Jerasp | Ajira za Afya @ajiraafya Channel on Telegram

Jerasp | Ajira za Afya

@ajiraafya


Tafuta ajira za wataalamu wa afya kwa urahisi! Tunatangaza fursa zote za kazi katika sekta ya afya kila saa, kila siku. Tembelea tovuti yetu leo! https://jerasp.org/

Jerasp | Ajira za Afya (Swahili)

Jerasp ni jukwaa la ajira za wataalamu wa afya ambalo linatoa fursa za kazi katika sekta ya afya kwa urahisi. Kupitia channel yetu ya Telegram, @ajiraafya, tunatangaza ajira zote zinazopatikana kila saa na kila siku. Ikiwa wewe ni mtaalamu wa afya ambaye anatafuta kazi au unatafuta mtu wa kuajiri katika sekta hii, basi hii ni channel sahihi kwako

Tunahakikisha kuwa fursa zote za kazi zinapatikana kwa wakati unaofaa na kwa njia rahisi. Huna haja tena ya kutumia muda mwingi kutafuta ajira, kwani tunakuletea taarifa sahihi moja kwa moja kwenye simu yako

Tembelea tovuti yetu leo, https://jerasp.org/, kwa taarifa zaidi na kujiandikisha ili upate taarifa za ajira mpya mara wanapotangazwa. Usikose fursa ya kujipatia kazi ya ndoto yako katika sekta ya afya. Jiunge na Jerasp leo!

Jerasp | Ajira za Afya

26 Jan, 07:59


Nafasi za Kazi kwa Wakunga (Nurse Midwife) Medical Teams International

βœ… Diploma
βœ… Bachelor

Deadline: January 31, 2025

Application link πŸ‘‡

https://jerasp.org/2025/01/25/nurse-midwife-job-at-medical-teams-international/

Follow our own channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

24 Jan, 09:16


Nafasi 2 za Kazi kwa Wafamasia

Follow our own channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

23 Jan, 10:53


Nafasi za Kazi kwa Madaktari (MD) January 2025

Follow our own channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

23 Jan, 06:49


Nafasi 6 za Kazi kwa Tabibu (CO)/Daktari (MD) Hospitali ya KCMC

βœ… Clinical Officers
βœ… Medical Doctors

Deadline: February 1, 2025

Application link πŸ‘‡

https://jerasp.org/2025/01/22/6-clinical-officers-and-medical-doctors-vacancies-at-kcmc/

Follow Our Own Channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

22 Jan, 09:18


Majina ya Wataalamu Mbali Mbali wa Afya Walioitwa Kazini January 22, 2025

Reading link πŸ‘‡

https://jerasp.org/2025/01/22/psrs-job-placement-january-22-2025/

Follow our own channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

22 Jan, 07:33


Nafasi za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya UNAIDS

βœ… MD
βœ… Public Health
βœ… Nurses
βœ… Lab Sc

Deadline: January 25, 2025

Application link πŸ‘‡
https://jerasp.org/2025/01/22/hiv-support-specialist-job-at-unaids/

Follow our own channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

20 Jan, 07:27


Nafasi 30 za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya Njombe Region (Mradi wa USAID)

βœ… Nurses
βœ… Clinical Officers
βœ… Lab Technologists

Deadline: January 24, 2025

Application link πŸ‘‡
https://jerasp.org/2025/01/20/30-voluntary-hiv-tester-at-njombe-region/

Follow our own channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

18 Jan, 08:29


Nafasi 3 za Kazi kwa Madaktari (MD) Wilaya ya Kibondo

Deadline: January 21, 2025

Application link πŸ‘‡

https://jerasp.org/2025/01/18/paid-volunteer-job-vacancies-for-medical-doctors/

Follow our own channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

18 Jan, 07:38


Nafasi za Kazi kwa Wauguzi (Nurses) Kitengule Hospital

Deadline: January 20, 2025

Application link πŸ‘‡

https://jerasp.org/2025/01/17/job-opportunities-for-nurses-at-kitengule-hospital/

Follow our own channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

17 Jan, 06:25


Nafasi za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya Quanah Schools

Certificate/Diploma
βœ… Medical Attendant
βœ… Nurse
βœ… Public Health
βœ… Lab
βœ… Pharmacy

Deadline: January 17, 2025

Apply via Email

Link πŸ‘‡
https://t.co/caHeyJREqb

Folow our own channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

16 Jan, 17:05


Anahitajika Mfamasia
Level: Diploma
Location: Goba
Mawasiliano: 0759722311

Jerasp | Ajira za Afya

12 Jan, 16:21


Nafasi 5000 za Ufadhili wa Masomo Nchini Uturuki (Full Funded | All Courses)

