Ajiraboard - (Ajira, Scholarships & Nafasi za kazi) + TAMISEMI. @tamisemi Channel on Telegram

Ajiraboard - (Ajira, Scholarships & Nafasi za kazi) + TAMISEMI.

@tamisemi

Jiunge Nasi kwa Taarifa za:

● Internships
● Scholarships
● Nafasi za Kazi & Ajira
● Career Tips (Matokeo ya Mitihani nk)

Tembelea: www.ajiraboard.com

Channel under @TAWASIFU.

Ajiraboard - (Ajira, Scholarships & Nafasi za kazi) + TAMISEMI (Swahili)

Ajiraboard ni kituo cha Telegram kilichobobea katika kutoa taarifa muhimu kuhusu ajira, scholarships, na nafasi za kazi. Kama unatafuta fursa za mafunzo, masomo, au ajira, basi hii ndio mahali sahihi kwako. Pamoja na hayo, kituo hiki pia kinatoa ushauri kuhusu maisha ya kazi ikiwa ni pamoja na matokeo ya mitihani. Ni mahali pazuri kupata habari za karibuni kuhusu nafasi za stajia, kozi za ufadhili, na fursa za kazi

Unaweza kupata taarifa hizi zote kwa urahisi kwa kujiunga na kituo cha Ajiraboard. Tembelea tovuti yao www.ajiraboard.com ili upate taarifa zaidi na jinsi ya kujiunga. Kituo hiki kinasimamiwa na @TAWASIFU, ambao ni wataalamu katika kutoa taarifa za kazi na ajira. Jiunge sasa ili usikose fursa muhimu za kazi na masomo!

Ajiraboard - (Ajira, Scholarships & Nafasi za kazi) + TAMISEMI.

17 Oct, 18:49

Tuko LIVE tena. Taarifa mpya hivi punde.

Meanwhile jiunge nasi kupitia Whatsapp

https://chat.whatsapp.com/C1OGDTDJd1p8Um0gq2Ukkb

Ajiraboard - (Ajira, Scholarships & Nafasi za kazi) + TAMISEMI.

17 Oct, 18:48

Channel photo updated

Ajiraboard - (Ajira, Scholarships & Nafasi za kazi) + TAMISEMI.

01 Oct, 06:37

Channel photo removed

Ajiraboard - (Ajira, Scholarships & Nafasi za kazi) + TAMISEMI.

01 Oct, 06:37

Channel name was changed to «Ajiraboard - (Ajira, Scholarships & Nafasi za kazi) + TAMISEMI.»

Ajiraboard - (Ajira, Scholarships & Nafasi za kazi) + TAMISEMI.

14 Aug, 06:35

(Jana zilijaa Nafasi zote 10 kati ya 10)

...Lakini kwa sababu ya watu kuwa wengi Nitakupa Hii BONUS Hapa Chini...

Nitakuundia CV/Resume 3 zenye design tofauti tofauti.

....Halafu Sasa Watu wa Kwanza Kuja Inbox Watapata BONUSES Hizi Hapa Chini BURE👇

Unapata Muongozo kuhusu kutumia LinkedIn kukuza circle yako BURE...

Unapata Miongozo iliyojaa mbinu za hatua Kwa hatua Jinsi ya Kuandika Application Email... pia BURE…

...Document ipo Katika Mfumo wa SOFTCOPY... unatumiwa ndani ya Masaa 72 Tu Kwenye WhatsApp yako

Na ukipoteza Bahati Mbaya unatumiwa Tena BURE

Ili Usipitwe na Nafasi Hii ya Upendeleo basi Nitumie Ujumbe WhatsApp Sasahivi 👇

https://wa.me/message/R66V4N356KGPG1

NB: Kumbuka Nafasi ni 13 Tu na Mwisho wa OFA ni Ijumaa 11:59 Pm

Chaguo ni Lako Aidha Ulipie Leo Tshs 2,300 Tu Ili Upate CV yako na BONUS zake Zote... au Usubiri wakati ujao Ulipie Tsh 30K Upate Resume moja Tu

Bye!

Festo, Ajiraboard.com
Nje Ya Mji.

Ajiraboard - (Ajira, Scholarships & Nafasi za kazi) + TAMISEMI.

13 Aug, 19:57

Tayari Nafasi Zote Zimeshaisha.

Ukiwa na swali Lolote usisite Kuuliza inbox (@Festorick)

PS. Usijaze tena fomu kwa ajili ya OFA hii Kwasababu Haitakuwepo Tena!

Uwe na Siku Njema!

By the way.... Hongereni sana wale Wote Mliojinyakulia BAHATI ya kujiunga na "Ajiraboard Lightspeed" mmetisha sana!

Tchao!

- Festo From Ajiraboard

Ajiraboard - (Ajira, Scholarships & Nafasi za kazi) + TAMISEMI.

13 Aug, 19:55

Nafasi ZIMEISHA.

Ajiraboard - (Ajira, Scholarships & Nafasi za kazi) + TAMISEMI.

13 Aug, 17:14

Hii Ndio njia SAHIHI itakayokusaidia kupata AJIRA kwa HARAKA sana.

