Mafunzo sahihi ya ndoa

@mafunzo_sahihi_ya_ndoa

🌹🌹Channel yetu hii inahusika na mafunzo sahihi ya ndoa katika uislam, mafuzno haya yatatolewa kwa mujibu wa kitabu cha Allah na sunna za mtume wake (swallah llahu alayhi wasallam) kwa ufaham wa wema walio tangulia.

Mafunzo sahihi ya ndoa

16 Oct, 02:43

https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa

*🌹🌹JE KUOA NI NUSU YA DINI* Darsa namba (4)

*قال العلامة إمام عبد العزيز بن باز رحمه الله*

*📝Amesema Al-Allaamah imam Abdul Aziiz bin baazi (rahimahullah)*

*وإن تيسر أنه ينظر للمرأة قبل الزواج؛ فهو أحسن،*

*Lakini pakiwa na wepesi mwanaume kumuangalia mwanamke anae taka kumuoa kabla ya ndoa basi ni jambo zuri*

*النبي ﷺ أمر الخاطب أن ينظر أخبر ﷺ إذا خطب أحدكم امرأة،*

*Mtume ﷺ kamuamrisha muoaji kumuangalia atakae muoa, ametoa khabari mtume ﷺ pindi akiposa mmoja wenu*

*فإن استطاع أن ينظر إلى ما يدعوه إلى نكاحها؛ فليفعل.*

*Basi akiweza kumuangalia anae taka kumuoa mule munamo pelekea kumuoa basi afanye hivo*

*وسأله رجل قال: يا رسول الله، إني خطبت فلانة،*

*Na mtu mmoja alimuuliza mtume ﷺ akasema: ewe mjumbe wa Allah hakika yangu mimi nimemposa fulani*

*فقال: أنظرت إليها؟ قال: لا، قال: اذهب فانظر إليها فإذا تيسر النظر إليها؛ فهو أولى،*

*Mtume ﷺ akamuuliza: umemuangalia? Akasema yule mtu: hapana, mtume ﷺ akasema: nenda kamuangalie pindi pakiwa na wepesi kumuangalia, hakika jambo hilo ni bora zaidi*

*وينبغي لأهلها أن يسمحوا بذلك، تنظره، وينظرها، لا بأس.*

*Na inatakikana kwa walezi wa mwanamke waridhie jambo hilo*

*لكن في محل ما فيه خلوة، ينظر إليها، وتنظر إليه مع حضور والدها، أو أمها، أو أخيها،*

*Lakini isiwe sehemu ya kujitenga, mwanaume amuangalie mwanamke huyo, na mwanamke amuangalie mwanaume huyo, na awepo mzazi wa kiume wa mwanamke, au mama yake au kaka yake*

*يعني ليس في خلوة في مكان ما فيه خلوة،*

*Yaani wasiwe mahali pa upweke, wawe sehemu ambayo haina upweke*

*لأن الخلوة من أسباب وقوع الفاحشة.*

*Kwani hakika ya wao kuwa sehemu ya upweke ni sababu ya kupatikana kwa uovu."*

*❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪فتاوى الجامع الكبير ما صحة القول بأن الزواج شطر الدين❫.*

══════ ❁✿❁ ══════

*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*📡Subscribe my WhatsApp channel*
https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R

*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
https://chat.whatsapp.com/KesmKGWw58z5X5pW7HYbMy

*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*

*💉Kuwa muadilifu us'badili chochote*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*."*

Mafunzo sahihi ya ndoa

16 Oct, 02:41

*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*🌹🌹JE KUOA NI NUSU YA DINI* Darsa namba (3)

*قال العلامة إمام عبد العزيز بن باز رحمه الله*

*📝Amesema Al-Allaamah imam Abdul Aziiz bin baazi (rahimahullah)*

*ولكن ينبغي للمؤمن أن يحرص عليه،*

*Lakini inatakikana kwa muumini afanye pupa juu ya kuoa*

*وهو شعبة من الدين، وفرض من الفرائض،*

*Nayo ndoa ni sehemu katika dini, na ni lazima katika mambo ya lazima (kwa mwenye uwezo)*

