Mange Kimambi BLOG V .I. P CONNECTION TZ @mangekimambiblo Channel on Telegram

Mange Kimambi BLOG V .I. P CONNECTION TZ

@mangekimambiblo

Umbea na Connections kutoka @MangeKimambiApp

Mange Kimambi BLOG V .I. P CONNECTION TZ (Swahili)

Mange Kimambi BLOG V.I.P CONNECTION TZ ni channel ya Telegram inayolenga kuwapa watumiaji wake ufikiaji wa habari muhimu na za kipekee kuhusu Tanzania. Kama jina linavyosema, hii ni sehemu ambapo utapata habari za kipekee na za ndani kutoka kwa Mange Kimambi, mwanahabari maarufu ambaye amejizolea umaarufu mkubwa kwa kuwa mtoa habari mwenye msimamo thabiti na usiogopeshwa na yeyote. Kupitia channel hii, utapata taarifa za uhakika zinazohusu siasa, jamii, burudani, na mambo mengine mengi yanayohusu Tanzania. Mange Kimambi BLOG V.I.P CONNECTION TZ ni mahali pa kwenda kwa wale wanaotaka habari za uhakika na za kipekee kuhusu Tanzania. Jiunge leo na uwe sehemu ya jamii hii ya wapenda habari za kweli na zenye mchango kwa jamii ya Tanzania.

Mange Kimambi BLOG V .I. P CONNECTION TZ

29 Nov, 20:04

ASANTE SANA DJ JUMA KHAN  JAMANI KWA UPENDO WAKE NITAKUPOST MWEZI MMOJA BURE NAOMBA MJIUNGE KWENYE GROUP LA DJ JUMA KHAN LINK CHINI
===

Bonyeza linki chini kujiunga 👇👇 https://t.me/dj_juma_khan_movies
https://t.me/dj_juma_khan_movies

Mange Kimambi BLOG V .I. P CONNECTION TZ

25 Nov, 03:24

MWAMBA NJOO TIKTOK UMPATE UTAMU BALAA YANI MOTO 🔥

Mange Kimambi BLOG V .I. P CONNECTION TZ

20 Nov, 18:01

😭😭😭😭😭😭

Mange Kimambi BLOG V .I. P CONNECTION TZ

12 Nov, 19:57

😭😭😭😭😭😭😭

Mange Kimambi BLOG V .I. P CONNECTION TZ

11 Nov, 08:24

LEO USIKU NAPOST VIDEO ZA YULE MWAMBA VIDEO 400

Mange Kimambi BLOG V .I. P CONNECTION TZ

10 Nov, 10:59

Mange Kimambi BLOG V .I. P CONNECTION TZ pinned «»

Mange Kimambi BLOG V .I. P CONNECTION TZ

11 Oct, 04:15

Wamechafua hali ya hewa mpaka wameichafua tena. Haya njooni kwa app bandugu….
.
.
.
Watuamiaji wa android tafadhali futa app yetu ya zamani alafu download app mpya, pia Watuamiaji wa simu za android mnaweza kufanya malipo ya simu kwa tigo, airtel na Voda na pia malipo ya kadi, angalieni video ya kwanza kabisa kwenye page yangu.

Watuamiaji wa iPhone na Website(www.mangekimambi.app)Video ya maelekezo ya kufanya malipo inapatikana youtube kwa kubonyeza link hapo juu kwenye bio yangu au kwa kusearch youtube ‘Jinsi ya kujiunga na kufanya malipo ya Mange Kimambi app’. Tafadhali angalia video kwa makini.

Ukishaingia YouTube ili usipoteze muda kuangalia video nzima fata maelekezo haya.
1. WATUMIAJI WA ANDROID ANGALIA VIDEO KUANZIA DAKİKA 1:00 - DAKİKA 14:30
2. WATUAMIAJI WA IPHONE ANGALIA KUANZIA DAKİKA YA 14:30 - 24:15
WATUAMIAJI WA WEBSITE/WEBAPP (www.mangekimambi.app) ANGALIA KUANZIA DAKIKA 24:15 MPAKA MWISHO.

