ShortClips za Madu'aat wa kisalafi - حفظهم الله تعالى

@short_clips_salafiyyah_tz


Lengo letu ni kukusanya na kutawanya short clips za Madu'aat wa kisalafi zenye jumbe nzuri na zenye faaida kwa waislaam wote

ShortClips za Madu'aat wa kisalafi - حفظهم الله تعالى

20 Oct, 09:54


KATIKA FADHILA ZA TAWHIYD NA MAANA SAHIHI YA JILINDE NAWE ALLĀH ATAKULINDA


🎙️ Ustaadh Abul Haarith 'Abdullāh Bin 'Iysaa - حفظه الله تعالى ورعاه


JIUNGE NASI TELEGRAM
🖇️ https://t.me/short_clips_salafiyyah_TZ

🖇️https://t.me/duruusabiyalhaarithTZ

ShortClips za Madu'aat wa kisalafi - حفظهم الله تعالى

19 Oct, 17:04


SIKILIZA QUR-AAN

ShortClips za Madu'aat wa kisalafi - حفظهم الله تعالى

17 Oct, 08:25


HALI YA MUUMINI BAINA YA MUUMINI


🎙️ Ustaadh Abuu Rahmat 'Abdul-Hakiim - حفظه الله تعالى ورعاه.


🖇️ https://t.me/short_clips_salafiyyah_TZ

ShortClips za Madu'aat wa kisalafi - حفظهم الله تعالى

17 Oct, 06:18


KHATARI YA KWENDA KWA MAKUHANI NA WAPIGA RAMLI


🎙️ Ustaadh Abuu Zayd Jumu'ah Bin 'Abdillāh - حفظه الله تعالى ورعاه .

ShortClips za Madu'aat wa kisalafi - حفظهم الله تعالى

17 Oct, 04:46


https://t.me/duruusilmiyah/24763

👆👆👆

📍BOFYA HIYO LINK EWE NDUGU MKARIMU KWA AJILI YA KUJIPATIA DARASA ZENYE KUELEZEA UHARAMU WA PICHA ZA VIUMBE VYENYE ROHO NA RADDI JUU YA WENYE KUJUZISHA PICHA ZENYE KUPIGWA KWA KUTUMIA KAMERA.

ShortClips za Madu'aat wa kisalafi - حفظهم الله تعالى

17 Oct, 04:24


PDF YA HADITHI ZINAZOELEZEA UHARAMU WA PICHA ZA VIUMBE VYENYE ROHO.

ABUU KHAYRAAT ILYASAA BIN SHAABAAN- ALLAH AMHIFADHI.

ShortClips za Madu'aat wa kisalafi - حفظهم الله تعالى

17 Oct, 04:23


بسم الله الرحمن الحيم



FAT'WA YA ASHAYKH HASAN BN MUHAMMAD BA-SHU'AYB AL-HADHWRAMIY(حفظه الله تعالى) KUHUSU GROUP ZA WHATSAPP AMBAZO NDANI YAKE KUNA WATU WALIOWEKA MAPICHA YA VIUMBE VYENYE ROHO KWENYE PROFILE ZAO:

Aliulizwa Ashaykh (حفظه الله تعالى):


📝 الســـؤال:
Swali:

عندي مجموعة واتساب دينية وفيها مشاركين كثير ولكن اغلب المشاركين معنا في المجموعة حاطين صور ذات الروح على حالاتهم الخاصه،، وللعلم المجموعة ما ينشر فيها غير المشرفين فقط فماذا تفيدوننا هل نقوم بازالة كل من يضع على حالته الخاصه صور ذات الروح او نتركهم يستفيدون من المجموعة؟

Mimi nina kundi (group) ya WhatsApp ya kidini, na ndani yake kuna Washiriki wengi, lakini wengi wa (hao) Washiriki pamoja nasi katika kundi (group) ni wawekaji picha za (viumbe) vyenye roho katika profile zao, na kwa kujulisha ni kuwa kundi (group) hatumi (au kusambaza ) isipokuwa Viongozi (Waendeshaji wa group) tu, ni kipi unatufaidisha, je, tusimamie (kutekeleza) kumuondoa kila anayeweka kwenye profile yake picha za (viumbe) vyenye roho au tuwaache wafaidike (kupata faida) kutoka katika kundi (group)?

📖 الاجــــابة:
Jawabu:

الذي لا يقبل النصح ويطمس الصورة¹ يبعَد زجرًا²
ولا ينبغي التهاون في هذا الباب
فإن الشيطان له خطوات³

Yule ambaye hakubali nasaha na kuondosha picha, anawekwa mbali (anatolewa kwenye group) hali ya kuzuia/kukataza, na wala haitakiwi kuzembea katika mlango huu, kwani Shaytwaan yeye ana hatua.

