STORY ZA MANGE 2 @storyzamange2 Channel on Telegram

STORY ZA MANGE 2

@storyzamange2


Backup group

STORY ZA MANGE 2 (Swahili)

STORY ZA MANGE 2 ni kundi la Telegram linalokusanya wapenzi wa manga na hadithi za kufurahisha. Kama jina linavyosema, hii ni sehemu ya pili ya kundi hili, ambalo limeundwa kama akiba ya kundi kuu. Kundi hili ni mahali pazuri kwa wapenzi wa hadithi za kusisimua kupata burudani na kushiriki hisia zao na wenzao.

Kundi hili linaleta pamoja watu wenye shauku ya kusoma na kuelezea hadithi za kipekee kutoka ulimwengu wa manga. Unapojiunga na STORY ZA MANGE 2, utapata fursa ya kushiriki hadithi za kuvutia, kujadili matukio ya kusisimua, na kufurahia uzoefu wa kipekee na wapenzi wengine wa manga.

Kama sehemu ya kundi hili, utapata upatikanaji wa hadithi za kuvutia, maelezo ya wahusika, na mjadala wa kusisimua kuhusu matukio yanayoendelea. Kwa kuungana na STORY ZA MANGE 2, utakuwa sehemu ya jumuiya inayojali hadithi za kuvutia na kujenga urafiki na watu wenye maslahi kama yako.

Usikose fursa ya kujiunga na STORY ZA MANGE 2 leo na kufurahia hadithi za kipekee za manga na burudani ya kusisimua. Jiunge sasa na uwe sehemu ya kundi hili la kipekee la wapenzi wa hadithi za kufurahisha!n

STORY ZA MANGE 2

24 Nov, 01:58


The account of the user that owns this channel has been inactive for the last 1 month. If it remains inactive in the next 7 days, that account will self-destruct and this channel may no longer have an owner.

STORY ZA MANGE 2

28 Oct, 05:16


Saut ya Angela wa kondegang

STORY ZA MANGE 2

28 Oct, 03:24


UMALAYA NUSURA UMCOSTI MAULID KITENGE….
Basi bwana Maulid Kitenge alitongozwa na demu mkali insta. Si akaingia line akapanga nae appointment aende nyumbani kwake akamtie, ndo Issue ikaishia hivyo simu kukamatwa na mume mtu. Ila sijui wanaume wana matatizo gani hivi hapo alishindwa kujikaza akapotezea tu akaendelea na shughuli zake. Umalaya mwingine hauna hata maana. Sasa angeenda huko kukutana na mume wa mtu ingekuwaje? 🀣🀣🀣

STORY ZA MANGE 2

27 Oct, 18:53


HARMONIZE ALIVYOMPOKONYA ANJELA GARI…
Hivi ndo ilivyokuwa siku Harmonize alipochukua gari la Anjela.. Huyo anaerekodi na kuongea ni best friend wake Anjela anaitwa Aunty Lulu, Instagram anatumia. @official_lulu8 . Ila hapa naona kama Kajala na Harmo hawashauriani vizuri. Huyu Anjella ni mgonjwa wa miguu sio mtu wa kumnyang’anya gari. Na kumtibia wala hamtibiii. 

STORY ZA MANGE 2

27 Oct, 07:28


TOFAUTI YA TAKO LA VERA SIDIKA NA MATAKO YA KINA ZARI….
Jamani kuna utofauti mkubwa kama ya matako ya watu kama Vera Siddika na Poshyqueen na matako ya watu kama Zari na Misa. Vera Siddika na Poshyqueen hawakufanya BBL, hawa walifanya butt injections. Butt injections ni pale ambao mtu (tena sio doctor maana hairuhusiwi) anachukua sindano anaijaza na silicon tena anakudunga hiyo silicon kwenye makalio na mahip. Hii procedure ni cheap sana ukifananisha na BBL walizofanya kina Misa. BBL ni wanatoa mafuta sehemu ya mwilini mwako kwa mfano tumboni na kiunoni na kuhamishia mafuta matakoni. Sasa Butt ni hatari mnoooo, yani usilogwe ukafanya, maana silicon inakuwa iko ndani ya mwili wako kitu ambacho ni hatari mno na sometimes hiyo silicon inaweza kusafiri kutoka matakoni ikaenda sehemu zingine, na tatu kama silicon isiposafiri basi inaweza kukomaa na kuwa ngumu na kufanya makalio yako yaonekane yenye mabonde bonde na kuonekana tako la ajabu. Nimeangalia tako la Vera hapa yani unaona kabisa effects za silicon kwamba zimeshakomaa. Basi hawa wa butt injection ukigusa makalio yao unaweza kukimbia huwa ni magumu kama jiwe tofauti na watu wa BBL huwa wana matako soft. 

