Forextanzania @forextanzaniaa Channel on Telegram

Forextanzania

@forextanzaniaa


Hii Chanel ni kwaajili ya kujifunza Forex (FREE)
@felixfx12

Forextanzania (Swahili)

Kwa wapenzi wa biashara ya Forex nchini Tanzania, huu ni wakati wenu wa kipekee! Kupitia chaneli ya 'Forextanzania', utapata fursa adimu ya kujifunza jinsi ya kufanya biashara ya Forex bila malipo yoyote. Kwa msaada wa @felixfx12, mtaalamu wa biashara ya Forex, utapata maarifa ya kina kuhusu soko la fedha na jinsi ya kufanya maamuzi sahihi katika biashara yako. Kujifunza Forex haijawahi kuwa rahisi na ya kuvutia kama ilivyo kupitia chaneli hii. Usikose fursa hii ya kipekee, jiunge na Forextanzania leo na ubadilishe maisha yako ya kifedha kwa bora zaidi!

Forextanzania

23 Apr, 10:53


Deriv/binary


_DEPOSIT_
Minimum deposit 1 usd


_WITHDRAW_
Minimum withdraw 1 usd (Nofee)

Deposit/Withdraw method M-PESA,TIGOPESA, AIRTELMONEY,halopesa N.K

Open account
https://track.deriv.com/_lqJT4ErqONh0QQMXeD9If2Nd7ZgqdRLk/1/


Whatsapp 0712939986

Forextanzania

17 Feb, 19:43


Kwa wale ambao hawafahamu kuhusu broker binary Basi nimekuwekea hapa maelezo mafupi yanaweza kukusaidia πŸ“ŒπŸ“Œ

πŸ“ŒNi broker anayetumia platform ya MT5 , yeye hatumii Ile platform tuliyozoea ya MT4.
πŸ“ŒUkimtumia broker huyu utaweza kutrade currencies na index Kama ilivyo volatility index 75 ambayo inatoa mpunga mwingi Sana kwa lotsize ndogo ya 0.01 , pia usisahau ukipata loss inakuwa kubwa
πŸ“Œ Faida moja ya kutrade indexs Hakuna news pia hakuna likizo Yani hata weekend unatrade , soko la index halifungwi ,

πŸ“ŒUsihofu kuhusu verification ya account yako , binary huitaji kutuma documents yoyote ili kuverify account yako , Yani utafungua account real na utatrade bila matatzo yoyote na utatoa hela zako Kama kawaida bila verification yoyote..
Ila siku utakapohitaji kuwithdraw amount ya $10,000 kwenda juu Basi hapo watakuhitaji uwatimie documents zako kwa ajili ya kuverify. But chini ya $10,000 huitaji kuverify

πŸ“Œ Kuhusu methods za deposit na withdraw wanatuma methods zilezile tunazozijua Kama Skrill, bank card, netteller nk, Ila pia Kuna njia mpya ambayo nimeiona kwao na ndo Ni njia rahisi Zaid ya kufanya transaction zako, Ni kumtumia local agents ambao wameidhinishwa na binary ,, kazi za Hawa maagents Ni kushughulikia deposit na withdraw za wateja ,, mfano unahitaji kudeposit unachofanya wewe Ni kuwasiliana na agents atakuuliza unataka deposit $ ngap , then atakuambia umtumie kwa mpesa au njia yoyote mtakayokubaliana, then utampa details ya account yako , atadeposit chap kwa haraka
Pia ukihitaj kuwithdraw unamchek agent atawithdraw ye hela atakutumia kwa mpesa au njia yoyote mtakayokubaliana , kumbuka unavyotoa au kudeposit kupitia agents Kuna makato unakwata but sio makubwa km ilivyo njia zingine skrill nk..

Uaminifu wa maagents Ni mkubwa Sana so usihofu juu ya Hilo.

