ีchool PVH @schoolpvh1 Channel on Telegram

ีchool PVH

@schoolpvh1


The center of academic resources
๐Ÿ“š Primary School to teachers college

Android
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.schoolpvh

iOS
https://apps.apple.com/tz/app/school-pvh/id6445867210
๐Ÿ“ž
+255747272228
+255626272229
+255747626040

ีchool PVH (English)

Welcome to School PVH, the ultimate center of academic resources for students from primary school to teachers college. Our Telegram channel offers a plethora of educational materials and tools to support your learning journey. Whether you are a student looking for study resources or a teacher seeking innovative teaching methods, School PVH has got you covered

Our channel provides access to Android and iOS apps, designed to enhance the learning experience. You can download the Android app from the Google Play Store (https://play.google.com/store/apps/details?id=com.schoolpvh) and the iOS app from the App Store (https://apps.apple.com/tz/app/school-pvh/id6445867210). These apps offer a wide range of features such as interactive quizzes, educational videos, and study guides to help you succeed in your academic pursuits

In addition to our mobile apps, School PVH also offers personalized support through our Telegram channel. Feel free to reach out to us via phone at +255747272228, +255626272229, or +255747626040 for any inquiries or assistance you may need. Our team of dedicated professionals is here to ensure that you have all the resources and support necessary to excel in your studies

Join School PVH today and elevate your academic experience to new heights! Whether you are a student or a teacher, our channel is your go-to destination for all your educational needs. Don't miss out on this opportunity to access high-quality academic resources and support. We look forward to welcoming you to the School PVH community!

ีchool PVH

22 Jan, 14:32


Share ACSEE_TIMETABLE_2025.pdf

ีchool PVH

04 Jan, 08:47


https://www.schoolpvh.ac.tz/p/stdf.html

ีchool PVH

04 Jan, 08:43


๐Ÿ’ฅ MATOKEO 2024 FTNA - KIDATO CHA PILI๐Ÿ’ฅ
Baraza la mtihani Tanzania NECTA latangaza matokeo kidato cha pili 2024
Bofya link hii kuangalia
https://www.schoolpvh.ac.tz/p/ft.html?m=1

๐ŸŽฏ *Download SchoolPvh app upate notes za mtaala mpya za level zote*
Dowload kupitia link hii๐Ÿ‘‡
https://schoolpvh.page.link/DwNd
๐Ÿ’ซ Jiunge nasi Whatsapp๐Ÿ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029Va8M2wnIyPtNlMO6Sr2s

*SHARE taarifa ziwafikie SHARE*

ีchool PVH

04 Jan, 07:58


https://www.youtube.com/live/lU0iX8uQraY?si=Wq-aQUkr2SdM7Ygt

ีchool PVH

01 Jan, 14:08


RATIBA YA USAILI KADA ZA UALIMU

ีchool PVH

01 Jan, 13:40


Mpendwa Mdau wa SchoolPvh, Asante kwa kuwa sehemu ya safari yetu, Tunakutakia mwaka uliojaa mafanikio na Furaha. Tunakuhakikishia kuendela kutoa huduma bora kwa mwaka 2025!

ีchool PVH

20 Dec, 11:46


https://www.youtube.com/live/Obto7X40W6I?si=qn8MjrVOYkk78m93

ีchool PVH

16 Dec, 13:13


FORM ONE SELECTION 2025
Tamisemi yatangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwanaka 2025

Click link hii kuangalia majina ya walichaguliwa
https://www.schoolpvh.ac.tz/p/form-one-selection.html?m=1

Usipitwe na hii
Download app bora ya Elimu Tanzania
Kwa mwanafunzi kujisomea na "Pre-Form One" na Pia "Pre-Form Five"
Application ina content zote kwa level zote zinazotahiniwa na NECTA
Download kupitia link hii
https://schoolpvh.page.link/DwNd

Jiunge nasi Whatsapp kwa taarifa nyingi za kitaaluma https://whatsapp.com/channel/0029Va8M2wnIyPtNlMO6Sr2s