…Kukutumia maombi pamoja na usaidizi mwingine kibao…

Kisha unapata hizi FAIDA hapa chini kwa uwekezaji ulio sawa na BURE kabisa…

1. Unapata CV/Resume iliyoandaliwa na kuwa designed maalum kwa ajili yako pekee

2. Unapata BURE professional Email na mafunzo ya kutumia LinkedIn BURE

4. Unasaidiwa Kutafuta Ajira, Kuandika, Kutuma, Kufuatilia pamoja na Kukujibia Email zako zote za Maombi ya Ajira.

….. Na kubwa kuliko – Tunatuma maombi Zaidi ya 350 kwa mwezi kwa niaba yako, maana yake ni maombi yasiyopungua 10 kila siku na kukupa ripoti kila mwisho wa mwezi.
 
(Hii baadae ada yake itakuwa TSH 150,000 kama Huduma)
 
Lakini Badala yake kama Utakuwa miongoni mwa watu 10 wa kwanza kujaza hii fomu utapata BONASI…
 
…Utapata Vitu Vyote hivyo kwa ada KIDOGO ya:
 
tsh 20,000 tu. (badala ya TSH 150,000)
 
Kwahiyo:
 
Ili kuepuka Kukosa Nafasi Jaza fomu SASAHIVI kupitia LINK hii hapa Chini. 👇
 
bofya.link/Hapa-Kujaza-Form
 
Baada ya Kujaza Nitumie Ujumbe WhatsApp ili nikuunge kwenye group Tayari kwa Kusubiri utaratibu.
 
KUMBUKA: Kesho Ndio Mwisho Wa Kujaza… Kwahiyo Wahi MAPEMA.
 
Uwe na siku njema!
Festo

Ajiraboard - (Ajira, Scholarships & Nafasi za kazi) + TAMISEMI.

13 Aug, 17:14

Hello Guys!

Hope mko poa, Kuna tool tunategemea kuizindua hivi karibu.

Tool hii itakusaidia kutuma maombi zaidi ya 300 yw ajira kwa mwezi, lengo ni kusimply mchakato mzima wa uombaji wa kazi kwa ajili yako.

Tafadhali soma ujumbe unaofuatia kwa maelezo zaidi. Asante.

- Festo From Ajiraboard.

Ajiraboard - (Ajira, Scholarships & Nafasi za kazi) + TAMISEMI.

01 Aug, 16:06

Hello guys!

Hope mko poa.

This is Festo, admin wa channel hii. Nitaanza kuwawekea post za ajira mpya hivi karibuni.

Ajiraboard - (Ajira, Scholarships & Nafasi za kazi) + TAMISEMI.

18 Jul, 17:30

Ajiraboard - (Ajira, Scholarships & Nafasi za kazi) + TAMISEMI. pinned «Habari, Naitwa Festo, muanzilishi wa Ajiraboard.com, nashare fursa mbalimbali kupitia Whatsapp. Kuzipata fursa hizo; unachotakiwa kufanya ni DM neno “AJ” nami ntakuongeza kwenye list yangu. WhatsApp; bofya.link/Nitext»

Ajiraboard - (Ajira, Scholarships & Nafasi za kazi) + TAMISEMI.

18 Jul, 17:29

Habari,

Naitwa Festo, muanzilishi wa Ajiraboard.com, nashare fursa mbalimbali kupitia Whatsapp.

Kuzipata fursa hizo; unachotakiwa kufanya ni DM neno “AJ” nami ntakuongeza kwenye list yangu.

WhatsApp; bofya.link/Nitext

Ajiraboard - (Ajira, Scholarships & Nafasi za kazi) + TAMISEMI.

11 Jun, 12:22

Group 2 lipo LIVE

bofya.link/Group2 kujiunga kabla halijajaa.

Ajiraboard - (Ajira, Scholarships & Nafasi za kazi) + TAMISEMI.

22 Apr, 18:42

Matangazo ya Ajira kupitia WhatsApp.

👉 bofya.link/Group1

Ajiraboard - (Ajira, Scholarships & Nafasi za kazi) + TAMISEMI.

08 Jan, 05:04

🔗 @ AjiraBoard.com

Ajiraboard - (Ajira, Scholarships & Nafasi za kazi) + TAMISEMI.

14 Aug, 07:48

🔗 @ AjiraBoard.com

Ajiraboard - (Ajira, Scholarships & Nafasi za kazi) + TAMISEMI.

17 Jul, 14:19

MAPATO YA STENDI YA MAGUFULI YAFIKIA MIL 5 KWA SIKU

Mapato ya viingilio katika kituo kikuu cha mabasi yanayowenda mikoani na nje ya nchi kilichopo Mbezi kilichopewa jina la Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, Dk John Magufuli, Dar es Salaam yameongezeka kutoka Sh 3, 400,000 kwa siku hadi Sh 5,6 00,000.

🔗 @ AjiraBoard.com

Ajiraboard - (Ajira, Scholarships & Nafasi za kazi) + TAMISEMI.

17 Jul, 14:17

🔗 @ AjiraBoard.com

Ajiraboard - (Ajira, Scholarships & Nafasi za kazi) + TAMISEMI.

15 Jun, 09:47

🔗 @ AjiraBoard.com