STORY ZA MANGE 2

27 Oct, 04:53


MDOGO WAKE BARNABA ABAKA…
Mdogo wake Barnaba anaejulikana kwa jina la Frank Barnaba amembaka mtoto wa shule ya msingi. Huyu Frank huwa anaishi na baba yao Mzee Barnaba maeneo ya Kigogo baada ya kumbaka mtoto ndo amekimbia kabisa. Kwa sasa kesi iko polisi na walalamikaji wanadai  Barnaba anahonga polisi ili mdogo wake asishtakiwe wala kukamatwa. 

STORY ZA MANGE 2

26 Oct, 11:43


ALEX ZE COMEDY AMTELEKEZA BABA YAKE…
Dada Mange, Alex wa Original Original Comedy Amemtelekeza Babaake Mzazi anaishi maisha ya shida sana huku Uswahilini.Amepanga chumba kimoja Cha 15,000 na Mkewe, wanauza Sambusa ndio wapate mlo. Kijana anaponda raha.Hata Baba yake akiumwa hamhudumii Kuna wakati analazwa anaumwa huwa anatoa damu sirini hatujui ugonjwa gani ila Alex hamhudumii Mzazi wake. Sisi majirani tunaumia kuona mzee anahangaika. Dada tuma vijana wako huku kuona hali ya mzee ilivyo. Hilo ndo dirisha lake na kichumba anachoishi

STORY ZA MANGE 2

25 Oct, 18:22


KALITO SAMAKI SAMAKI
Wiki iliyopita Kalito wa Samaki Samaki ambae ni mume wa mtu, amemvesha pete ya uchumba dada anaeitwa Janet. Huyu Janet alikuwaga mfanyakazi wa samaki samaki. Kwa sasa huyu Janet pia ana ujauzito wa Kalito.  

STORY ZA MANGE 2

24 Oct, 16:59


GARI YA HARMONIZE YAKAMATWA…NOMA!!!!
Gari ya Harmonize imekamatwa na TRA baada ya Harmo kushindwa kuilipia ushuru. Gari inashikiliwa kwenye bandari kavu ya TRA iliyopo Ubungo.

STORY ZA MANGE 2

24 Oct, 15:42


MANAGER WA ANJELLA…
Hivi mmenoti manager wa Anjella kamfuta Anjella kwenye bio yake Ila kabakiza Kondegang? Anjella alivyoendaga kondegang aliendaga na manager wake Ila hawakumtaka huyo manager ndo wakampa huyu , Huyu ni ndugu yake na Ibrah.

STORY ZA MANGE 2

24 Oct, 05:50


Huyu dada alicomment kuhusu mke wake na katibu basi Massanja kamfata DM kumchimba biti. Anajiona polisi kaishika yeye kiasi kwamba anakutishia na sheria ya mitandao. Doh. Toka ahonge polisi kupindisha story kamili ya sababu ya katibu kujinyonga basi anajiona polisi yote yake sasa.. 

STORY ZA MANGE 2

24 Oct, 03:44


ANGELLA WA KONDEGANG - ISSUE ILIYOTUFIKIA USIKU HUU
Issue iliyotufikia Mange Kimambi app usiku huu ni kwamba kesho Harmonize atavunja mkataba wa Anjella pia. Sio hivyo tu, huko nyuma ya pazia mambo yamekuwa sio mambo. Wiki iliyopita Harmo alimnyang’anya Anjella gari, yes ile gari Harmo keshaichukua. Alafu pia mnaambiwa vile Harmo alisema atamtibia Anjella aisee hajamtibia mtoto wa watu bado mgonjwa… Tutawaletea habari zaidi juu ya hili…