Latest Posts from Mafunzo sahihi ya ndoa (@mafunzo_sahihi_ya_ndoa) on Telegram

Mafunzo sahihi ya ndoa Telegram Posts

Mafunzo sahihi ya ndoa
🌹🌹Channel yetu hii inahusika na mafunzo sahihi ya ndoa katika uislam, mafuzno haya yatatolewa kwa mujibu wa kitabu cha Allah na sunna za mtume wake (swallah llahu alayhi wasallam) kwa ufaham wa wema walio tangulia.
4,882 Subscribers
64 Photos
657 Videos
Last Updated 09.03.2025 12:08

Similar Channels

fawaidusalafiyatz
4,407 Subscribers
FIQHI MASAIL
2,389 Subscribers

The latest content shared by Mafunzo sahihi ya ndoa on Telegram

Mafunzo sahihi ya ndoa

01 Dec, 09:39

2,595

https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R

*🌹🌹HUKMU YA MWANAMKE KUISOMA QUR'AN HALIYAKUA KICHWA KIKO WAZI*

*لا يجب غطاء الرأس، لا على المرأة، ولا على الرجل غطاء الرأس،*

*Sio wajibu kukifunika kichwa, sio kwa mwanamke, na wala sio kwa mwanaume kukifunika kichwa* (wakati wa kuisoma Qur'an)

*لها أن تقرأ وهي مكشوفة الرأس إذا لم يكن عندها أجنبي،*

*Mke anaweza kuisoma Qur'an haliyakuwa kichwa chake kiko wazi kama hapakuwepo mbele yake mtu wa kando*

*والرجل كذلك لا حرج في ذلك،*

*Na kwa mwanaume pia hakuna shida kuisoma Qur'an haliyakuwa yupo kichwa wazi*

*ولها أن تقرأ مضطجعةً، وقاعدةً، وسائرةً، والرجل كذلك، نعم.*

*(mke) anaweza kuisoma Qur'an haliyakuwa kalalia ubavu wake, au amekaa au anatembea, na mwanaume hivo vivo."*

══════ ❁✿❁ ══════

*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*📡Subscribe my channel YouTube*
*https://youtu.be/JyN5lwQy7xo?si=RB_4OWdGVkw4kc1t*

*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
https://chat.whatsapp.com/EwUMLuTfQfsBdzBn8ZxGJm

*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*

*💉Kuwa muadilifu usibadili chochote*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*
Mafunzo sahihi ya ndoa

30 Nov, 11:31

2,156

*https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R*

*🌹🌹UBORA WA MAHARI KUIFANYA NDOGO*

*أعظم النساء بركة أيسرهن مئونة*

*Wenawake wabora zaidi ni wenye kufanya uchache mahari*

*لم يفهم هذا الكلام كثير من المسلمين.*

*Hawaja yafaham maneno haya wengi katika waislam*

*لم يفهموا أن المهر كلما زاد كلما قلت البركة من الزوجة.*

*Hawaja fahamu ya kwamba hakika ya mahari kila ikiwa nyingi hupungua barka katika ndoa*

*إذا جاءك رجل صالح فأعطه بنتك بما عنده.*

*🌹Pindi akikujia mwanaume mwema muozeshe binti yako kwa alicho kuwa nacho* (katika mahari)

*فقد قل الصالحون في هذا الزمن.*

*Kwani hakika wamekuwa wachache wanaume wema katika zama hizi*

*وأنت محظوظ إذ تقدم لك رجل صالح.*

*Na wewe utakuwa ni mwenye bahati akikujia mume mwema."*

══════ ❁✿❁ ══════

*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*📡Subscribe my channel YouTube*
*https://youtu.be/JyN5lwQy7xo?si=RB_4OWdGVkw4kc1t*

*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
https://chat.whatsapp.com/EwUMLuTfQfsBdzBn8ZxGJm

*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*

*💉Kuwa muadilifu usibadili chochote*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*
Mafunzo sahihi ya ndoa

28 Nov, 16:07

1,669

*https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R*

*🌹🌹USIACHE KUTAFUTA MKE MWEMA WAKATI WA KUOA*

*اشترِطوا في الزواج الدين أولًا، ابحثوا عن زوجات صالحات..*

*Jambo la kwanza wekeni sharti la dini katika mke wa kuoa, tafuteni wake wema*

*لا تجعل الجمال كل تفكيرك وهدفك بسبب ما تراه من قاذورات الأفلام.*

*Usikimbilie uzuri (wa sura au umbo) fikra zako zote na lengo lako ni kwa sababu ya mambo unayo yaona katika filamu*