βœ… Undergraduate Degree
βœ… Masters Degree
βœ… PhD

Application link πŸ‘‡
https://t.co/O3m7xnzR9x

Follow our own channel πŸ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029VaDD7a1IN9iqNkrQxO1L

Jerasp | Ajira za Afya

12 Jan, 11:35


Enjoy our content? Advertise on this channel and reach a highly engaged audience! πŸ‘‰πŸ»

It's easy with Telega.io. As the leading platform for native ads and integrations on Telegram, it provides user-friendly and efficient tools for quick and automated ad launches.

⚑️ Place your ad here in three simple steps:

1 Sign up

2 Top up the balance in a convenient way

3 Create your advertising post

If your ad aligns with our content, we’ll gladly publish it.

Start your promotion journey now!

Jerasp | Ajira za Afya

12 Jan, 11:26


Nafasi 41 za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya Paradigms Hospital (Re Advertised)

βœ… Doctors
βœ… Nurses
βœ… Lab
βœ… Pharmacy

Deadline: January 15, 2025

Application link πŸ‘‡
https://t.co/pUOEOcohLN

Follow our own channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

11 Jan, 16:11


Nafasi 12 za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya NIMR

βœ…CO
βœ…Nurses

Deadline: January 24, 2025

Application link πŸ‘‡

https://jerasp.org/2025/01/11/national-institute-for-medical-research-nimr-january-2025-vacancies/

Share this to your friend &
Follow Our Own Channel πŸ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029VaDD7a1IN9iqNkrQxO1L

Jerasp | Ajira za Afya

11 Jan, 12:58


Majina ya Waombaji Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Uhamiaji January 2025

Reading link πŸ‘‡

https://t.co/ULKGf5luG7

Follow Our Own Channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

11 Jan, 06:45


Nafasi 465 za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya TAMISEMI

Deadline: January 20, 2025

Application link πŸ‘‡

https://t.co/zvlWcxKovz

Follow our own channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

08 Jan, 17:14


Haya Hapa Majina ya Wataalamu wa Afya Walioitwa Kwenye Usaili HJFMRI Mkoa wa Rukwa

Read more πŸ‘‡

https://t.co/uPq3qRie86

Follow our own channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

08 Jan, 08:25


Nafasi 141 za Kazi kwa Tabibu Msaidizi (Clinical Assistant) TAMISEMI

Deadline: January 20, 2025

Application link πŸ‘‡

https://t.co/5u3rcXXqql

Follow our own channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

08 Jan, 07:16


Nafasi Zaidi ya 4 za Kazi kwa Wataalamu wa Maabara USAID

Deadline: January 10, 2025

Application link πŸ‘‡

https://t.co/zPp6FymU5x

Follow our own channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

07 Jan, 17:54


Nafasi za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya USAID

βœ… CO
βœ… MD
βœ… Nurses
βœ… Lab
βœ… Pharmacy

Deadline: January 10, 2025

Application link πŸ‘‡

https://t.co/Iid01m6ei3

Follow our own channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

06 Jan, 16:53


Nafasi 5 za Kazi kwa Wataalamu wa Maabara Kairuki Pharmaceutical Industry Limited

More details πŸ‘‡

https://jerasp.org/2025/01/06/walk-in-interview-for-laboratory-proffesionals-5-posts/

Follow our own channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

06 Jan, 10:04


Nafasi za Kazi (Internship) kwa Wafamasia Kairuki Pharmaceutical Industry Limited

More details πŸ‘‡

https://t.co/CCTATjHD4w

Follow our own channel πŸ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029VaDD7a1IN9iqNkrQxO1L

Jerasp | Ajira za Afya

05 Jan, 11:11


Majina ya Wataalamu wa Afya Walioitwa Kazini January 2025

PDF ni ndefu kidogo
PDF Link ipo πŸ‘‡

https://jerasp.org/2025/01/05/job-placement-call-for-work-january-2025/

Follow our own channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

05 Jan, 09:50


Nafasi za Kazi kwa Wauguzi (Nurses) Good Victory English Medium

Recruitment Mode: Walk in Interview

More details πŸ‘‡

https://t.co/TCSruZuBKe

Follow our own channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

04 Jan, 19:20


Anahitajika Lab Assistant (1)
Akiwa maeneo ya Dar Bunju au karibu na Bunju atapewa kipaumbele
Jinsia yoyote (Ke Preferred)
Mawasiliano: WhatsApp 0659566327