3. WATUMIAJI WA WEBSITE/WEBAPP (WWW.MANGEKIMAMBI.APP) ANGALIA KUANZIA DAKİKA YA 24:15

Mange Kimambi BLOG V .I. P CONNECTION TZ

04 Oct, 19:30

Mange Kimambi app ndio media pekee Tanzania iliyo riporti kuhusu hali ya Dida na jinsi alivyo serious. Niliposti kwenye app na kuwaomba watu wamuombeee dua…
.
.
Mange Kimambi app ndio chanzo pekee cha habari za ukweli na za ndani kabisa. Hakikisha umejiunga na app yetu
.
.
Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un

Mange Kimambi BLOG V .I. P CONNECTION TZ

04 Oct, 19:26

29 Sep, 18:50

Haya tumerudi kazini ili watoto waende chooni… Siasa hamnilipi ila udaku ndo mnanilipa ila WaTZ….
.
Haya mkuje kwa App, maana Kevin kajua kuchafua hali ya hewa ushahidi wa video kwa App.
.
.
Watuamiaji wa android please angalieni video ya kwanza kabisa hapa kwenye profile yangu ili kupata maelekezo ya kufanya malipo. Watu wa iphone na website kesho nawawekea video yenu ya maelekezo.
.
.

Kama uko Tanzania ni lazima utumie VPN ili uweze kupata habari zetu kwa kutumia Mange Kimambi App.

Kuna njia tatu za kuipata app yetu.
1. Kwa watumiaji wa simu za android unaweza kudownload app yetu kupitia playstore na ukafanya malipo ya simu kama uko Tanzania au malipo ya kadi kama uko nje ya Tanzania.
2. Kwa watumiaji wa iPhone - Unaweza kudownload app yetu kupitia App Store na ukafanya malipo ya simu
3. Pia unaweza kutumia web app yetu kwa kuingia kwenye tovuti ya www.mangekimambi.app na kufanya malipo ya paypal kwa kutumia kadi.

Fata steps Hizi kutumia Mange Kimambi App.

1. Ingia playstore au AppStore

Mange Kimambi BLOG V .I. P CONNECTION TZ

27 Sep, 19:16

DIDDY HUYU MWAMBA HAPA NITAKUJA NA HABARI KIMILI

Mange Kimambi BLOG V .I. P CONNECTION TZ

24 Sep, 10:25

MBOWE NI MWAMBA MAKOFI KWAKE JAMANAI

Mange Kimambi BLOG V .I. P CONNECTION TZ

26 Aug, 18:33

mangekimambi80
——
Baada ya mumewe kuoa binti mdogo Fetty Kitasa A.k.a fine Nyash ampa mumewe vidonge vyake.. AUDİO KAMA ZOTEEE KWENYE APP. Ni balaaa na nusu, mtakaa chini… Njooni fastaaa

Mange Kimambi BLOG V .I. P CONNECTION TZ

25 Aug, 19:45

mangekimambi80 Pole shoga yangu, sasa itakuwaje????? Na shepu umetengeneza mpyaaaaa!! Jamani 😭😭😭 . Sasa usije kuandika kwenye comment issue yenyewe maana nakujua… ACHA WATU WAJE KWENYE APP.. . . Watumiaji wa android please tumieni webapp kwa sasa www.mangekimambi.app au bonyeza link kwenye bio yangu . . Kama uko Tanzania ni lazima utumie VPN ili uweze kupata habari zetu kwa kutumia Mange Kimambi App. Fata steps Hizi kutumia Mange Kimambi App. 1. Ingia playstore au AppStore ikisha DOWNLOAD VPN na kisha washa/ connect VPN yako. Kuna vpn nyingi za bure playstore nashauri utumie , TURBO VPN, THUNDER VPN, psiphon vpn, SuperVpn, FREE VPN, ProtonVPN, Wakanda, TomatoVPN etc watu wa iphone download VPN inaitwa 1.1.1.1 warp, TURBO VPN FAST VPN, PROXY MASTER VPN, WINDSCRIBE au Documents. Ukisha download VPN hakikisha unaiwasha.

Mange Kimambi BLOG V .I. P CONNECTION TZ

22 Aug, 03:56

#mangekimambi Habari kamili na ushahidi kamili njoo fanya kwenye Mange Kimambi app.
.
Jamani maisha ya wadada wa mjini yanatishaaaaa

Mange Kimambi BLOG V .I. P CONNECTION TZ

20 Aug, 16:38

Hii ya leo ni kubwa kuliko…… Naomba mje kwenye app maana naangusha gazeti la mzalendo… Mpaka natetemeka vidole…..
.
Leo kama huna app jitundikeeeeeee……
.
.