*لا تتركوا الصالحات الملتزمات وتبحثون عن غيرهن عند الزواج*

*Usiache wanawake wema walio tulizana na ukatafuta wengineo wakati wa kuoa*

*فإنهن خير معين على مصاعب الحياة وفتنها.*

*Hakika yao (wake wema) ndio wasaidizi bora dhidi ya magumu na majaribu (Unayo yapitia).*

══════ ❁✿❁ ══════

*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*📡Subscribe my channel YouTube*
*https://youtu.be/nLsmrT633wY*

*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
https://chat.whatsapp.com/KCEtpPr30Pe2ITusmI8Gs9

*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*

*💉Kuwa muadilifu usibadili chochote*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*
Mafunzo sahihi ya ndoa

24 Nov, 07:29

1,710

*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*🌹🌹HATARI YA MKE KUMUOZESHA MUME ASIE SWALI*

*إذا عقد نكاح امرأة برجل لا يصلي فإن نكاحهما ليس بصحيح  لأن تارك الصلاة كافر ،*

*Pindi mke akifungishwa ndoa na mume asie swali basi ndoa yao sio sahihi, kwani hakika ya mwenye kuacha swala ni kafiri*

*وإذا حدث له ترك الصلاة بعد عقد النكاح فإن النكاح ينفسخ إلا أن يتوب ويرجع إلى الإسلام ،*

*Na pindi ikitokea kwa mume kuacha swala baada ya ndoa kwani hakika ya ndoa yao itavunjwa mpaka atakapo tubia (mume huyo) na kurudi katika uislam*

*وعلى المرأة أن تفارقه وأن لا تمكنه من نفسها حتى يتوب ويصلي ،*

*Na lazima kwa mke huyo ajitenge naye (mumewe) na asijitoe kwake mpaka atubie kwa Allah na aswali*

*لذلك على من لديه بنات أو من له الولاية عليهن أن لا يزوجهن بمن لا يصلي لعظم الخطر في ذلك ،*

*Kwa sababu hiyo kwa wale wenye mabinti wao, au mwenye usimamizi kwa mabinti wasiwaozeshe mabinti wao kwa watu wasio swali kwa ukubwa wa hatari uliyopo katika jambo hilo (kumuozesha asie swali)*."

*❪2❫ المصْــــدَرُ: ❪ مجموع الفتاوى (56/1❫*

══════ ❁✿❁ ══════

*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*📡Subscribe my channel YouTube*
*https://youtu.be/nLsmrT633wY*

*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
*https://chat.whatsapp.com/HBeqvszlvldFlJhZN42fOR* (1)

*https://chat.whatsapp.com/Esh5ppRBon198VdsjcOFUo* (2)

*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*

*🎤Kua muadilifu us'badili chochote💥*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*
Mafunzo sahihi ya ndoa

16 Oct, 02:43

2,564

https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa

*🌹🌹JE KUOA NI NUSU YA DINI* Darsa namba (4)

*قال العلامة إمام عبد العزيز بن باز رحمه الله*

*📝Amesema Al-Allaamah imam Abdul Aziiz bin baazi (rahimahullah)*

*وإن تيسر أنه ينظر للمرأة قبل الزواج؛ فهو أحسن،*

*Lakini pakiwa na wepesi mwanaume kumuangalia mwanamke anae taka kumuoa kabla ya ndoa basi ni jambo zuri*

*النبي ﷺ أمر الخاطب أن ينظر أخبر ﷺ إذا خطب أحدكم امرأة،*

*Mtume ﷺ kamuamrisha muoaji kumuangalia atakae muoa, ametoa khabari mtume ﷺ pindi akiposa mmoja wenu*

*فإن استطاع أن ينظر إلى ما يدعوه إلى نكاحها؛ فليفعل.*

*Basi akiweza kumuangalia anae taka kumuoa mule munamo pelekea kumuoa basi afanye hivo*

*وسأله رجل قال: يا رسول الله، إني خطبت فلانة،*

*Na mtu mmoja alimuuliza mtume ﷺ akasema: ewe mjumbe wa Allah hakika yangu mimi nimemposa fulani*

*فقال: أنظرت إليها؟ قال: لا، قال: اذهب فانظر إليها فإذا تيسر النظر إليها؛ فهو أولى،*

*Mtume ﷺ akamuuliza: umemuangalia? Akasema yule mtu: hapana, mtume ﷺ akasema: nenda kamuangalie pindi pakiwa na wepesi kumuangalia, hakika jambo hilo ni bora zaidi*

*وينبغي لأهلها أن يسمحوا بذلك، تنظره، وينظرها، لا بأس.*

*Na inatakikana kwa walezi wa mwanamke waridhie jambo hilo*

*لكن في محل ما فيه خلوة، ينظر إليها، وتنظر إليه مع حضور والدها، أو أمها، أو أخيها،*

