❇️MASJID MUZ'DALIFAH•❇️
🌅KIAMIAKO, NAIROBI KENYA 🌅
💊💉RADDI YA KIELIMU KWA JAAHIL SUFI WA KI-IKHWAANI MWENYE TUHMA ZA WANAWAKE ANAYEITWA MURSAL KAISHE.💊💉
🚑💉💉💉RADDI NAMBA 6⃣
🔥YALIYOMO
🔨🔨🔨 Katika sifa za masalafi walikuwa wakali kwa watu wa bidaa•
🔨🔨🔨Kumpaa nasaha jahil mursal awache ukabila kwasababu ameikataza mtume ﷺ •
🔨🔨🔨Kumpaa nasaha jahil mursal amuogope Allah na awache inaadi kwasababu itamdhuru•
🔨🔨🔨Kumfunza jahil mursal ya kwamba ni hatari kuwafanyia waja wema wa Allah istihzah•
🔨🔨🔨Tunamuelezea jahil mursal akiendelea kuzungumza atazidi kufedheheka na kuaibika•
💊 💊 💊 💊 💊 💊 💊
🗓 JUMATATU ; TAREHE 1⃣3⃣•
RAJAB 1️⃣4️⃣4️⃣6⃣H
SAWA NA
1⃣3⃣/0️⃣1⃣/2️⃣0️⃣2️⃣5⃣M•
⏰ BAADA YA SWALAH YA MAGHRIB•
💺 MZUNGUMZAJI
USTAADH ABUU USAAMAH FARAH (حفظه الله ورعاه).
https://t.me/abu_usaamah_farah