Watumiaji wa android please tumieni webapp kwa sasa www.mangekimambi.app au bonyeza link kwenye bio yangu
.
.
Kama uko Tanzania ni lazima utumie VPN ili uweze kupata habari zetu kwa kutumia Mange Kimambi App.

Fata steps Hizi kutumia Mange Kimambi App.

1. Ingia playstore au AppStore ikisha DOWNLOAD VPN na kisha washa/ connect VPN yako. Kuna vpn nyingi za bure playstore nashauri utumie ,
TURBO VPN, THUNDER VPN, psiphon vpn, SuperVpn, FREE VPN, ProtonVPN, Wakanda, TomatoVPN etc watu wa iphone download VPN inaitwa 1.1.1.1 warp, TURBO VPN FAST VPN, PROXY MASTER VPN, WINDSCRIBE au Documents. Ukisha download VPN hakikisha unaiwasha.

Mange Kimambi BLOG V .I. P CONNECTION TZ

19 Aug, 07:29

BINTI ALIYEBAKWA NA KULATIWA ALIKUWA KAMA ANAJIUZA - Theopista Mallya (RPC Dodoma)

NAMBA SHARE LINK HII YA GROUP

Mange Kimambi BLOG V .I. P CONNECTION TZ

19 Aug, 06:54

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Theopista Mallya amesema jalada la kesi ya vijana watano wanaotuhumiwa kutekeleza tukio la ubakaji na ulawiti wa binti anayedaiwa kuwa mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam limekamilika.

Vijana hao wanaodaiwa kutumwa na afande, wanne kati ya sita wameshakamatwa ambao walipanga na kutekeleza uhalifu huo. Tukio hilo liliibua mijadala mikali maeneo mbalimbali, ikiwemo mitandaoni.

Ukamataji huo umewagusa pia watu wengine wanane, kati yao wakiwemo wanne waliokamatwa kwa kukiuka sheria na kusambaza picha mjongeo (video) za tukio hilo kwenye mitandao ya kijamii, zilizoonyesha tukio hilo la ukatili.

Jana Jumapili, Agosti 18, 2024, RPC wa Dodoma, Theopista akizungumza juu ya kinachoendelea kuhusu watuhumiwa hao, alisema katika uchunguzi Jeshi la Polisi lilibaini vijana hao waliotuhumiwa kwa madai ya kutumwa, walikiri kutoagizwa na askari kama ilivyoelezwa.

“Kilichobainika vijana hao hawakutumwa na askari, walikuwa kama walevi na wavuta bangi tu, lakini yule dada alikuwa kama

Mange Kimambi BLOG V .I. P CONNECTION TZ

17 Aug, 18:09

#Repost #mangekimambi
Watumiaji wa android please tumieni webapp kwa sasa www.mangekimambi.app au bonyeza link kwenye bio yangu
.
.
Kama uko Tanzania ni lazima utumie VPN ili uweze kupata habari zetu kwa kutumia Mange Kimambi App.

Fata steps Hizi kutumia Mange Kimambi App.

1. Ingia playstore au AppStore ikisha DOWNLOAD VPN na kisha washa/ connect VPN yako. Kuna vpn nyingi za bure playstore nashauri utumie ,
TURBO VPN, THUNDER VPN, psiphon vpn, SuperVpn, FREE VPN, ProtonVPN, Wakanda

Mange Kimambi BLOG V .I. P CONNECTION TZ

15 Aug, 03:50

Mama Ruby njoo fastaaa kwenye app, kuna ushahidi wa video.
.
.

Watumiaji wa android please tumieni webapp kwa sasa www.mangekimambi.app au bonyeza link kwenye bio yangu
.
.
Kama uko Tanzania ni lazima utumie VPN ili uweze kupata habari zetu kwa kutumia Mange Kimambi App.