πŸ“Œ minimum deposit na withdraw Ni $1

Unaweza kufungua account yako ya binary Leo kwa kubofya link hapo chini

https://track.deriv.com/_lqJT4ErqONh0QQMXeD9If2Nd7ZgqdRLk/1/

Forextanzania

19 Dec, 11:55


Hellow forex trader nimekuletea broker ambaye unaweza kutrade pair za index ambazo unaweza kutrade hadi WEEKEND 24/7 days (V75 ,V100 na Nyingine) pair hizi zina move kwa pips ndani ya mda mfupi.

N.B unaweza deposit by skill ambayo utatumia M-pesa kudeposit

STEPS ON CREATING AN ACC
1. Enter email adress and signup
2. Comfirm registration email in your email adress
3. Creat new virtual account and upgrade to the real account
4. Click menu, then trade open and click meta trader5, click real account then synthetic indicies for volatilities, boom and crash or standard account for forex curencie. Creat main psword then comfirm.
5. Download Mt5 trading platform then log in and start trading
7. Trading start soon no need of verification documents you can start trading

Link ya broker

https://track.deriv.com/_lqJT4ErqONh0QQMXeD9If2Nd7ZgqdRLk/1/

Forextanzania

18 Nov, 16:47


Deriv offers complex derivatives, such as options and contracts for difference (β€œCFDs”). These products may not be suitable for all clients, and trading them involves risk. Please ensure that you understand the following risks before trading Deriv products: a) you may lose some or all of the money you invest in the trade; b) if your trade involves currency conversion, exchange rates will affect your profit and loss. You should never trade with borrowed money or with money that you cannot afford to lose.

Forextanzania

18 Nov, 13:28


Broker link

https://justforex.com/?ref=420266901

Forextanzania

18 Nov, 13:27


Habari njema kwa wanaohitaji broker mwenye deposit na withdraw method kwa njia ya M-PESA.nimekuwekea link hapa chini register
Kwa msaada whatsapp 0712939986 @felixfx12

Forextanzania

03 Nov, 12:29


Kwa msaada Whatsapp 0712939986 @felixfx12

Forextanzania

19 Sep, 12:46


https://t.me/booksforex link ya vitabu

Forextanzania

19 Sep, 12:45


Forextanzania pinned Β«Jinsi ya kufungua REAL ACCOUNT NA KUPATA BONUS (no deposit) Bonus hii ni kwa wateja wapya ambao hawana accountΒ»

Forextanzania

19 Sep, 10:22


Continuation pattern nzuri huundwa na ERC candle kwenye Rally na kwenye BASE huundwa na 50% candle.Tazama mfano hapa chiniπŸ‘‡πŸΎ

Forextanzania

19 Sep, 09:03


continuation pattern hutumika kupata entry point in trending market.Nitazielezea kwa undani zaidi katika vipindi vya mbele

Forextanzania

19 Sep, 08:39


enty point BUY tunapata baada ya price kurudi kuretest kwenye demand zone (BUY)

Forextanzania

19 Sep, 08:37


RALLY-BASE-RALLY demand zone imetengenezwa

Forextanzania

19 Sep, 01:09


-Kwa Demand zone huundwa na RALLY-BASE-RALLY kwenye BASE ndio consolidation
n.b kwenye base ndipo tunapochora demand zone
tazama mfanoπŸ‘‡

Forextanzania

19 Sep, 01:08


Hii ni moja ya setup niliyofanikiwa kupata entry (daily timeframe)

Forextanzania

19 Sep, 01:03


Entry point tunapata price inaporudi kuretest kwenye zone iliyokwisha kutengenezwa (sell)

Forextanzania

19 Sep, 01:01


Drop-base-Drop supply level imetengenezwa

Forextanzania

19 Sep, 00:59


2.sehemu ambapo price ina consolide( CONTINUATION PATTERN)
-Kwa supply zone huundwa na DROP-BASE-DROP kwenye ndio consolidation
n.b kwenye base ndipo tunapochora supply zone
tazama mfanoπŸ‘‡

3,310

subscribers

124

photos

12

videos