AFYA YAKO LEO

@jitibu


https://t.me/Huduma

AFYA YAKO LEO

23 Oct, 09:49


Umetumiwa hii picha na Mpenzi wako bila Maelekezo yeyote...

Jibu kulingana na hali ya Mahusiano yenu Kwa Sasa...😀😃

AFYA YAKO LEO

23 Oct, 08:12


Swipe ⬅️⬅️
Jifunze haya na mengine mengi katika application ya Afyachap

link ipo katika Bio

#afyachapdaktarikiganjanimwako

AFYA YAKO LEO

23 Oct, 06:42


NB: Zingatia vyakula vyenye kiasi kikuwa cha madini ya zinki n kuongeza uwingi na ubora wa homoni ya Testosteroni,

Nakuboresha production ya Mbegu zenye afya njema.

Nimuhimu kufanya vipimo vya Homoni level na kiwango cha Sperm cells Kila baada ya Miezi 6, walau mara 2 kwa mwaka.

Kwa Msaada zaidi, (Primium) Ushauri wa Kisaikolojia, Elimu na usimamizi wa afya yako ya uzazi, Jisajili Nasi kupitia Link...👇

https://mr-health-huduma-ya-afya-kiganjani.gr-site.com/

AFYA YAKO LEO

23 Oct, 06:42


Matatizo hayo yata pelekea kushindwa kumpa mwanamke mimba. Tuone baadhi ya sababu....

1. Homoni kuvurugika (Hormono imbalance)

Tatzo hili limekuwa gumzo kwa wanaume wengi kutokana na mitindo ya maisha, Homoni za Testosterone zikipungua kwa mwanaume mbegu zitakua dhaifu.

2. Upungufu wa madini ya zinc kwa kiwango kikubwa mwilini,

Madini ya zinc kwa mwanaume nimuhimu sana, Mwanaume mwenye madini ya zinc ya kutosha huwa na mbegu nyingi na imara.
👇

AFYA YAKO LEO

23 Oct, 06:42


3. Kumwaga mbegu mara kwa mara, "KUJICHUA".

Kumwaga sana mbegu nisababu ya mbegu zako kukosa ubora na hivyo kutoa mbegu chache, Nyepesi na dhaifu,

Kujichua ni sababu moja wapo inayo kufanya umwage mbegu sana, Naitapelekea mbegu zako kuwa Nyepesi na zisizo vutia.

4. Matatizo ya tezi dume na maambukizi ya magonjwa ya zinaa kwama vile (Kisonono na kaswende) Nimoja ya sababu zinazo pelekea Matatizo ya mbegu dhaifu.
👇

AFYA YAKO LEO

23 Oct, 06:42


Sababu Zinazo Pelekea Shahawa Nyepesi Na Idadi Ndogo Ya Manii (Low perm count).

Uzi....

AFYA YAKO LEO

23 Oct, 06:42


Kwakawaida ili mwanaume awezekumpa mwanamke mimba anatakiwa kutoa kiasi cha mbegu kati ya 15M hadi 300M, Per Milliliter of Semen.

Mwanaume akiwa na Shahawa nyepesi ni kiashiria cha mbegu kuwa chache (Oligospermia) Au kutokwepo kwa mbegu kabisa (Azoospermia), 👇

AFYA YAKO LEO

22 Oct, 18:51


VITU [9] VINAVYOWEZA KUPUNGUZA PERFORMANCE YAKO KITANDANI!

1. Hofu Ya Mimba, Magonjwa, kufumaniwa N.k

2. Uchafu wa mwanamke (Ukeni, harufu ya mdomoni au mazingira mchafu ya kitandani au chumba.

3. Kukamia Mechi (amekula hela zako, umemmiss sana) N.k

4. Ugeni (Kusex kwa mara ya kwanza na mtu husika).

5. Kutokula vizuri (chakula dhaifu) (Njaa).

6. Mawazo hasi (alivyo na Tako kubwa nitamwaga mapema) inakutokea vile vile.

7. Kusex mara nyingi sana, Punyeto (Unapoteza stamina)

8. Kusex na usiye mpenda (hayupo moyoni) aidha ni ex wife au rafiki.

9. Aibu, Kutokujiamini, Kuhofia utaharibu kulingana na historia ya show mbovu hapo nyuma.

NB: Inawezekana wewe ni mzima kabisa una nguvu vizuri,

ila hizo sababu zikakufanya uperform chini ya kiwango, asilimia kubwa niswala la kisaikolojia..🧠

AFYA YAKO LEO

22 Oct, 10:59


Case za Kudondoka ghafla mtu akiwa kazini zimekuwa nyingi sana Hapa Emergency...

Acheni mchezo na afya zenu.. Kunyweni maji wakuu, Kunywa maji yakutosha, Hakikisha pia umeshiba chakula, Nasio Pombe 😃...🩺

AFYA YAKO LEO

22 Oct, 07:14


Swipe ⬅️⬅️
Jifunze haya na mengine mengi katika application ya Afyachap

#afyachapdaktarikiganjanimwako

AFYA YAKO LEO

22 Oct, 07:14


Swipe ⬅️⬅️
Jifunze haya na mengine mengi katika application ya Afyachap

#afyachapdaktarikiganjanimwako