✨ Lazima ujue sasa ni mda gani sahihi wa kununua kulingana na uwekezaji unataka kuufanya.
✨ Je unawekeza kwa mda mrefu.? (Long term Hodler ), au unawekeza kwa miezi kadhaa (Swing Trader) au unaingia sokoni Daily...!? Lazima ujijue uko wapi.....
Kesho nitachambua hapa namna unavyotakiwa kufanya wakati huu kulingana na aina ya traders....!
✨ Pia wengi wanajiuliza Kwanini tunazungumzia BITCOIN mara nyingi? Hii ni kwasababu BITCOIN Ina influence kupanda na kushuka kwa coin zingine sokoni...
✨ Hakikisha unafanya Research ya kutosha kabla hujauza Wala kununua (DYOR), zaidi hakikisha una manage risk vizuri 📌...
@TanzatoChannel
✍🏾 Sharing is Winning🏆