

Mwanafunzi Afariki Darasani wakati akisubiria Kufanya Mtihani wa Taifa

KENYA: Mwanafunzi aitwaye Calistus Wamboye Oteo (19) wa Eburere Secondary School amefariki leo Darasani wakati akisubiria Kufanya Mtihani wa Taifa (Kcse Exams) huko Kenya.

Hili ni tukio la pili tangu kuanza kwa hiyo Mitihani.

Mitihani hii kwa huku Tanzania ni kama ile ya Necta F4 na F6

Habari zaidi
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://read.tuko.co.ke/QuaQK

Msomi Bora

05 Nov, 13:40

FORM FOUR | PRE-NECTA EXAMS

New Exams 2024

Exams from different regions

Including:
Special Schools and many others

All Subjects

Free download:
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2024/09/pre-necta-exams-form-four-2024-all.html

Msomi Bora

01 Nov, 08:39

MENU OF MSOMI BORA

All Education Materials on Msomi Bora Website

Read and download varieties of Studying and Teaching Materials for free.

Notes, Exams and Books

Just click the link below:

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2024/02/all-education-materials-on-msomi-bora.html?m=1

Msomi Bora

01 Nov, 08:39

MSOMI BORA - EDUCATION MATERIALS

Read and download the thousands of education materials for free, from our Website.

After clicking the Link
Just scrow down, and read the instructions very carefully, you will get anything you want.

A) NOTES

1. Nursery Notes
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2023/07/notes-for-nursery-pupils-all-subjects.html?m=1

2. Primary Notes
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2020/05/study-notes-for-primary-pupils.html?m=1

3. Secondary Notes
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡https://www.msomibora.com/2019/08/study-notes-for-secondary-students.html?m=1

B) PAST PAPERS
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2020/05/past-papers-1986-2020.html

C) SOLVED EXAMS
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2019/08/solving-exams.html?m=1

๐Ÿ“™๐Ÿ–Š๏ธโœ๏ธ๐Ÿ“š๐Ÿ“š๐Ÿ–Š๏ธโœ๏ธ๐Ÿ“—

D) SOCIAL MEDIA
Join today our Social Media Groups, Channels and Pages.

TELEGRAM CHANNEL
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://t.me/msomibora2018

WHATSAPP CHANNEL
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029VaCq5CeADTOAxZYLo913

FACEBOOK PAGE
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://m.facebook.com/profile.php/?id=100063450415781

Msomi Bora

01 Nov, 08:39

KUFUNGUA MITIHANI - ZIP FILES

Kuna Mitihani inawekwa humu au msomibora.com ikiwa kwenye Zip Files/Folders.
Ni rahisi sana kuifungua mara baada ya kuipakua.

Kama Simu yako haina uwezo kufungua hizi files, basi install WPS Office katika Simu yako.

Pakua hii App hapa chini:
๐Ÿ‘‰https://play.google.com/store/apps/details?id=cn.wps.moffice_i18n

Msomi Bora

01 Nov, 08:39

ENGLISH COURSE - BURE

Ni kozi ya bure sasa

Jifunze za Kiingereza bure kabisa katika Blog ya Msomi Bora.

Masomo Maalum
Tumekuwekea masomo Maalum (Notes) rahisi yenye Kiingereza kwenda Kiswahili.

Utatazama Video
Pia tumekuwekea video Maalum ambazo utawaona Walimu mabingwa wakikufundisha English. Hao Walimu watakutaka utamke maneno.

Level za English
Utasoma Level Tatu za kijifunza Kiingereza. Kuanzia Level ya kwanza hadi ya tatu.

Kozi ya Wote
Uwe Mwanafunzi, Mwalimu au Mtu yeyote yule, jifunze au boresha Kiingereza chako.

Mwisho wa Mateso
Usipate Tabu tena kutokana na kutokujua Kiingereza.

Msomi Bora tumekuletea dawa ya tatizo, waambie marafiki, Ndugu na jamaa ambao hata wako Mtaani lakini wanapenda kujifunza Kiingereza.

Bonyeza Link hapo chini kusoma bure kabisa English Course
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2023/12/english-course-ongea-na-andika.html

Msomi Bora

01 Nov, 08:39

PAKUA MITIHANI LEVEL ZOTE

Jinsi ya Kupakua Mitihani katika Blog ya Msomi Bora

From 1986

Msomi Bora ndio Tovuti inayoongoza hapa nchini kwa kuwa na Mitihani mingi sana kuanzia Nursery, Primary hadi Sekondari.

Jinsi ya kupakua Mitihani
Baada ya kuibonyeza link ya Past Papers na kufunguka, fanya kama unashuka chini.

Soma Maelekezo vizuri
Maana kuna hatua za kufuata ili uweze kupakua Aina ya Mitihani unayotaka.

Chagua Mitihani
Utachagua aina ya mitihani unayotaka, na katika level yake au Madarasa husika.