*ومن أسباب العفة، وغض البصر، ومن أسباب الاستقامة،*

*Na ndoa ni katika sababu za kuhifadhika na kufumba macho, na sababu ya mtu kusimama sawa sawa katika dini yake*

*ومن أسباب صلاح المجتمع، ومن أسباب كثرة النسل، وكثرة الأمة،*

*Na ndoa ni sababu ya kutengemaa kwa watu, na sababu ya kuwa kizazi kingi na umma kuwa mkubwa*

*وكثرة من يعبد الله*

*Na sababu ya kuwa wengi watakao mcha Allah*

*فينبغي الجد في ذلك، ولكن ينبغي له أن يختار المرأة الصالحة.*

*Basi inatakikana kufanya jitihada katika hilo, lakini inatakika kwake mume kuchaguwa mke mwema."*

*❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪فتاوى الجامع الكبير ما صحة القول بأن الزواج شطر الدين❫.*

══════ ❁✿❁ ══════

*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*📡Subscribe my WhatsApp channel*
https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R

*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
https://chat.whatsapp.com/KesmKGWw58z5X5pW7HYbMy

*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*

*💉Kuwa muadilifu us'badili chochote*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*."*

Mafunzo sahihi ya ndoa

16 Oct, 02:40

*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*🌹🌹JE KUAO NI NUSU YA DINI* Darsa namba (2)

*قال العلامة إمام عبد العزيز بن باز رحمه الله*

*📝Amesema Al-Allaamah imam Abdul Aziiz bin baazi (rahimahullah)*

*والرسول ﷺ أمر بالنكاح -كما سمعتم وحث الشباب على ذلك،*

*Na mtume (swallah llahu alayhi wasallam) kaamrisha ndoa kama mlivo sikia, na akawahimiza vijana katika jambo hilo (ndoa)*

*وقال: تزوجوا الودود الولود؛ فإني مكاثر بكم الأمم يوم القيامة*

*Na akasema (mtume) oeni mabinti wadogo wanao zaa sana kwani hakika yangu mimi nitajifakharisha kwa umma mkubwa siku ya Qiyama*

*فالرسول ﷺ حث على هذا، لكن كونه شطر الدين هذا محل نظر؛ لضعف الحديث.*

*Mtume ﷺ Akahimiza juu kufunga ndoa, lakini kuwa kwake ndoa ni nusu ya dini jambo hili lipo katika sahemu ya maelezo ya ulamaa; kwa udhaifu wa hadithi hiyo."*

*❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪فتاوى الجامع الكبير ما صحة القول بأن الزواج شطر الدين❫.*

══════ ❁✿❁ ══════

*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*📡Subscribe my WhatsApp channel*
https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R

*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
https://chat.whatsapp.com/KesmKGWw58z5X5pW7HYbMy

*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*

*💉Kuwa muadilifu us'badili chochote*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*."*

Mafunzo sahihi ya ndoa

16 Oct, 02:39

https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa

*🌹🌹JE KUAO NI NUSU YA DINI* Darsa namba (1)

*سئل العلامة إمام عبد العزيز بن باز رحمه الله*

*📝Aliulizwa Al-Allaamah imam Abdul Aziiz bin baazi (rahimahullah)*

*ما صحة القول بأن الزواج شطر الدين ما حكم مؤخر الصداق؟ وهل نصف دينه بالزواج، ويتقي الله بالنصف الآخر، من أين هذا القول؟*

*Nini kusihi kwa kauli ya kwamba hakika ya kuoa ni nusu ya dini na nini hukmu ya kuchelewesha mahari? Na je nusu ya dini yake inapatikana kwa kuoa tu, na amche Allah katika nusu iliyo bakia, kauli hii imetoka wapi?!.*