Telegram jiunge kupitia link hii
https://t.me/schoolpvh1

SHARE KWA WATANZANIA WOTE WAPATE TAARIFA KWA WAKATI

ีchool PVH

14 Dec, 18:30


*NAFASI ZA AJIRA KWA WALIMU*
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi elfu tatu mia sita thelathini na tatu (3633)

MWALIMU DARAJA LA III C - SOMO LA BIASHARA (BUSINESS STUDIES)
*NAFASI 3425*

MWALIMU DARAJA LA III B - SOMO LA USHONAJI (DESIGNING, SEWING
AND CLOTH TECHNOLOGY) *NAFASI 16*

MWALIMU DARAJA LA III C - SOMO LA UASHI (MASONRY AND BRICKLAYING) *NAFASI 20*

MWALIMU DARAJA LA III C - SOMO LA UMEME (ELECTRICAL INSTALLATION) *NAFASI 3*

MWALIMU DARAJA LA III C - SOMO LA UFUNDI WA MAGARI (MOTOR VEHICLE MECHANICS) *NAFASI 5*

MWALIMU DARAJA LA III C - SOMO LA UCHOMELEAJI NA UTENGENEZAJI WA VYUMA (WELDING AND METAL FABRICATION) *NAFASI 6*

MWALIMU DARAJA LA III C - SOMO LA SANAA (THEATHER ARTS) NAFASI 8
https://schoolpvh.page.link/DwNd

MWALIMU DARAJA LA III B - SOMO LA USEREMALA (CARPENTRY AND JOINERY) *NAFASI 16*

MWALIMU DARAJA LA III B - SOMO LA UFUNDI WA BOMBA (PLUMBING AND PIPE FITTING) *NAFASI 18*

MWALIMU DARAJA LA III C โ€“ SOMO LA AFYA YA WANYAMA (ANIMAL HEALTH AND PRODUCTION) *NAFASI 13*

MWALIMU DARAJA LA III B - SOMO LA (FOOD PRODUCTION) *NAFASI 6*

MWALIMU DARAJA LA III C โ€“ SOMO LA KILIMO CHA BUSTANI (HORTICULTURE PRODUCTION) *NAFASI 7*

MWALIMU DARAJA LA III B - SOMO LA HUDUMA YA CHAKULA NA VINYWAJI NA MAUZO (FOOD AND BEVARAGE, SALES AND SERVICES)
*NAFASI 12*

MWALIMU DARAJA LA III B - SOMO LA UPAKAJI RANGI NA UANDIKAJI MAANDISHI (PAINTING AND SIGN WRITING) *NAFASI 3*
www.schoolpvh.ac.tz

MWALIMU DARAJA LA III B - SOMO LA UMEME WA MAGARI (AUTO ELECTRICAL) *NAFASI 2*

MWALIMU DARAJA LA III C - (FIELD CROP PRODUCTION) *NAFASI 20*

MWALIMU DARAJA LA III B - (REFRIGERATION AND AIR CONDITIONING)
*NAFASI 9*

MWALIMU DARAJA LA III C - (MUSIC PERFOMANCE) *NAFASI 10*

MWALIMU DARAJA LA III C - SOMO LA NISHATI YA JUA (SOLAR POWER INSTALLATION) *NAFASI 16*

MWALIMU DARAJA LA III C - SOMO LA UTENGENEZAJI PROGRAMU ZA TEHAMA (COMPUTER PROGRAMMING) *NAFASI 4*

MWALIMU DARAJA LA III C โ€“ SOMO LA UVUVI NA USINDIKAJI WA SAMAKI (FISHING AND FISH PROCESSING) *NAFASI 4*

MWALIMU DARAJA LA III C - SOMO LA USINDIKAJI WA MBAO (WOOD PROCESSING) *NAFASI 1*

MWALIMU DARAJA LA III C - (PHYSICAL EDUCATION) *NAFASI 9*

Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo; http://portal.ajira.go.tz
(Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa โ€˜Recruitment Portalโ€™)

ีchool PVH

14 Dec, 17:44


KALENDA YA MIHULA

ีchool PVH

14 Dec, 17:40


TANGAZO LA KAZI UALIMU

ีchool PVH

14 Dec, 17:32


AJIRA KWA WALIMU
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi elfu tatu mia sita thelathini na tatu (3633) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.

