Wenye Nchi Wananchi @wenyenchiwananchi Channel on Telegram

Wenye Nchi Wananchi

@wenyenchiwananchi


Nchi ya wananchi na tunataka kurudisha mamlaka halisi kwa wananchi , Unaweza wasiliana nasi kwa whatssApp , Telegream na signal +1 (862) 438-3337 kama una habari yoyote kuhusu harakati na haki za binadamu

Wenye Nchi Wananchi (Swahili)

Wenye Nchi Wananchi ni jukwaa la Telegram lililoanzishwa kwa lengo la kuwakutanisha wananchi wenye nia moja ya kuleta mabadiliko chanya katika jamii yetu. Kupitia jukwaa hili, wanachama wanaweza kushirikishana mawazo, maoni, na mikakati ya jinsi wanavyoweza kushiriki katika shughuli za kijamii na kisiasa ili kuleta maendeleo nchini. Wenye Nchi Wananchi ni mahali ambapo kila mtu ana sauti na anaweza kuchangia kwa njia ya amani na maelewano. nnKwa nini ujiunge na Wenye Nchi Wananchi? Kama unapenda kujenga jamii bora, yenye maendeleo na ushirikiano, hii ni fursa yako ya kipekee. Kupitia jukwaa hili, utapata maelekezo, mbinu, na njia za jinsi unavyoweza kuchangia katika maendeleo ya nchi yetu. Pia, utapata fursa ya kujifunza kutoka kwa wengine, kushirikiana na watu wenye malengo sawa na wewe, na kushiriki katika mijadala inayosaidia kutatua changamoto za kijamii na kiuchumi. Wenye Nchi Wananchi ni jukwaa lenye kuvutia na lenye kuleta matumaini kwa siku zijazo za nchi yetu. nnKila mmoja wetu ana wajibu wa kuchangia katika maendeleo ya jamii. Kwa kujiunga na Wenye Nchi Wananchi, unajitolea kuwa sehemu ya mchakato wa kuleta mabadiliko chanya katika nchi yetu. Tunaamini kwamba kila sauti ni muhimu na kila mchango una thamani. Tunakualika ujiunge nasi leo ili tuweze pamoja kuwa nguvu ya mabadiliko tunayoitafuta. Karibu kwenye familia ya Wenye Nchi Wananchi!

Wenye Nchi Wananchi

21 Nov, 19:24


Haya maokoto mbona ghafla hivi? Mkataba tuliuvunja bila utaratibu, tunapelekwa mahakamani alafu tunakimbilia kukubaliana nje ya mahakama na malipo ni hapo hapo! Michezo ya mjini!
https://x.com/MariaSTsehai/status/1859652084561485999

Wenye Nchi Wananchi

21 Nov, 18:35


Yaliyofanya Same kuzuia mikutano ya Lissu, inapangwa kufanyika Mwanza , Wenye ameanzisha vita kali dhidi ya mikutano ya Lissu huko Kanda ya Ziwa, Leo ni kumfurahisha Abdul na mama yake, Wenye na Mwamba wamempa ahadi Abdul na mama yake kutompiga spana , wanakerwa na anachofanya Lissu, wameshatoa ahadi kwa Samia kumfua Lissu vyeo vyote ndani ya chama https://x.com/KatibaMpyaTz_/status/1859662763133633021

Wenye Nchi Wananchi

20 Nov, 12:22


Watanzania wamkosoa Samia kwa kuangalia na masuala ya mipira lakini kukwepa masuala ya majanga na utu yanayowakumba Watanzania kama Vile suala la Kariakoo, Ametoa 700 million wakati kuna watu wamefirikika Kariakoo kutokana na Jengo kuanguka kuna familia zimepoteza nguvu na mitaji

Wenye Nchi Wananchi

20 Nov, 12:20


Wahuni Ndani ya CHADEMA wakiongozwa na Ben Kigaila Naibu Karibu Mkuu bara, Waanza kushambulia Baadhi ya Viongozi wa Chama