فأجاب: يروى عن النبي ﷺ في حديث في سنده نظر إذا تزوج الإنسان؛ فقد أحرز شطر دينه؛ فليتق الله في الشطر الآخر

*👉Akajibu: imepokelewa hadith kutoka kwa mtume )swallah llahu alayhi wasallam): na katika mapokezi yake kuna maelezo ya ulamaa, pindi mtu akioa basi kwa hakika ameitekeleza nusu ya dini yake na amche Allah katika nusu iliyo bakia*

*جاء هذا من طرق لا تخلو من ضعف عند أهل العلم،*

*Imekuja hadithi hii katika njia ambayo haiepukani na udhaifu kwa wenye elimu*

*ولا شك أن الزواج مهم، ولكن كونه الشطر محل نظر! إنما هو مهم،*

*Na hakuna shaka hakika ya ndoa ni jambo muhimu, lakini kuwa kwake ndoa ni nusu ya dini ni sehemu ya ulamaa kutolea ufafanuzi, hakika yake ndoa ni muhimu tu (na sio nusu ya dini)* Allah anasema:

*وَإِنْ خِفْتُمْ أَلَّا تُقْسِطُوا فِي الْيَتَامَى فَانْكِحُوا مَا طَابَ لَكُمْ مِنَ النِّسَاءِ مَثْنَى وَثُلَاثَ وَرُبَاعَ الآية [النساء:3]*

*Ikiwa mtaogopea kuto fanya uadilifu kwa mayatima basi waoeni munao wapenda katika wanawake wawili wawili na watatu watatu na wanne wanne.* Al-ayaah.... "

*❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪فتاوى الجامع الكبير ما صحة القول بأن الزواج شطر الدين❫.*

══════ ❁✿❁ ══════

*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*📡Subscribe my WhatsApp channel*
https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R

*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
https://chat.whatsapp.com/KesmKGWw58z5X5pW7HYbMy

*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*

*💉Kuwa muadilifu usibadili chochote*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*."*

Mafunzo sahihi ya ndoa

16 Oct, 02:37

*https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R*

*🌹🌹MIONGONI MWA FAIDA ZINAZO PATIKANA KATIKA NDOA* Darsa namba (2)

*الثمرة الأولى : سكن كل من الزوجين إلى الآخر:*

*Tunda la kwanza katika ndoa: ni kupatikana kwa utulivu kila mmoja katika mwanandoa*

*وفي هذا المعنى يقول الله تعالى:*

*Na katika maana hii anasema Allah mtukufu:*

*وَمِنْ آيَاتِهِ أَنْ خَلَقَ لَكُم مِّنْ أَنفُسِكُمْ أَزْوَاجًا لِّتَسْكُنُوا إِلَيْهَا وَجَعَلَ بَيْنَكُم مَّوَدَّةً وَرَحْمَةً ۚ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَآيَاتٍ لِّقَوْمٍ يَتَفَكَّرُونَ.*

*Na katika dalili zake ni kuwaumbia nyinyi wake ili mupate utulivu kwao wao na akajaalia baina yenu mapenzi na huruma, hakika katika jambo hilo kuna mazingatio kwa watu wenye kutafakari.* {Suuratu rruum 21}."

*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*📡Subscribe my WhatsApp channel*
https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R

*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
https://chat.whatsapp.com/FW4aG9M68ruLjzC53NoNab

*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*

*💉Kuwa muadilifu us'badili chochote*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*."*

Mafunzo sahihi ya ndoa

16 Oct, 02:37

*https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R*

*🌹🌹MIONGONI MWA FAIDA ZINAZO PATIKANA KATIKA NDOA* Darsa namba (1)

*للزواج ثمرات عديدة ، منها : سكن كل من الزوجين إلى الآخر،*

*Ina ndoa matunda mengi, miongoni mwa hayo: ni kupata utulivu kwa wanandoa wawili na mengineyo*