ีchool PVH

10 Dec, 10:23


MASOMO YA AMALI AMBAYO TAYARI YAPO KWENYE APP YA SCHOOL PVH
1. Civil engineering surveying
2. Engineering science
3. Electrical Engineering
4. Mechanical Engineering
5. Music
6. Physical Education
7. Woodwork & Painting Engineering
8. Theatre arts
9. Architecture Draughting
10. Building Construction
11. Fine arts
12. Agriculture
13. Home economic & Food and Nutrition
14. ICT

Download SchoolPvh App uweze kupata notes za masomo hayo yote, ujisomee ukiwa mahali popote, mda wowote
#Perform very high with schoolPvh

ีchool PVH

09 Dec, 11:32


https://youtu.be/itEEEJY1ocI?si=ag-KEmOPgddh7YBg

ีchool PVH

08 Dec, 21:29


https://youtube.com/shorts/yCHnWSHv3CQ?si=jDKxINn8Jc0BN89P

ีchool PVH

08 Dec, 20:44


https://youtu.be/ynqGI-z4Q5E?si=1N4HYH9MCMEovx0J

ีchool PVH

08 Dec, 20:09


https://youtu.be/C7KT3j-lMEw?si=eOIn7g2KGfYNJgpU

ีchool PVH

08 Dec, 18:15


ANGALIA KWA UFUPI YALIYOMO KWENYE APP YA SCHOOL PVH

ีchool PVH

08 Dec, 17:53


๐Ÿ’ฅ SCHOOL HOLIDAY PACKAGE๐Ÿ’ฅ
School Pvh - A standard Online learning platform Primary school to College
https://apps.apple.com/tz/app/school-pvh/id6445867210

๐ŸŽฏ Download SchoolPvh app upate notes za mtaala mpya za level zote
Dowload kupitia link hii๐Ÿ‘‡
https://schoolpvh.page.link/DwNd
๐Ÿ’ซ Jiunge nasi Whatsapp๐Ÿ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029Va8M2wnIyPtNlMO6Sr2s
Lipia package unayotaka utapata content zifuatazo
- lesson notes masomo yote
- Past papers (mid-term, terminal, mock mikoa yote n.k)
- Bank of Questions & Exams package
- Books & reference
SHARE taarifa ziwafikie SHARE

ีchool PVH

08 Dec, 11:50


๐Ÿ’ฅ SCHOOL HOLIDAY PACKAGE๐Ÿ’ฅ
School Pvh - A standard Online learning platform Primary school to College

๐ŸŽฏ *Download SchoolPvh app upate notes za mtaala mpya za level zote*
Dowload kupitia link hii๐Ÿ‘‡
https://schoolpvh.page.link/DwNd
๐Ÿ’ซ Jiunge nasi Whatsapp๐Ÿ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029Va8M2wnIyPtNlMO6Sr2s
Lipia package unayotaka utapata content zifuatazo
- lesson notes masomo yote
- Past papers (mid-term, terminal, mock mikoa yote n.k)
- Bank of Questions & Exams package
- Books & reference
SHARE taarifa ziwafikie SHARE

ีchool PVH

03 Dec, 17:36


TANZANIA NA NIGERIA WAJADILI USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA ELIMU
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt  Charles Mahera, Novemba 28, 2024, amekutana na kufanya mazungumzo na wadau wa maendeleo kutoka Serikali ya Nigeria katika kikao kilichofanyika jijini Dodoma.
 Katika Mazungumzo hayo walijadili juu ya ushirikiano wa kuleta walimu kwa ajili ya kujitolea Tanzania Bara  ambapo kwa sasa wanashirikiana na serikali ya Zanzibar kwa  kutoa mchango katika sekta ya afya na elimu.

