MUHASSO OFFICIAL @muhasso_official Channel on Telegram

MUHASSO OFFICIAL

@muhasso_official


Habari rasmi zinapatikana humu | The Official Channel for Muhimbili University of Health and Allied Sciences Students' Organisation (MUHASSO).
Peace | Harmony | Integrity
YouTube channel ya MUHASSO hii hapa👇👇👇
https://youtube.com/channel/UCg37L5AlmlHE4

MUHASSO OFFICIAL (Swahili)

MUHASSO OFFICIAL ni kituo rasmi cha Muhimbili University of Health and Allied Sciences Students' Organisation (MUHASSO). Kupitia kituo hiki, utapata habari rasmi za shirika hili lenye lengo la kuwaleta pamoja wanafunzi wa chuo hicho. MUHASSO inasisitiza amani, umoja na uadilifu miongoni mwa wanachama wake. Kupitia kituo hiki, wanachama wa MUHASSO wanaweza kushiriki katika shughuli mbalimbali za kielimu na kijamii. Pia, unaweza kutembelea channel yao ya YouTube kwa video na matukio mbalimbali ya shirika hilo. Kwa habari zaidi, tembelea https://youtube.com/channel/UCg37L5AlmlHE4

MUHASSO OFFICIAL

21 Aug, 21:37


MUHASSO family,
it's time to come together and show our support for two outstanding representatives.
Let’s rally behind *Frank Msaki, our former Vice President of MUHASSO 2023/2024*, and vote for him as the University’s *Best Male Leader of the Year*.

At the same time, let's also support *Jackline Malavanu from BPharm 3*, who is representing MUHASSO and Tanzania in the African Campus battle Competition, where she has reached the semifinals.
I highly recommend her as the Best Live Performing Poet.

Both of these remarkable individuals have made us proud—now it’s our turn to make them winners🎉

🗳️ Click the link below to vote for both:👇
https://forms.gle/yX3MzDF2Nax819K26

always, let’s unite, support our own, and ensure MUHASSO continues to shine!🥂

MUHASSO OFFICIAL

31 Jul, 20:26


Today, at the culmination of the Benjamin Mkapa Legacy Summit, @mkapafoundation

Afya Lead @afya_lead received the Mkapa Health Innovation Award 2024 from Her Excellency Samia Suluhu Hassan @samia_suluhu_hassan , President of the United Republic of Tanzania.

This award recognizes their innovative Safe Wrap "Mkanda Salama", which addresses maternal mortality from Postpartum Hemorrhage (PPH). @wizara_afyatz
@ummymwalimu
The team includes James Kalema (MD 4) @james.kalema , Pascal Kija (MD 4) @kijapaschalt , and Franc Israel @franc_mussa (a graduate).

The MUHASSO Through the Ministry of Research Innovation and Entrepreneurship @iamlongnusgilbert
we congratulates Afya Lead on this remarkable achievement and wishes them continued success in advancing healthcare services.

MUHASSO OFFICIAL

26 Jul, 13:28


NEW VIDEO UPLOADED ON OUR OFFICIAL CHANNEL (MUHASSO ONLINE TV)

TITLE: Information session for chevening scholarship Application

LINK TO WATCH: https://www.youtube.com/watch?v=R0cGMtc-mO4

MUHASSO OFFICIAL

26 Jul, 13:28


NEW VIDEO UPLOADED ON OUR OFFICIAL CHANNEL (MUHASSO ONLINE TV)

TITLE: My Dream -JACKLINE MALAVANU #AFRICAN CAMPUS BATTLE

LINK TO WATCH: https://www.youtube.com/watch?v=fIbqBgLX5Ow

MUHASSO OFFICIAL

19 Jul, 15:29


NEW VIDEO UPLOADED ON OUR OFFICIAL CHANNEL (MUHASSO ONLINE TV)

TITLE: Highlight 25:44 – 30:44 from MUHASSO ONLINE TV is live

LINK TO WATCH: https://www.youtube.com/watch?v=anlwIXyJt2U

MUHASSO OFFICIAL

21 Jun, 21:28


NEW VIDEO UPLOADED ON OUR OFFICIAL CHANNEL (MUHASSO ONLINE TV)

TITLE: COMMUNITY MEDICINE DOCUMENTARY 2024

LINK TO WATCH: https://www.youtube.com/watch?v=vqLsS5NnbHM

MUHASSO OFFICIAL

18 Jun, 05:28


NEW VIDEO UPLOADED ON OUR OFFICIAL CHANNEL (MUHASSO ONLINE TV)

TITLE: Documentary on Community Medicine catch on @communitymedicineMD4 @muhassoonlinetv9608

LINK TO WATCH: https://www.youtube.com/watch?v=rk1p3rM5sXA

MUHASSO OFFICIAL

16 Jun, 21:28


NEW VIDEO UPLOADED ON OUR OFFICIAL CHANNEL (MUHASSO ONLINE TV)