Jerasp | Ajira za Afya

04 Jan, 09:10


Nafasi za Kazi kwa Wauguzi (Nurses) DSB Polyclinic

βœ… Certificate
βœ… Diploma
βœ… Bachelor

Application link πŸ‘‡

https://t.co/ymiTAgFEcJ

Follow Our Own Channel πŸ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029VaDD7a1IN9iqNkrQxO1L

Jerasp | Ajira za Afya

03 Jan, 17:59


Nafasi 41 za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya Paradigms Hospital

Elimu Kuanzia
βœ… Form IV
βœ… Diploma
βœ… Bachelor

Deadline: January 15, 2025

Application link πŸ‘‡

https://t.co/pUOEOcohLN

Follow our own channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

03 Jan, 12:41


Jinsi ya Kutuma CC (Carbon Copy) Email kwa Kutumia Gmail

Read more πŸ‘‡

https://t.co/1IJH7foRp1

Follow our own channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

03 Jan, 09:22


Nafasi 40 za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya Chuo Kikuu Muhimbili (MUHAS)

βœ… Diploma
βœ… Bachelor

Deadline: January 16, 2025

Application link πŸ‘‡

https://t.co/yesMx99ouR

Follow our own channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

31 Dec, 18:07


Nafasi 7 za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya Good Samaritan Hospital

Deadline: January 3, 2025

Application link πŸ‘‡
https://t.co/u050CxBJKV

Follow our own channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

30 Dec, 16:01


Nafasi 3 za Kazi kwa Madaktari (Medical Doctors) MHTI

Deadline: January 3, 2025

Application link πŸ‘‡

https://t.co/yhjwkMe2t1

Follow our own channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

30 Dec, 12:58


Anatafutwa Pharmacist kwaajili ya kusimamia Pharmacy
Location: Temeke Mbagala
Makubaliano yote yanafanyika offisini pekee na sio kwenye simu
Kupata maelekezo zaidi jinsi ya kufika ofisini
Piga: +255675473746

NB: Gharama ya usafiri ni juu yako

Jerasp | Ajira za Afya

30 Dec, 12:31


Nafasi 5 za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya Aliance Health Center

Deadline: December 31, 2024

Application link πŸ‘‡

https://t.co/Obcj6TBkxG

Follow our own channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

30 Dec, 09:37


Nafasi 5 za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya Hospitali ya Kairuki

Deadline: January 10, 2025

Application link πŸ‘‡

https://t.co/vfVDTcfsc5

Follow our own channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

29 Dec, 10:19


Nafasi 3 za Kazi kwa Wataalamu wa Mionzi (Radiographers)

Deadline: January 6, 2025

Application link πŸ‘‡

https://t.co/aH80FTIahF

Follow our channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

28 Dec, 13:56


Nafasi 3 za Kazi kwa Wafamasia Chuo cha Afya Berega

Deadline: January 9, 2025

Application link πŸ‘‡
https://t.co/Y0SEVY1bNw

Follow our channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

26 Dec, 11:23


Nafasi 4 za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya MUHAS

Deadline: December 31, 2024

Application link πŸ‘‡

https://jerasp.org/2024/12/26/job-opportunities-for-healthcare-professionals-at-muhas/

Follow our channel πŸ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029VaDD7a1IN9iqNkrQxO1L

Jerasp | Ajira za Afya

25 Dec, 16:19


Nafasi 42 za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya Shirika la MDH

Deadline: January 3, 2025

Application link πŸ‘‡

https://jerasp.org/2024/12/25/42-open-positions-for-healthcare-professionals-at-mdh/

Follow our channel @ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

22 Dec, 20:10


We are Back

Ndugu watumiaji wa mtandao wa ajira za afya, Jerasp,

Tunapenda kutoa shukrani za dhati kwa uvumilivu na uaminifu wenu wakati wa kipindi kigumu ambapo mtandao wetu ulikuwa nje ya huduma kwa zaidi ya miezi minne. Tunatambua changamoto ambazo hali hii imewapa, na tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliosababishwa.

Habari njema ni kwamba sasa tunaelekea hatua za mwisho za kurudisha Jerasp kwa kishindo kikubwa! Tumejifunza mengi katika kipindi hiki na tunakamilisha maboresho makubwa ili kuhakikisha huduma bora zaidi, mfumo imara, na matumizi rahisi zaidi kwa watumiaji wote.
Asanteni kwa kuwa nasi na kwa kutuamini.