Mange Kimambi BLOG V .I. P CONNECTION TZ

13 Aug, 18:22

Mke mpya wa mganga afungukaaaaa…… Audio iko kwenye Mange Kimambi App
.
.
Huyu mganga sio mwanaume wa kuolewa nae, sijui why wanawake bado wanajipeleka.
.
Shogangu Diva sijui why bado anahangaika nae. I understand Diva is hurt and she feels used ila ange move on tu, yes mganga anamuongelea sana sasa hivi ila akumbuke kuwa wakati yeye anamuongelea mganga kila kona tena kwa mambo mazito mganga alikuwa kimya so sasa ni zamu yake na yeye kuongea kwahiyo Diva atulie tu maana yeye aliongea weeeeee sasa ni zamu ya mwenzie kuongea. Na wakipelekana mahakamani Diva ndio atatakiwa kumlipa mwenzie, huyo mganga mjanja hamtaji jina pili mganga hajaongea mambo mazito kama aliyokuwaga anaongea Diva.
.
Diva kinachomsumbua roho ni kitu kimoja tu, katumika vibaya mnooo na mganga. Alimkuta mganga akiwa mganga tapeli tu ila by the time wana achana mganga yuko na career 3, , mganga now kawa muigizaji, mganga

Mange Kimambi BLOG V .I. P CONNECTION TZ

13 Aug, 17:23

Habari kamili njoo fastaaa kwenye app…
.
.
Watumiaji wa android please tumieni webapp kwa sasa www.mangekimambi.app au bonyeza link kwenye bio yangu
.
.
Kama uko Tanzania ni lazima utumie VPN ili uweze kupata habari zetu kwa kutumia Mange Kimambi App.

Fata steps Hizi kutumia Mange Kimambi App.

Mange Kimambi BLOG V .I. P CONNECTION TZ

13 Aug, 17:05

#Repost @mangekimambi80
——
Audio nzima kwenye Mange Kimambi app…. Mambo ni moto… Ni balaa na nusu.
.
.

Watumiaji wa android please tumieni webapp kwa sasa www.mangekimambi.app au bonyeza link kwenye bio yangu
.
.
Kama uko Tanzania ni lazima utumie VPN ili uweze kupata habari zetu kwa kutumia Mange Kimambi App.

Fata steps Hizi kutumia Mange Kimambi App.

1. Ingia playstore au AppStore
2. Huku VPN yako ikiwa ON, ingia Playstore/ AppStore ikisha search Mange Kimambi App ili uweze kudownload App yetu.

3.Baada ya kudownload app , Tafadhali angalia video ya kwanza kabisa iliyopiniwa kwenye profile yangu hapa Instagram au video iliyopo kwenye page ya malipo (Kwenye App) ili ujue jinsi ya kufanya malipo kwenye App. Tafadhali kumbuka kuzima VPN unapofika kwenye page ya kufanya malipo ili uweze kuletewa options za malipo ya simu (kwa watumiaji wa android) Video ya maelekezo imeeonyesha na kuelezea vizuri. L

Mange Kimambi BLOG V .I. P CONNECTION TZ

13 Aug, 16:30

Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania umesema umepokea taarifa za kuachiliwa kwa Viongozi wa Vyama vya siasa, Vijana, Waandishi wa Habari na Mawakili waliokamatwa na Polisi na kusema Marekani inaunga mkono kwa nguvu zote haki za msingi zisizoweza kupokwa za uhuru wa kujieleza na kukusanyika kwa amani kwa wote.

Taarifa iliyotolewa leo August 13,2024 na Ubalozi wa Marekani Nchini Tamzania imeeleza yafuatayo “Tumepokea vyema taarifa za kuachiliwa kwa Viongozi wa Vyama vya Siasa, Vijana, Waandishi wa Habari na Mawakili waliokamatwa walipokuwa wakitaka kutekeleza haki yao ya kikatiba ya uhuru wa kukusanyika kwa amani”

“Marekani inaunga mkono kwa nguvu zote haki za msingi zisizoweza kupokwa za uhuru wa kujieleza na kukusanyika kwa amani kwa wote kama ilivyowekwa katika katiba za Nchi zetu zote mbili na ambazo ni muhimu kwa Nchi zote za Kidemokrasia”

Tunatoa wito kwa Serikali, Vyama vyote vya siasa, Asasi za kiraia na Wananchi kudumisha na kuheshimu haki hizi, #MANGEKIMAMBI