TITLE: WANAFUNZI WA MUHAS WATENGENEZA AI SPEAKING AVATAR @muhassoonlinetv9608 @muhimbilitv847 🇹🇿

LINK TO WATCH: https://www.youtube.com/watch?v=nrozL97OGro

MUHASSO OFFICIAL

07 Jun, 21:28


NEW VIDEO UPLOADED ON OUR OFFICIAL CHANNEL (MUHASSO ONLINE TV)

TITLE: WANAFUNZI WA EHS 2 WATEMBELEA KIWANDA CHA KUOKA BISCUITS CHA BAKHRESA- KIPAWA

LINK TO WATCH: https://www.youtube.com/watch?v=40seSJrlICo

MUHASSO OFFICIAL

28 May, 21:28


NEW VIDEO UPLOADED ON OUR OFFICIAL CHANNEL (MUHASSO ONLINE TV)

TITLE: Life After MUHASSO general Election 2024

LINK TO WATCH: https://www.youtube.com/watch?v=4oOuarz4CtY

MUHASSO OFFICIAL

27 Mar, 16:12


Waziri mkuu wa Muhasso Mhe Jerome Mwamuliamba ameweza kufungua Muhasso Cup  2024 siku ya Jumatatu tarehe 25 /03/2024.

Waziri mkuu ameeleza kwamba serikali katika kuonyesha utofauti  Mwaka huu imefanikiwa kununua Jezi mpya kwa timu zote pamoja na kuongeza zawadi kwa washindi  katika kuthamini michezo kwa ujumla

Muhasso Cup ya Mwaka huu imeanza vyema kutokana na Shamrashamra zinazoendelea kuonyeshwa na Mashabiki wanaojaaa uwanjani

Muhasso CUP 2024 itachezwa kwa muda wa Wiki nne

Serikali inawakaribisha wanamuhasso wote uwanjani ebola katika kuendelea  kufatilia mitanange mbalimbali.

MUHASSO OFFICIAL

25 Mar, 14:01


official Line Up 🔥🔥🔥Karibuni Ebola Stadium

MUHASSO OFFICIAL

24 Mar, 20:02


NDO UKUBWAA HUOOO

Hatimaye muda umewadia.. Mabingwa mara 3 mfululizo CAMBODIA FC (fifth year) 🔥watatua dimbani kuwakaribisha BARBAROUS FC (first year)

Hii sio yakukosa 🔥🔥
Njoo ushuhudie kandanda Safi ikitembezwaa...

Ni buuuureee kabisa

MUHASSO OFFICIAL

23 Mar, 18:00


Ndo kwa Ukubwa Huo😱‼️😁

⚽️⚽️⚽️FOOTBALL AWARDS MUHASSO CUP 2024⚽️⚽️⚽️

Wizara ya Michezo inawatangazia Wanamichezo wote kwamba kwa mwaka huu Serikali imejipanga vyema kuhakikisha Michezo ni kipaumbeleee baada yakufanikiwa Kuongeza Zawadi ukilinganisha na ilivyokuwa miaka ya nyuma

Wizara ya Michezo itawapatia;

1. Washindi wa kwanza 600,000 Tsh ambapo Miaka ya nyuma ilikuwa 500,000

2.Washindi wa Pili 400,000 Tsh ambapo miaka ya nyuma ilitolewa300,000

3.Washindi wa Tatu 200,000 Tsh ambapo miaka ya Nyuma ilitolewa 100,000

Pamoja na Vyeti kwa Washiriki Wote 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😱📢

Ndo Kwa ukubwa huo?????!!!


🥳Mashabiki wote Tukutane Ebola Stadium Jumatatu

🔥🔥🔥🔥 Greatest Ecolades of Football Times🔥🔥🔥🔥

MUHASSO OFFICIAL

21 Mar, 11:07


⚽️MUHASSO FOOTBALL FIXTURES 2024⚽️


‼️📢"As the sun sets on the horizon, casting its golden hue upon the grand stands of Ebola Stadium, we prepare for an evening of unparalleled football fervor.

🔥🔥Ladies and gentlemen, brace yourselves as we unveil the much-awaited Muhasso Cup Football Fixtures, where passion meets prowess on the hallowed turf.

With anticipation reaching a crescendo, the stage is set, the teams primed, and the fans poised for a spectacle that will etch itself into the annals of footballing history.

So, without further ado, let the games begin from MONDAY🔥😱!"

MUHASSO OFFICIAL

21 Mar, 11:07


⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️MUHASSO CUP 2024 ⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️


The unthinkable unfolds before our eyes!😳🔥

Now in his immaculate maturity, Muhasso Cup is  re-United.

At its Brilliant Best😱🔥🔥🔥

🔊📢📢Drama of the ultimate type! Tears of distress turn to tears of unbridled joy! It just does not get better than this. It will never get better than this in Ebola Stadium

Muhasso Cup 2024 is finally Settled to Happen !


‼️🔥Are you Ready?????

⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️

MUHASSO OFFICIAL

24 Nov, 12:45


x4ft5bth49m4 4cg
gggfgfit