Tunatazamia kuendelea kuwa mshirika wenu wa kuaminika katika safari ya kutafuta fursa bora za ajira katika sekta ya afya.

Tafadhali endelea kufuatilia taarifa zetu kwa maendeleo zaidi.

Jerasp iko tayari kurudi, kwa ukubwa na ubora zaidi!

Kwa shukrani nyingi,
Jerasp Team

Jerasp | Ajira za Afya

17 Dec, 11:24


Ushawahi jiuliza
Ukiachana na mikoa ya
1. Dar es Salaam
2. Dodoma
3. Mwanza
4. Arusha na
5. Mbeya

Ni sehemu gani nyingine unaweza kupata huduma ya MRI Test?

Jerasp | Ajira za Afya

24 Nov, 18:44


Nafasi 84 za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya Shirika la ICAP

1️⃣ Nurse - 28
2️⃣ HIV Tester - 37
3️⃣ Lab Scientist- 2
4️⃣ Lab Technologists- 6
5️⃣ Pharmaceutical- 1

Application link
πŸ‘‡πŸ‘‡
jerasp.org/apply

Jerasp | Ajira za Afya

24 Nov, 15:23


Nafasi za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya Shirika la HJFMRI

1️⃣ Wataalamu wa Maabara
2️⃣ Madaktari
3️⃣ Tabibu
4⃣ Wauguzi

Apply Sasa Kupitia Jerasp
πŸ‘‡πŸ‘‡

heylink.me/jerasp

Jerasp | Ajira za Afya

24 Nov, 11:36


Nafasi 76 za Ajira kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya Hospitali ya Benjamin Mkapa

Deadline: 26 Nov 2024

Apply Now kupitia JeraspπŸ‘‡
heylink.me/jerasp

Jerasp | Ajira za Afya

19 Nov, 10:10


Nafasi 74 za Ajira kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya MDH

Jerasp | Ajira za Afya

03 Oct, 06:00


Nafasi 2 za Kazi kwa Madaktari (MD) Kitengule Hospital

Deadline: October 8, 2024

Application link πŸ‘‡

https://jerasp.org/2024/10/03/general-practitioner-md-at-kitengule-hospital-2-posts/

Share na marafiki zako
Jiunge Telegram Channel πŸ‘‡
t.me/ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

02 Oct, 18:17


Nafasi za Kazi kwa Wauguzi (Nurse) Shirika la Médecins Sans Frontières

Deadline: October 4, 2024

Application link πŸ‘‡

https://jerasp.org/2024/10/01/job-opportunities-for-nurses-at-medecins-sans-frontiere/

Please share na rafiki zako
Jiunge Telegram Channel πŸ‘‡
t.me/ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

02 Oct, 05:25


Nafasi za Kazi kwa Madaktari (MD) Shirika la Médecins Sans Frontières

Deadline: October 4, 2024

Application link πŸ‘‡

https://jerasp.org/2024/10/01/job-opportunities-for-medical-doctors-at-medecins-sans-frontieres/

Share na marafiki zako
Jiunge Telegram ChannelπŸ‘‡
t.me/ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

01 Oct, 12:47


Nafasi za Kazi kwa Wataalamu wa Maabara Shirika la Médecins Sans Frontières

Deadline: October 4, 2024

Application link πŸ‘‡

https://jerasp.org/2024/10/01/job-opportunities-for-laboratory-professionals-at-medecins-sans-frontieres/

Share na marafiki zako
Jiunge Telegram Channel πŸ‘‡
t.me/ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

01 Oct, 09:35


Nafasi ya Kushiriki Kongamano la Kimataifa la Vijana Africa Nchini Ghana (Fully Funded)

Hii ni fursa itakayokusaidia kupata Experience na Exposure ya kimataifa Inadhaminiwa na Umoja wa Mataifa (UN)

Deadline: October 5, 2024

Application link πŸ‘‡

https://jerasp.org/2024/10/01/opportunity-to-participate-in-africa-youth-fellowship-ghana-fully-funded/

Share na marafiki zako
Jiunge Telegram Channel πŸ‘‡
t.me/ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

30 Sep, 15:33


Nafasi 31 za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya

Deadline: October 14, 2024

Application link πŸ‘‡

https://jerasp.org/2024/09/30/31-job-opportunities-for-various-healthcare-professionals-at-consolata-ikonda-hospital/

Please share na marafiki zako
Jiunge Telegram Channel πŸ‘‡
t.me/ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

29 Sep, 14:10


Nafasi 13 za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya Nanyumbu DC

Deadline: October 8, 2024

Application link πŸ‘‡

https://jerasp.org/2024/09/29/13-job-opportunities-for-various-healthcare-professionals-nanyumbu-dc/