*التعارف والتعاون بين الناس،والعفة*

*Kufahamiana (wanandoa), na kufahamiana baina ya watu, na kupata hifadhi (kwa wana ndoa)*

*ابتغاء النسل الصالح، وفيما يلي أبين ذلك:*

*Na kupata kizazi chema, na yale mengi yanayo patikana baina ya jambo hilo."*

══════ ❁✿❁ ══════

*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*📡Subscribe my WhatsApp channel*
https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R

*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
https://chat.whatsapp.com/KesmKGWw58z5X5pW7HYbMy

*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*

*💉Kuwa muadilifu us'badili chochote*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*."*

Mafunzo sahihi ya ndoa

16 Oct, 02:36

*https://chat.whatsapp.com/FW4aG9M68ruLjzC53NoNab*

*🌹🌹ALLAH KATUUMBIA WAKE ILI WAWE KITULIZO KWETU*

*قال السعدي: "وَمِنْ آيَاتِهِ الدالة على رحمته وعنايته بعباده*

*Amesema Imam Al-Saadi (rahimahullah): “Na miongoni mwa ishara zake zinazoashiria rehema yake, na kuwajali kwake waja wake,*

*وحكمته العظيمة وعلمه المحيط،*

*Na hekima yake kubwa na ilimu yake iliyoenea*

*أَنْ خَلَقَ لَكُمْ مِنْ أَنْفُسِكُمْ أَزْوَاجًا تناسبكم وتناسبونهن ،*

*Kwamba amekuumbieni wake kutokana na nafsi zenu wanaowafaa,*

*لِتَسْكُنُوا إِلَيْهَا وَجَعَلَ بَيْنَكُمْ مَوَدَّةً وَرَحْمَةً*

*Ili mupate utulivu na akaajilia baina yenu mapenzi na huruma."*

*❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪انظر: "تفسير السعدي" (ص: 639❫.*

══════ ❁✿❁ ══════

*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*📡Subscribe my WhatsApp channel*
https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R

*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
https://chat.whatsapp.com/KesmKGWw58z5X5pW7HYbMy

*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*

*💉Kuwa muadilifu us'badili chochote*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*."*

Mafunzo sahihi ya ndoa

16 Oct, 02:35

https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R

*🌹🌹MAMBO HAYA HUPATIKANA KATIKA NDOA*

*قال السعدي: "وَمِنْ آيَاتِهِ الدالة على رحمته وعنايته بعباده*

*Amesema Imam Al-Saadi (rahimahullah):*

*فحصل بالزوجة الاستمتاع واللذة والمنفعة بوجود الأولاد وتربيتهم، والسكون إليها،*

*Hupatikana kwa mke starehe na ladha na manufaa kwa kuwapata watoto na kuwalea katika misingi mema, na kuishi nae (mke)*

*فلا تجد بين أحد في الغالب مثل ما بين الزوجين من المودة والرحمة،*

*Huwezi kupata kati ya mtu yeyote aina ya mapenzi na huruma iliyopo kati ya wanandoa,*

*إِنَّ فِي ذَلِكَ لآيَاتٍ لِقَوْمٍ يَتَفَكَّرُونَ*

*Hakika ya jambo hilo ni dalili ya wazi wazi kwa watu wenye kufikiria*

*يُعملون أفكارهم ويتدبرون آيات الله وينتقلون من شيء إلى شيء"*

*Wanazifanyia kazi fikra zao na wanazizingatia Aya za Allah, na wanakihama kitu na kukiendea kingine kwaajili ya Allah."*

*❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪انظر: "تفسير السعدي" (ص: 639❫.*

══════ ❁✿❁ ══════

*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*📡Subscribe my WhatsApp channel*
https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R

*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
https://chat.whatsapp.com/FW4aG9M68ruLjzC53NoNab

*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*

*💉Kuwa muadilifu us'badili chochote*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*."*