(Rejea:)

إِجـَـــــابــــــــةُ الشـَّيْخِ المِفضَـالِِ الفَقِيــهِ أبـي حمْــزةَ حسنِ بِنِ مُحمّدٍ باشُـعِيبٍ حفظـهُ اللهُ تعـَالٰى عَلَى أسـئلةِ يوْم الاربعاء ١٧ رمضان لِعامِ ١٤٤٠

(Kiungo:) https://t.me/Bashuaib/4295
____
1.عن أبي الهياج الأسدي قال: قال لي علي رضي الله عنه : «ألا أَبْعَثُك على ما بَعَثَني عليه رسول الله صلى الله عليه وسلم ؟ أن لا تَدْعَ صُورَةً إلا طَمَسْتَها، ولا قَبْرًا مُشْرِفًا إلا سَوَّيْتَه» . (رواه مسلم)

2.عن أبي سعيد الخدري رضي الله عنه قال : سمعت رسول الله صلى الله عليه وسلم يقول : ( من رأى منكم منكرا فليغيره بيده ، فإن لم يستطع فبلسانه ، فإن لم يستطع فبقلبه ، وذلك أضعف الإيمان ) (رواه مسلم.)

3.{ ۞ یَـٰۤأَیُّهَا ٱلَّذِینَ ءَامَنُوا۟ لَا تَتَّبِعُوا۟ خُطُوَ ٰ⁠تِ ٱلشَّیۡطَـٰنِۚ وَمَن یَتَّبِعۡ خُطُوَ ٰ⁠تِ ٱلشَّیۡطَـٰنِ فَإِنَّهُۥ یَأۡمُرُ بِٱلۡفَحۡشَاۤءِ وَٱلۡمُنكَرِۚ وَلَوۡلَا فَضۡلُ ٱللَّهِ عَلَیۡكُمۡ وَرَحۡمَتُهُۥ مَا زَكَىٰ مِنكُم مِّنۡ أَحَدٍ أَبَدࣰا وَلَـٰكِنَّ ٱللَّهَ یُزَكِّی مَن یَشَاۤءُۗ وَٱللَّهُ سَمِیعٌ عَلِیمࣱ }

(سورة النور: 21)
~~~~
Ameitarjama na kuiwekea Haashiya: Abuu 'Aqiyl 'Uthmaan bn Habiyb (وفقه الله تعالى).

✍🏻https://t.me/vipeperushivyakielimuTZ

ShortClips za Madu'aat wa kisalafi - حفظهم الله تعالى

16 Oct, 22:34


NAAM IKHWA BAARAKA ALLAAHU FIYKUM, TUNAWAPA NASAHA WALE NDUGU WOTE WALIOWEKA PICHA ZA VIUMBE VYENYE ROHO WAONDOSHE MARA MOJA IKIWA NI KUFANYIA KAZI SHERIA YA DINI YETU KATIKA KUJIWEKA MBALI NA DHAMBI HILI KUBWA MIONGONI MWA MADHAMBI MAKUBWA.


NA KATIKA KUFANYIA KAZI MLANGO WA TASWFIYA (USAFISHAJI) NA UONDOSHAJI MUNKARI AMBAO NI MUHIMU KATIKA DINI YETU HII TUKUFU, TUTAWAONDOSHA WALE WOTE WENYE PICHA ZA VIUMBE VYENYE ROHO KATIKA PROFILE PICTURES ZAO BAADA YA MUDA IN SHAA ALLAAH, HIVYO KWA KILA YULE AMBAYE ANA GHERA NA DINI YAKE BASI HANA BUDI KUSAFISHA PROFILE YAKE NA KADHALIKA SIMU YAKE NA NYUMBA YAKE KIUJUMLA AISAFISHE KUTOKANA NA DHAMBI HILI NA MENGINEYO KWANI KINYUME NA HIVYO ITAPELEKEA KUKOSEKANA KWA BARKA NDANI MWAKE ENDAPO HATOJISAFISHA NA KWETU KIUJUMLA ENDAPO HATUTOFANYA USAFI HUU KWA AJILI YA ALLAAH عز وجل.

بارك الله فيكم.

ShortClips za Madu'aat wa kisalafi - حفظهم الله تعالى

16 Oct, 19:05


MIKOPO INAYOFAA KATIKA UISLAAM

🎙️ Ustaadh Abuu Khatwiib Sha'aban Bin Khatwiib - Allāh Mtukufu Aliye Juu Amuhifadhi na Amchunge.



🖇️ https://t.me/short_clips_salafiyyah_TZ

ShortClips za Madu'aat wa kisalafi - حفظهم الله تعالى

13 Oct, 13:17


Hapa utapata mfululizo wa duruus za kielimu na zenye manufaa kutoka kwa ndugu zetu wa Masjid hii mubaaraka in shaa Allaah ikiwa chini ya usimamizi wa akh Abuu 'Abdit-tawwaab Swaddaam Alhayawiy حفظه الله ورعاه.
https://t.me/duruussalafiyyahmwanzaTZ

1,689

subscribers

6

photos

902

videos