Please Share na marafiki zako
Jiunge Telegram ChannelπŸ‘‡
t.me/ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

28 Sep, 16:40


Nafasi 4 za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya St. Bakhita

Deadline: September 30, 2024

Application link πŸ‘‡

https://jerasp.org/2024/09/28/4-job-opportunities-for-various-healthcare-professionals-at-st-bakhita/

Please share na rafiki zako
Jiunge Telegram ChannelπŸ‘‡
t.me/ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

28 Sep, 06:48


Nafasi 4 za Kazi kwa Wauguzi (Nurses) Mchukwi Mission Hospital

Deadline: September 30, 2024

Application link πŸ‘‡

https://jerasp.org/2024/09/27/4-job-opportunities-for-nurses-at-mchukwi-mission-hospital/

Share na marafiki zako
Jiunge Telegram Channel πŸ‘‡
t.me/ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

27 Sep, 09:12


Nafasi za Kazi kwa Madaktari (MD/MBBS) Shirika la ICAP

Deadline: October 1, 2024

Application link πŸ‘‡

https://jerasp.org/2024/09/26/job-opportunities-for-medical-doctors-at-icap/

Share na marafiki zako
Jiunge Telegram Channel πŸ‘‡
t.me/ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

26 Sep, 06:55


Nafasi za Kazi kwa Madaktari (Medical Doctors) Shirika la THPS

Deadline: September 30, 2024

Application link πŸ‘‡

https://jerasp.org/2024/09/26/job-opportunities-for-medical-doctors-at-thps/

Share na marafiki zako
Jiunge Telegram Channel πŸ‘‡
t.me/ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

25 Sep, 14:09


Majina ya Waombaji Walioitwa Kazini Kada Mbali Mbali za Afya (Utumishi)

Yapo majina kutoka kwenye database ya utumishi (Ajira Portal)

Reading link πŸ‘‡

https://jerasp.org/2024/09/25/placement-announcement-for-various-healthcare-cadres/

Share na marafiki zako
Jiunge Telegram Channel πŸ‘‡
t.me/ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

25 Sep, 10:19


Nafasi 10 za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya

Deadline: September 29, 2024

Application link πŸ‘‡

https://jerasp.org/2024/09/24/10-job-opportunities-for-various-healthcare-professionals-at-ceels/

Share na marafiki zako
Jiunge Telegram Channel πŸ‘‡
t.me/ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

24 Sep, 05:22


Nafasi 2 za Kazi kwa Wateknolojia Maabara Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA)

Deadline: October 10, 2024

Application link πŸ‘‡

https://jerasp.org/2024/09/24/2-opportunities-for-laboratory-technologists-at-sua/

Share with your friends
Jiunge Telegram ChannelπŸ‘‡
t.me/ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

23 Sep, 07:38


Nafasi 20 za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Chuo cha Bugando

Elimu:
βœ… Certificate
βœ… Diploma
βœ… Bachelor
βœ… Masters

Deadline: October 11, 2024

Application link πŸ‘‡

https://jerasp.org/2024/09/22/job-opportunities-for-various-healthcare-professionals-at-cuhas/

Share with your friends
Jiunge Telegram Channel πŸ‘‡
t.me/ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

22 Sep, 12:35


Nafasi 8 za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Chuo cha Afya Padre Pio

Deadline: September 24, 2024

Application link πŸ‘‡

https://jerasp.org/2024/09/22/job-opportunities-for-various-healthcare-professionals/

Sambaza kwa Rafiki Zako
Jiunge Telegram Channel πŸ‘‡
t.me/ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

22 Sep, 05:55


Nafasi 11 za Kazi Utegu Health Center Rorya (Serikalini)

Deadline: September 23, 2024

Application link πŸ‘‡

https://jerasp.org/2024/09/21/11-job-opportunities-for-various-healthcare-professionals-at-rorya-dc/

Sambaza kwa marafiki zako
Jiunge Telegram Channel πŸ‘‡
t.me/ajiraafya

Jerasp | Ajira za Afya

21 Sep, 10:45


Nafasi 6 za Kazi kwa Wataalamu Mbali Mbali wa Afya MacWish College

Deadline: September 30, 2024

Application link πŸ‘‡

https://jerasp.org/2024/09/21/6-job-opportunities-for-various-healthcare-professionals-at-macwish-college/

Sharing is caring
Share this info with your friends

Jiunge Channel Yetu ya Telegram πŸ‘‡
t.me/ajiraafya