Mafunzo sahihi ya ndoa

16 Oct, 02:34

https://chat.whatsapp.com/FW4aG9M68ruLjzC53NoNab

*🌹🌹MKE NI KITULIZO CHA MUME*

*قال ابن القيم: "وقد امتن الله سبحانه بها على عباده فقال:*

*📝Amesema imam In Qayyim (rahimahullah): na kwa hakika Allah amemneemesha mume kwa kumuumbia mke, na Akasema:*

*وَمِنْ آيَاتِهِ أَنْ خَلَقَ لَكُمْ مِنْ أَنْفُسِكُمْ أَزْوَاجًا لِتَسْكُنُوا إِلَيْهَا وَجَعَلَ بَيْنَكُمْ مَوَدَّةً وَرَحْمَةً إِنَّ فِي ذَلِكَ لَآيَاتٍ لِقَوْمٍ يَتَفَكَّرُونَ* [الروم: 21]؛

*Na katika dalili zake ni kuwaumbia nyinyi wake ili mupate utulivu kwao, na akajaalia baina yenu mapenzi na huruma, kwani hakika ya hilo ni dalili kwa wenye akili ya ya mazingatio.* (Arruum 21)

*فجعل المرأة سكنًا للرجل يسكن قلبه إليها،*

*Allah akamfanya mke kuwa ni kitulizo kwa mumewe, mume anautuliza moyo wake kwa mkewe*

*وجعل بينهما خالص الحبّ، وهو المودة المقترنة بالرحمة.*

*Na akajaalia baina yao mapenzi mazuri, nayo ni mapenzi yalofungamana na huruma."*

══════ ❁✿❁ ══════

*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*📡Subscribe my WhatsApp channel*
https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R

*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
https://chat.whatsapp.com/FW4aG9M68ruLjzC53NoNab

*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*

*💉Kuwa muadilifu us'badili chochote*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*."*

Mafunzo sahihi ya ndoa

13 Oct, 03:23

*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*🌹🌹BINTI YENU AKIPOSWA NA MUME MWEMA MUOZESHENI* Darsa namba (1)

*قال العلامة إمام عبد العزيز بن باز رحمه الله*

*📝Amesema Al-Allaamah imam Abdul Aziiz bin baazi (rahimahullah)*

*لا ريب أن في جميع الطوائف المنتسبة للإسلام أن يلتزموا حكم الإسلام في جميع الأمور،*

*Hakuna shaka hakika katika makundi yote yanayo jilazimisha na uislam yajilazimishe na hukmu za uislam katika mambo (yao) yote*

*وأن يحذروا ما يخالف ذلك،*

*Na wachukuwe tahadhari na yale yanayo kwenda kinyume na uislam*

*وقد علم من الشريعة الإسلامية أن الواجب على الأولياء تزويج مولياتهم إذا خطبهن الأكفاء؛*

*Kwa hakika imetambulika katika sharia ya uislam hakika ya jambo la wajibu kwa mawalii ni kuwaozesha wanao wamiliki pindi tu wakiposwa na watu wema walio hifadhika*

*لما روي عن النبي ﷺ أنه قال: إذا خطب إليكم من ترضون دينه وخلقه فزوجوه،*

*Kwa yale yaliyo pokewa kwa mtume (swallah llahu alaihi wasallam) hakika yake kasema: pindi akiposa kwenu munae mridhia dini yake na tabia yake basi muozesheni*

*إلا تفعلوا تكن فتنة في الأرض وفساد عريض.* (خرجه الإمام الترمذي وغيره.)

*Na kama hamkufanya hivo patakuwa na fitna katika ardhi na ufisadi wa wazi wazi kabisa.* kaipokea iman Attrmidhy na wengineo."

*❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪مجموع الفتاوى الحكم الشرعي في فتاة شيعية يمنعها مرجع طائفتها من الزواج❫.*

══════ ❁✿❁ ══════

*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*📡Subscribe my WhatsApp channel*
https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R

*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
https://chat.whatsapp.com/KesmKGWw58z5X5pW7HYbMy

*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*

*💉Kuwa muadilifu usibadili chochote*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*."*

Mafunzo sahihi ya ndoa

28 Sep, 08:27

*🌹🌹 JE KUOA MAPEMA NI SABABU YA KUZALIWA MTOTO NJITI?* Darsa namba (2)

*هل الزواج المبكر سبب في خروج الجنين مشوهاً؟*

*Je kuoa mapema kunasababisha mtoto kuzaliwa kichanga ambacho hakija timia kilicho haribika?*

*قال العلامة إمام عبد العزيز بن باز رحمه الله*

*📝Amesema Al-Allaamah imam Abdul Aziiz bin baazi (rahimahullah)*

*وهذا القول الذي قاله هذا القائل، لا أصل له،*

*Na kauli hii aliyo isema huyu msemaji haina asili*

*كون الولد يخرج مشوهًا بسبب الزواج المبكر*

*Kuwa mtoto atazaliwa haliyakuwa kichanga ambacho hakija timia kilicho haribika*

*هذا شيء لا أصل له، وإنما هو تنفير من الزواج المبكر بغير حق، وبغير علم،*

*Jambo hili halina asili, kwa hakika yake maneno hayo ni kuikimbia ndoa pasina haki na bila ya elimu*

*وقد زوجنا، وزوج الناس أولادهم مبكرين،*

*Kwa hakika tumeoa na wamewapa watu watoto wao wa kiume wake*

*وما رأوا إلا خيرًا،*

*Na hatukuona isipokuwa ni kheri tupu*

*ولم يحصل من ذلك هذا الشر الذي قاله هذا القائل، نسأل الله السلامة.*

*Na wala halija tokea hilo hiyo shari aliyo isema msemaji, Tunamuomb Allah salama*

*❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪فتاوى الجامع الكبير هل الزواج المبكر سبب في خروج الجنين مشوهاً؟❫.*

══════ ❁✿❁ ══════

*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*📡Subscribe my WhatsApp channel*
https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R

*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
https://chat.whatsapp.com/KesmKGWw58z5X5pW7HYbMy

*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*

*💉Kuwa muadilifu us'badili chochote*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*."*

Mafunzo sahihi ya ndoa

28 Sep, 08:27

*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*🌹🌹 JE KUOA MAPEMA NI SABABU YA KUZALIWA MTOTO NJITI?* Darsa namba (1)

*هل الزواج المبكر سبب في خروج الجنين مشوهاً؟*

*Je kuoa mapema kunasababisha mtoto kuzaliwa kichanga ambacho hakija timia kilicho haribika?*

*قال العلامة إمام عبد العزيز بن باز رحمه الله*

*📝Amesema Al-Allaamah imam Abdul Aziiz bin baazi (rahimahullah)*

*هذا ما نعلم له أصلًا، الزواج المبكر مطلوب،*

*Maneno haya hatujui asli yake, kuoa mapema kunatakiwa*

*النبي -عليه الصلاة والسلام- قال: يا معشر الشباب، من استطاع منكم الباءة؛ فليتزوج؛*

*Mtume (swallah llahu alayhi wasallam) kasema: enyi kongomano la vijana mwenye kuweza kuoa katika nyinyi basi na aoe*

*فإنه أغض للبصر، وأحصن للفرج*

*Kwani hakika yake ndoa hufumba macho na huhifadhi tupu*

*هذا هو المشروع ؛ فقد أحسن، وليس عليه في ذلك خطر.*

*Hili ndo jambo lililo wekewa sharia, kwa hakika atafanya vizuri (kuoa mapema) na wala hakuna hatari juu take."*

*❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪فتاوى الجامع الكبير هل الزواج المبكر سبب في خروج الجنين مشوهاً؟❫.*

══════ ❁✿❁ ══════

*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*📡Subscribe my WhatsApp channel*
https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R

*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
https://chat.whatsapp.com/KesmKGWw58z5X5pW7HYbMy