Mtihani ya Aina Mbili
Tuna Past Papers (Not solved) na Solved Exams.
Aina zote hizi za Mitihani zinakufaa sana

1. Past Papers (Not Solved)
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2020/05/past-papers-1986-2020.html

2. Solved Exams
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2019/08/solving-exams.html?m=1

Ukushaipakua Mitihani
nenda katika matunzio ya simu yako, utaikuta Mitihani imehifadhiwa huko.

Msomi Bora

29 Oct, 12:09

Matokeo - Darasa la Saba - 2024

Bonyeza Link hapo chini
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2023/11/matokeo-standard-seven-necta-results.html

Msomi Bora

25 Oct, 15:10

FORM TWO | PRE-NECTA EXAMS

New Exams 2024

Exams from different regions

Including:
Kinondoni and many others

All Subjects

Free download:
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2024/09/pre-necta-exams-form-two-2024-all.html

Msomi Bora

24 Oct, 04:24

Wanafunzi wafukuzwa Shule kwa Kujirekodi Picha za Utupu

Wanafunzi wawili wa kike kutoka shule moja ya sekondari mkoani Tabora, wamefukuzwa shule kwa makosa ya kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amewataka maafisa Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Jamii na maafisa Elimu wote nchini kuimarisha madawati ya ulinzi wa watoto shuleni ili kusaidia kupunguza mmomonyoko wa maadili na ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi.

Source: Swahili Times

Msomi Bora

20 Oct, 17:15

MJADALA: Walimu kufanya Mtihani ndipo waajiriwe.

Video: Waziri wa Elimu akielezea hilo zoezi

Hii ndio habari ya mjini kwa sasa katika Ajira za Walimu nchini.

Mwalimu anapiga Pepa kwanza, akifaulu anachukuliwa.

Ni maoni yako
Sawa au si sawa?
Ukijibu kwa hoja itapendeza sana.

Msomi Bora

19 Oct, 19:31

MENU OF MSOMI BORA

All Education Materials on Msomi Bora Website

Read and download varieties of Studying and Teaching Materials for free.

Notes, Exams and Books

Just click the link below:

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2024/02/all-education-materials-on-msomi-bora.html?m=1

Msomi Bora

19 Oct, 19:31

PAKUA MITIHANI LEVEL ZOTE

Jinsi ya Kupakua Mitihani katika Blog ya Msomi Bora

From 1986

Msomi Bora ndio Tovuti inayoongoza hapa nchini kwa kuwa na Mitihani mingi sana kuanzia Nursery, Primary hadi Sekondari.

Jinsi ya kupakua Mitihani
Baada ya kuibonyeza link ya Past Papers na kufunguka, fanya kama unashuka chini.

Soma Maelekezo vizuri
Maana kuna hatua za kufuata ili uweze kupakua Aina ya Mitihani unayotaka.

Chagua Mitihani
Utachagua aina ya mitihani unayotaka, na katika level yake au Madarasa husika.

Mtihani ya Aina Mbili
Tuna Past Papers (Not solved) na Solved Exams.
Aina zote hizi za Mitihani zinakufaa sana

1. Past Papers (Not Solved)
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2020/05/past-papers-1986-2020.html

2. Solved Exams
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2019/08/solving-exams.html?m=1

Ukushaipakua Mitihani
nenda katika matunzio ya simu yako, utaikuta Mitihani imehifadhiwa huko.

Msomi Bora

19 Oct, 19:31

KUFUNGUA MITIHANI - ZIP FILES

Kuna Mitihani inawekwa humu au msomibora.com ikiwa kwenye Zip Files/Folders.
Ni rahisi sana kuifungua mara baada ya kuipakua.

Kama Simu yako haina uwezo kufungua hizi files, basi install WPS Office katika Simu yako.

Pakua hii App hapa chini:
๐Ÿ‘‰https://play.google.com/store/apps/details?id=cn.wps.moffice_i18n

Msomi Bora

19 Oct, 19:31

ENGLISH COURSE - BURE

Ni kozi ya bure sasa

Jifunze za Kiingereza bure kabisa katika Blog ya Msomi Bora.

Masomo Maalum
Tumekuwekea masomo Maalum (Notes) rahisi yenye Kiingereza kwenda Kiswahili.

Utatazama Video
Pia tumekuwekea video Maalum ambazo utawaona Walimu mabingwa wakikufundisha English. Hao Walimu watakutaka utamke maneno.

Level za English
Utasoma Level Tatu za kijifunza Kiingereza. Kuanzia Level ya kwanza hadi ya tatu.

Kozi ya Wote
Uwe Mwanafunzi, Mwalimu au Mtu yeyote yule, jifunze au boresha Kiingereza chako.

Mwisho wa Mateso
Usipate Tabu tena kutokana na kutokujua Kiingereza.

Msomi Bora tumekuletea dawa ya tatizo, waambie marafiki, Ndugu na jamaa ambao hata wako Mtaani lakini wanapenda kujifunza Kiingereza.

Bonyeza Link hapo chini kusoma bure kabisa English Course
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2023/12/english-course-ongea-na-andika.html

Msomi Bora

19 Oct, 19:31

MSOMI BORA - EDUCATION MATERIALS

Read and download the thousands of education materials for free, from our Website.