ีchool PVH

25 Nov, 13:30


Share Shule zenye tahasusi mpya (6).pdf

ีchool PVH

24 Nov, 10:58


ORODHA YA MASOMO YOTE YALIYOMO KWENYE APP YA SCHOOL PVH

ีchool PVH

24 Nov, 10:58


*NEW UPDATE* ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
*Download mitihani yote ya shule ya msingi (English & Swahili Medium) Pia Jisomee Masomo yote kwa level zote Kupitia SchoolPvh App*
#hidetag
Download app kupitia link hii
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.schoolpvh

Au iOS
https://apps.apple.com/tz/app/school-pvh/id6445867210

ีchool PVH

22 Nov, 19:42


ORODHA YA SHULE ZINAZOTOA ELIMU YA SEKONDARI MKONDO WA AMALI

ีchool PVH

21 Nov, 10:57


๐Ÿ”ฅSchoolPvh App V 7.2 New update
SchoolPvh tukiwa tunaendelea kuboresha app
Tayari option ya ku-download past paper imewekwa kwa upande Level ya Primary

ีchool PVH

29 Oct, 07:51


MATOKEO DARASA LA SABA 2024
Tayari yametangazwa bofya link hii kuangalia https://www.schoolpvh.ac.tz/p/psl.html?m=1

ีchool PVH

29 Oct, 07:24


https://www.youtube.com/live/ZCWKb9M4QvI?si=FLnleRvqbTzUyfti

ีchool PVH

21 Jul, 20:43


PSLE NECTA EXAMS NEW FORMAT KISWAHILI 2024

ีchool PVH

21 Jul, 20:40


PSLE NECTA EXAMS NEW FORMAT ENGLISH 2024.

ีchool PVH

21 Jul, 14:50


AJIRA KWA WALIMU 2024

ีchool PVH

18 Jul, 13:26


HELLO!
SchoolPvh App User
Je! unapata changamoto yoyote pindi unatumia app ya SchoolPvh
๐Ÿ’ซ Kumbuka unaweza kukosa au kushindwa kutumia app ukifanya yafuatayo kwa kutojua baada ya kulipia ๐Ÿคทโ€โ™€
1. Kulipia Package/level tofauti na uliyotaka
2. Kulipia nje ya mfumo wa App
3. Kubadili email
4. Kubadili Simu
5. Kutumia account moja zaidi ya simu moja
โœ”๏ธEndapo utapata changamoto kama hizo au Umelipia lakini app aifunguki na hujui tatizo ni nini tutumie message kwenye app au tupigie simu ili tuweze kukuunganisha uendelee kutumia app (haki ya mtu haipotei bure)

#SchoolPvhteam
Yajayo Yanafuraisha
#Stay tuned

ีchool PVH

15 Jul, 19:02


FTNA_TIMETABLE_2024

ีchool PVH

15 Jul, 19:00


CSEE_TIMETABLE_2024

ีchool PVH

13 Jul, 11:12


MATOKEO YA UALIMU GRADE A 2024

https://www.schoolpvh.ac.tz/p/gatce-results.html?m=1

ีchool PVH

13 Jul, 11:06


MATOKEO YA UALIMU DSEE 2024

https://www.schoolpvh.ac.tz/p/dsee-results.html?m=1

ีchool PVH

13 Jul, 10:23


๐Ÿ’ฅ MATOKEO 2024 ACSEE - KIDATO CHA SITA๐Ÿ’ฅ
Baraza la mtihani Tanzania NECTA latangaza matokeo kidato cha Sita 2024
Bofya link hii kuangalia
https://www.schoolpvh.ac.tz/p/f6.html?m=1

๐ŸŽฏ Download SchoolPvh app upate notes za mtaala mpya za level zote
Dowload kupitia link hii๐Ÿ‘‡
https://schoolpvh.page.link/DwNd
๐Ÿ’ซ Jiunge nasi Whatsapp๐Ÿ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029Va8M2wnIyPtNlMO6Sr2s

SHARE taarifa ziwafikie SHARE

ีchool PVH

18 Jun, 13:48


WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO AWAMU YA PILI,2024

11,024

subscribers

315

photos

36

videos