*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*

*💉Kuwa muadilifu us'badili chochote*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

Mafunzo sahihi ya ndoa

19 Sep, 11:22

*https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R*

*🌹🌹SIKU NGUMU ZAIDI KWA BABA NI SIKU YA KUMUOZESHA BINTI YAKE*

*أصعب يوم على الأب هو يوم زواج ابنتِه...*

*Siku ngumu zaidi kwa baba nie siku ya kumuozesha binti yake*

*والسبب الخوف من المجهول في زمن قَلَ فيه الرجال..*

*Na sababu ya khofu yake ni kile kilicho fichikana katika zama ambazo wachache wanaume (waaadilifu)*

*فأما أن تعيش عزيزة أو ذليلة...*

*Ima aishi kwa heshima au aishi kudhalilishwa."*

══════ ❁✿❁ ══════

*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*📡Subscribe my WhatsApp Channel*
https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R

*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
*https://chat.whatsapp.com/KesmKGWw58z5X5pW7HYbMy*

*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*

*💉Kuwa muadilifu usibadili chochote*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

Mafunzo sahihi ya ndoa

01 Sep, 10:41

https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R

*🌹🌹 USIOLEWE ISIPOKUWA KWA MWANAUME MWENYE DINI*

*قـ✑ــال العلامـة محمـد ابـن عثيميـن رحمــہ اللـہ تعـالـﮯ*

*📝Amesema Al-Allaamah muhammad bin swaaleh Al-uthaymeen (rahimahullah)*

*☜ننصح المرأة بألا تختار في النكاح*

*Tunampa nasaha mwanamke asichaguwe katika kuolewa*

*إلا رجلا صاحب دين وخلق،*

*Isipokuwa mwanaume mwenye dini na tabia njema*

*وألا تتعجل المرأة بقبول الخاطب*

*Na wala asifanye haraka kumkubali anae mposa*

*حتى يبحث عنه من جميع الجوانب،*

*Mpaka afanye uchunguzi juu yake katika pembe zake zote."*

*❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪فتاوى نور على الدرب [ جـ ١٠ صـ ٣١ ❫*

══════ ❁✿❁ ══════

*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*📡Subscribe my channel YouTube*
*https://youtu.be/JEHFzmZNxnA?si=o8Zl7ZIt0K3KTb65*

*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
*https://chat.whatsapp.com/FW4aG9M68ruLjzC53NoNab*

*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*

*💉Kuwa muadilifu usibadili chochote*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

Mafunzo sahihi ya ndoa

01 Sep, 10:41

https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R

*🌹🌹 HARAKA HARAKA INATOKANA NA SHAITWAAN ISIPOKUWA MAMBO 5*

*‏العجلة من الشيطان إلا في خمس ؛*

*Haraka haraka inatokana na shaytwaan isipokuwa kwa mambo matano*

*‏إطعام الضيف ، تجهيز الميت ، تزويج البكر ، قضاء الدين ، التوبة من الذنب.*

*Kumlisha mgeni, kumuandaa maiti (kwaajili ya kumzika), kumuozesha bikra, kulipa deni, kuleta toba kutokana na dhambi."*

*❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪ الحلية لأبي نعيم (٨٢/٨) ❫*

══════ ❁✿❁ ══════

*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*📡Subscribe my channel YouTube*
*https://youtu.be/JEHFzmZNxnA?si=o8Zl7ZIt0K3KTb65*

*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
*https://chat.whatsapp.com/FW4aG9M68ruLjzC53NoNab*

*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*

*💉Kuwa muadilifu usibadili chochote*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

Mafunzo sahihi ya ndoa

23 Aug, 06:31

*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*🌹🌹 OA ALLAH ATAWAPA RIZKI*

*قال التابعي #إبراهيم_النخعي :*

*📝Amesema Taaby Ibraahim Annkhiyyi (rahimahullah)*

*تزوج ، فإن الذي كان يرزقها في بيتها ، هو يرزقها ويرزقك في بيتك ...*

*Oa, kwani hakika ya yule ambae alikuwa anamruzuku mwanamke huyo wakati yupo kwao, ndie huyo huyo atakae kupa rizki wewe na yeye katika nyumba yako."*

*❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪تاريخ ابن محرز ١٠٥ ❫*

══════ ❁✿❁ ══════

*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*📡Subscribe my WhatsApp channel*
*https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R*

*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
*https://chat.whatsapp.com/FW4aG9M68ruLjzC53NoNab*

*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*

*💉Kuwa muadilifu usibadili chochote*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

Mafunzo sahihi ya ndoa

15 Aug, 07:35

**https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R*

*🌹🌹BILA SHAKA UTIIFU WA MKE KWA MUMEWE NI FARADHI,* Darsa namba (2)

*قال الشيخ صالح آل الشيخ حفظه الله:*

*📜Amesema shekh Swaaleh Aali shekh (Allah amhifadhi)*

*وأن تكون هي المتنازلة هي التي تخضع ،*

*Na awe mke ni mwenye mwenye kujishusha kwa mumewe, yeye ndie awe mwenye kumnyenyekea mumewe*

*و ألا تجعل الرجل هو الذي يخضع لها ، وهو الذي يذل ،*

*Na mke asimfanye mume awe mwenye kumnyenyekea yeye, nae (mume) akawa chini ya mkewe. (Na Allah atulinde katika hilo)."*

*❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪ شريط الأساليب الشرعية في التعامل مع الناس : الدقيقة ٣١. ٤٤ ثانية❫*

══════ ❁✿❁ ══════

*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*📡Subscribe my WhatsApp channel*
*https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R*

*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
*https://chat.whatsapp.com/FW4aG9M68ruLjzC53NoNab*

*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*

*💉Kuwa muadilifu usibadili chochote*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

Mafunzo sahihi ya ndoa

15 Aug, 07:34

*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*🌹🌹BILA SHAKA UTIIFU WA MKE KWA MUMEWE NI FARADHI,* Darsa namba (1)

*قال الشيخ صالح آل الشيخ حفظه الله:*

*📜Amesema shekh Swaaleh Aali shekh (Allah amhifadhi)*

*ولا شك أن طاعة المرأة لزوجها فرض ،*

*Na wala hapana shaka utiifu wa mke kwa mumewe ni faradhi*

*والمرأة يجب عليها أن تكون في تعاملها مع زوجها مطيعة راضية ،*

*Na kwa mke ni wajibu kuishi vizuri na mumewe, haliyakuwa mwenye kumtii na mwenye kuridhia katika hilo."*

*❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪ شريط الأساليب الشرعية في التعامل مع الناس : الدقيقة ٣١. ٤٤ ثانية❫*

══════ ❁✿❁ ══════

*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*📡Subscribe my WhatsApp channel*
*https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R*

*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
*https://chat.whatsapp.com/FW4aG9M68ruLjzC53NoNab*

*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*

*💉Kuwa muadilifu usibadili chochote*

*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

Mafunzo sahihi ya ndoa

14 Aug, 08:47

*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*

*🌹🌹 KWA KITU GANI MAISHA HUWA MAZURI KWA MWANAMKE NA KWA MWANAUME KATIKA DUNIA*

*قال العلامة أحمد النجمي - رحمه الله:*

*📝Amesema Al-Allaamah Ahmad Annajmiy (rahimahullah)*

*فالرجل لا يتم حاله ولا تطيب له الحياة إلا بالزوجة الصالحة*

*Mwanaume haitimii hali yake na wala maisha yake hayawi mazuri isipokuwa kwa kupata kwa mke mwema*

*والمرأة لا تطمئن ولا تطيب لها الحياة إلا بالزوج الصالح .*

*Na mwanamke wala hatulizani na wala hayatulizani maisha yake isipokuwa kwa kupata mume mwema."*

*❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪ تأسيس الأحكام 172/4❫*