After clicking the Link
Just scrow down, and read the instructions very carefully, you will get anything you want.

A) NOTES

1. Nursery Notes
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2023/07/notes-for-nursery-pupils-all-subjects.html?m=1

2. Primary Notes
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2020/05/study-notes-for-primary-pupils.html?m=1

3. Secondary Notes
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡https://www.msomibora.com/2019/08/study-notes-for-secondary-students.html?m=1

B) PAST PAPERS
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2020/05/past-papers-1986-2020.html

C) SOLVED EXAMS
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2019/08/solving-exams.html?m=1

๐Ÿ“™๐Ÿ–Š๏ธโœ๏ธ๐Ÿ“š๐Ÿ“š๐Ÿ–Š๏ธโœ๏ธ๐Ÿ“—

D) SOCIAL MEDIA
Join today our Social Media Groups, Channels and Pages.

TELEGRAM CHANNEL
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://t.me/msomibora2018

WHATSAPP CHANNEL
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029VaCq5CeADTOAxZYLo913

FACEBOOK PAGE
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://m.facebook.com/profile.php/?id=100063450415781

Msomi Bora

17 Oct, 12:52

FORM FOUR - SOLVED EXAMS

Pre-Necta 2024

New Exams

Exams from Different Regions

Including: Kisarawe and many others

All Subjects

Free Download
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2024/09/form-four-pre-necta-exams-with-answers.html

Msomi Bora

17 Oct, 12:46

KISARAWE F4 SOLVED EXAMS

Pre-Necta 2024

Exams with Answers

All Subjects

Free Download
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2024/10/kisarawe-solved-exams-pre-necta-form.html

Msomi Bora

15 Oct, 15:51

FORM FOUR - SOLVED EXAMS

Pre-Necta 2024

New Exams

Exams from Different Regions

Including: Kibaki Joint and many others

All Subjects

Free Download
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2024/09/form-four-pre-necta-exams-with-answers.html

Msomi Bora

15 Oct, 15:47

KIBAKI JOINT F4 SOLVED EXAMS

Pre-Necta 2024

Exams with Answers

All Subjects

Free Download
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2024/10/kibaki-joint-solved-exams-pre-necta.html

Msomi Bora

14 Oct, 19:30

FORM FOUR | PRE-NECTA EXAMS

New Exams 2024

Exams from different regions

Including:
Tanga, Iringa and many others

All Subjects

Free download:
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2024/09/pre-necta-exams-form-four-2024-all.html

Msomi Bora

13 Oct, 09:37

FORM SIX - SOLVED EXAMS

Pre-Mock 2024

New Exams

Exams from Different Regions

Including: Ifakara and many others

All Subjects

Free Download
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2024/09/form-six-pre-mock-exams-with-answers.html

Msomi Bora

13 Oct, 09:35

IFAKARA F6 SOLVED EXAMS

Pre-Mock 2024

Exams with Answers

All Subjects

Free Download
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2024/10/ifakara-solved-exams-pre-mock-form-six.html

Msomi Bora

11 Oct, 09:29

FORM FOUR | PRE-NECTA EXAMS

New Exams 2024

Exams from different regions

Including:
Kibaki Joint and many others

All Subjects

Free download:
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2024/09/pre-necta-exams-form-four-2024-all.html

Msomi Bora

10 Oct, 16:52

Kusoma English Medium ni Ujinga

Msikilize huyo Jamaa

Yuko sahihi au Anapotosha?

Msomi Bora

10 Oct, 16:30

CLASS 4 SOLVED EXAMS

New Exams 2024

Exams with Answers

English and Swahili Mediums

Exams from different regions

Including: Vse Exams and many others

Free download:
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2024/05/class-four-exams-with-answers-2024-mock.html

Msomi Bora

10 Oct, 16:16

CLASS FOUR | PRE-NECTA EXAMS

New Exams 2024

English & Swahili Mediums

Exams from different regions

Including:
Emo Exams and many others

All Subjects

Free download:
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2023/06/pre-necta-exams-for-standard-four-all.html

Msomi Bora

10 Oct, 15:58

CLASS FOUR - MOCK EXAMS

New Exams 2024

English Medium

Exams from different regions

Including:
Emo Exams and many others

All Subjects

Free download:
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2024/04/mock-exams-for-standard-four-2024-all.html

Msomi Bora

10 Oct, 08:45

FORM FOUR - SOLVED EXAMS

Pre-Necta 2024

New Exams

Exams from Different Regions

Including: Ruvuma and many others

All Subjects

Free Download
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2024/09/form-four-pre-necta-exams-with-answers.html

Msomi Bora

10 Oct, 08:42

RUVUMA F4 SOLVED EXAMS

Pre-Necta 2024

Exams with Answers

All Subjects

Free Download
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://www.msomibora.com/2024/10/ruvuma-solved-exams-pre-necta-form-four.html

Msomi Bora

08 Oct, 16:53