Wenye Nchi Wananchi

18 Nov, 18:56


Mjadala kuhusu suala ya majanga na uokoaji nchini, makosa yaliyofanyika . Kukosekana uwajibikaji na usanii was serikali kwenye bajeti na vifaa vya uokoaji
#MariaSpace #KatibaMpya. LIVE
https://x.com/i/spaces/1YqKDkdZkLQxV

Wenye Nchi Wananchi

17 Nov, 18:22


Hii ndio hali ya jengo lililodondoka Kariakoo, wananchi wahoji ubora na idadi ya nondo zilizotumika

Wenye Nchi Wananchi

17 Nov, 18:17


Tundu Lissu Kuhusu uwepo wa Rushwa

Wenye Nchi Wananchi

17 Nov, 18:16


Kuhusu uokoaji Kariakoo

Wenye Nchi Wananchi

17 Nov, 18:14


Prof Tibaijuka : Kuna shida kwenye ubora wa majengo yetu kwa muda mrefu

Wenye Nchi Wananchi

16 Nov, 10:16


Maria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
๐Ÿšจ๐ŸšจBUILDING HAS COLLAPSED IN KARIAKOO #TANZANIA โ€ผ๏ธ
A building has collapsed in Kariakoo - the busy business hub of Dar es Salaam in Tanzania
Many are trapped and feared dead! https://x.com/MariaSTsehai/status/1857691951384113334

Wenye Nchi Wananchi

14 Nov, 19:22


Abdukarimu : Niliwahi kumwambia Soka tukiwa Arusha, Kwa sasa tuna maadui wabaya sana ndani ya CHAMA wanaotumika, Wanatuchukiwa sababu ya misimamo yetu kusema ukweli na kupenda haki, Tuna watu wanapenda dhulma ndani ya chama #WenyeNchiWananchi #MariaSpaces https://x.com/i/spaces/1MnxnDejYWBGO

Wenye Nchi Wananchi

14 Nov, 19:20


Abdukarimu : Hivi unawezaje kumpinga Lissu anapopiga vita RUSHWA ? kwa sababu umewekwa na mtu na unafanya uhuni kwenye demokrasia, Tutawaambia mchana kweupe, Lissu ni mtu mwenye masuala yaliyonyooka, Wao ndio waache UTAPELI #WenyeNchiWananchi #MariaSpaces https://x.com/i/spaces/1MnxnDejYWBGO

Wenye Nchi Wananchi

14 Nov, 19:16


Abdukarimu : Madalali wa kisiasa wanatakiwa kuelewa, Walisukumwa kina Mrema kwenye magari wakafa kwa fedheha, Wanatakiwa kujua haya mambo yana mwisho huu udalali wao sasa imetosha #WenyeNchiWananchi #MariaSpaces https://x.com/i/spaces/1MnxnDejYWBGO

Wenye Nchi Wananchi

14 Nov, 19:13


Abdukarimu : Kuna mtu analewa KVANT halafu anakuja kukosoa mtu ambaye amezunguka nchi nzima kugombea urais, Mtu anayeongwa ndoo ya mchele apindishe mambo, Walevi wanawezaje kutuvusha hapa tulipo, wanahogwa hovyo vitu cheee #WenyeNchiWananchi #MariaSpaces https://x.com/i/spaces/1MnxnDejYWBGO

Wenye Nchi Wananchi

14 Nov, 18:51


Mwaura : Ni hatari sana tunakuwa na wapambanaji tunashinda nao mchana tukifanya mikakati, lakini usiku wanatugeuka na kwenda kula na kuchukua hela kwa Abdul, atuwezi kukomboa nchi namna hii #WenyeNchiWananchi #MariaSpaces https://x.com/i/spaces/1MnxnDejYWBGO

Wenye Nchi Wananchi

14 Nov, 18:47


Mwaura : Moi alipoona anakaribia kuondolewa madarakani, alienda chama cha Ford akaweka mamruki wake wawili, wale viongozi wa juu ndio akaendelea kuwa madarakani kwa namna hiyo . #WenyeNchiWananchi #MariaSpaces https://x.com/i/spaces/1MnxnDejYWBGO

Wenye Nchi Wananchi

14 Nov, 17:10


Uchaguzi 2024 - tunarudia yaleyale na kutegemea matokeo tofauti ? https://x.com/i/spaces/1MnxnDejYWBGO