*Lakini isiwe sehemu ya kujitenga, mwanaume amuangalie mwanamke huyo, na mwanamke amuangalie mwanaume huyo, na awepo mzazi wa kiume wa mwanamke, au mama yake au kaka yake*

*يعني ليس في خلوة في مكان ما فيه خلوة،*

*Yaani wasiwe mahali pa upweke, wawe sehemu ambayo haina upweke*

*لأن الخلوة من أسباب وقوع الفاحشة.*

*Kwani hakika ya wao kuwa sehemu ya upweke ni sababu ya kupatikana kwa uovu."*

*❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪فتاوى الجامع الكبير ما صحة القول بأن الزواج شطر الدين❫.*

══════ ❁✿❁ ══════

*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*📡Subscribe my WhatsApp channel*
https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R

*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
https://chat.whatsapp.com/KesmKGWw58z5X5pW7HYbMy

*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*

*💉Kuwa muadilifu us'badili chochote*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*."*
Mafunzo sahihi ya ndoa

16 Oct, 02:41

1,824

*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*🌹🌹JE KUOA NI NUSU YA DINI* Darsa namba (3)

*قال العلامة إمام عبد العزيز بن باز رحمه الله*

*📝Amesema Al-Allaamah imam Abdul Aziiz bin baazi (rahimahullah)*

*ولكن ينبغي للمؤمن أن يحرص عليه،*

*Lakini inatakikana kwa muumini afanye pupa juu ya kuoa*

*وهو شعبة من الدين، وفرض من الفرائض،*

*Nayo ndoa ni sehemu katika dini, na ni lazima katika mambo ya lazima (kwa mwenye uwezo)*

*ومن أسباب العفة، وغض البصر، ومن أسباب الاستقامة،*

*Na ndoa ni katika sababu za kuhifadhika na kufumba macho, na sababu ya mtu kusimama sawa sawa katika dini yake*

*ومن أسباب صلاح المجتمع، ومن أسباب كثرة النسل، وكثرة الأمة،*

*Na ndoa ni sababu ya kutengemaa kwa watu, na sababu ya kuwa kizazi kingi na umma kuwa mkubwa*

*وكثرة من يعبد الله*

*Na sababu ya kuwa wengi watakao mcha Allah*

*فينبغي الجد في ذلك، ولكن ينبغي له أن يختار المرأة الصالحة.*

*Basi inatakikana kufanya jitihada katika hilo, lakini inatakika kwake mume kuchaguwa mke mwema."*

*❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪فتاوى الجامع الكبير ما صحة القول بأن الزواج شطر الدين❫.*

══════ ❁✿❁ ══════

*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*📡Subscribe my WhatsApp channel*
https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R

*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
https://chat.whatsapp.com/KesmKGWw58z5X5pW7HYbMy

*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*

*💉Kuwa muadilifu us'badili chochote*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*."*
Mafunzo sahihi ya ndoa

16 Oct, 02:40

1,113

*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*🌹🌹JE KUAO NI NUSU YA DINI* Darsa namba (2)

*قال العلامة إمام عبد العزيز بن باز رحمه الله*

*📝Amesema Al-Allaamah imam Abdul Aziiz bin baazi (rahimahullah)*

*والرسول ﷺ أمر بالنكاح -كما سمعتم وحث الشباب على ذلك،*

*Na mtume (swallah llahu alayhi wasallam) kaamrisha ndoa kama mlivo sikia, na akawahimiza vijana katika jambo hilo (ndoa)*

*وقال: تزوجوا الودود الولود؛ فإني مكاثر بكم الأمم يوم القيامة*

*Na akasema (mtume) oeni mabinti wadogo wanao zaa sana kwani hakika yangu mimi nitajifakharisha kwa umma mkubwa siku ya Qiyama*

*فالرسول ﷺ حث على هذا، لكن كونه شطر الدين هذا محل نظر؛ لضعف الحديث.*

*Mtume ﷺ Akahimiza juu kufunga ndoa, lakini kuwa kwake ndoa ni nusu ya dini jambo hili lipo katika sahemu ya maelezo ya ulamaa; kwa udhaifu wa hadithi hiyo."*

*❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪فتاوى الجامع الكبير ما صحة القول بأن الزواج شطر الدين❫.*

══════ ❁✿❁ ══════

*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*📡Subscribe my WhatsApp channel*
https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R

*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
https://chat.whatsapp.com/KesmKGWw58z5X5pW7HYbMy

*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*

*💉Kuwa muadilifu us'badili chochote*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*."*
Mafunzo sahihi ya ndoa

16 Oct, 02:39

999

https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa

*🌹🌹JE KUAO NI NUSU YA DINI* Darsa namba (1)

*سئل العلامة إمام عبد العزيز بن باز رحمه الله*

*📝Aliulizwa Al-Allaamah imam Abdul Aziiz bin baazi (rahimahullah)*

*ما صحة القول بأن الزواج شطر الدين ما حكم مؤخر الصداق؟ وهل نصف دينه بالزواج، ويتقي الله بالنصف الآخر، من أين هذا القول؟*

*Nini kusihi kwa kauli ya kwamba hakika ya kuoa ni nusu ya dini na nini hukmu ya kuchelewesha mahari? Na je nusu ya dini yake inapatikana kwa kuoa tu, na amche Allah katika nusu iliyo bakia, kauli hii imetoka wapi?!.*

فأجاب: يروى عن النبي ﷺ في حديث في سنده نظر إذا تزوج الإنسان؛ فقد أحرز شطر دينه؛ فليتق الله في الشطر الآخر

*👉Akajibu: imepokelewa hadith kutoka kwa mtume )swallah llahu alayhi wasallam): na katika mapokezi yake kuna maelezo ya ulamaa, pindi mtu akioa basi kwa hakika ameitekeleza nusu ya dini yake na amche Allah katika nusu iliyo bakia*

*جاء هذا من طرق لا تخلو من ضعف عند أهل العلم،*

*Imekuja hadithi hii katika njia ambayo haiepukani na udhaifu kwa wenye elimu*

*ولا شك أن الزواج مهم، ولكن كونه الشطر محل نظر! إنما هو مهم،*

*Na hakuna shaka hakika ya ndoa ni jambo muhimu, lakini kuwa kwake ndoa ni nusu ya dini ni sehemu ya ulamaa kutolea ufafanuzi, hakika yake ndoa ni muhimu tu (na sio nusu ya dini)* Allah anasema:

*وَإِنْ خِفْتُمْ أَلَّا تُقْسِطُوا فِي الْيَتَامَى فَانْكِحُوا مَا طَابَ لَكُمْ مِنَ النِّسَاءِ مَثْنَى وَثُلَاثَ وَرُبَاعَ الآية [النساء:3]*

*Ikiwa mtaogopea kuto fanya uadilifu kwa mayatima basi waoeni munao wapenda katika wanawake wawili wawili na watatu watatu na wanne wanne.* Al-ayaah.... "

*❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪فتاوى الجامع الكبير ما صحة القول بأن الزواج شطر الدين❫.*

══════ ❁✿❁ ══════

*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*📡Subscribe my WhatsApp channel*
https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R

*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
https://chat.whatsapp.com/KesmKGWw58z5X5pW7HYbMy

*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*

*💉Kuwa muadilifu usibadili chochote*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*."*
Mafunzo sahihi ya ndoa

16 Oct, 02:37

872

*https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R*

*🌹🌹MIONGONI MWA FAIDA ZINAZO PATIKANA KATIKA NDOA* Darsa namba (2)

*الثمرة الأولى : سكن كل من الزوجين إلى الآخر:*

*Tunda la kwanza katika ndoa: ni kupatikana kwa utulivu kila mmoja katika mwanandoa*

*وفي هذا المعنى يقول الله تعالى:*

*Na katika maana hii anasema Allah mtukufu:*

*وَمِنْ آيَاتِهِ أَنْ خَلَقَ لَكُم مِّنْ أَنفُسِكُمْ أَزْوَاجًا لِّتَسْكُنُوا إِلَيْهَا وَجَعَلَ بَيْنَكُم مَّوَدَّةً وَرَحْمَةً ۚ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَآيَاتٍ لِّقَوْمٍ يَتَفَكَّرُونَ.*

*Na katika dalili zake ni kuwaumbia nyinyi wake ili mupate utulivu kwao wao na akajaalia baina yenu mapenzi na huruma, hakika katika jambo hilo kuna mazingatio kwa watu wenye kutafakari.* {Suuratu rruum 21}."

*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*📡Subscribe my WhatsApp channel*
https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R

*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
https://chat.whatsapp.com/FW4aG9M68ruLjzC53NoNab

*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*

*💉Kuwa muadilifu us'badili chochote*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*."*
Mafunzo sahihi ya ndoa

16 Oct, 02:37

881

*https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R*

*🌹🌹MIONGONI MWA FAIDA ZINAZO PATIKANA KATIKA NDOA* Darsa namba (1)

*للزواج ثمرات عديدة ، منها : سكن كل من الزوجين إلى الآخر،*

*Ina ndoa matunda mengi, miongoni mwa hayo: ni kupata utulivu kwa wanandoa wawili na mengineyo*

*التعارف والتعاون بين الناس،والعفة*

*Kufahamiana (wanandoa), na kufahamiana baina ya watu, na kupata hifadhi (kwa wana ndoa)*

*ابتغاء النسل الصالح، وفيما يلي أبين ذلك:*

*Na kupata kizazi chema, na yale mengi yanayo patikana baina ya jambo hilo."*