ABRAHAMIC RELIGION!
Kama unawaza aagh mda Bado acha tuendelee kula bata kidogo then badae badae tutamrudia MUNGU! Uko nje ya time!
Mpaka sasa wewe umelala usingizi mzito sana na SYSTEM inakupeleka inavyotaka! Inshort unatembea mule mule kwenye MSTARI WA MATRIX!
Kipindi umeletewa intertainment kibao, mipira, betting, music na kumbi za starehe na mambo mengine ya ajabu ajabu kukukeep.busy, huko wanaendelea kupanga mipango na kuitekeleza kukuangamiza!
Tayari mpaka sasa Kuna utaratibu wa kufanya Dunia nzima iwe chini ya System moja, kuanzia Kidini, kiserikali, kiuchumi na maisha yote Kwa ujumla! (NEW WORLD ODER)
Na kama mambo mengine yanavyofanyiwa kazi, Msingi wa SYSTEM YA KISHETANI ni kupitia DINI anatumia Dini kupitisha Mafundisho yake na system zake za kishetani!
Na Sasa anazitumia zile dini alizozianzisha kuzileta pamoja kutengeneza DINI MOJA ITAKAYOUNGANISHA WATU KUABUDU SIKU MOJA!
Mpaka sasa hilo zoezi limeanza na kimetengenezwa kitu kinaitwa ABRAHAMIC RELIGION! inaunganisha UISLAM, UKRISTO NA JUDAISM. Makao makuu ya hii dini yako ABU DHABI yanaitwa ABRAHAMIC FAMILY HOUSE!
Viongozi wa Dini zote walikutana na kusign documents za kukubali kuunganisha na kuanzisha hii DINI, Akiwepo kiongozi wa Wakristo PAPA, na viongozi wa Dini zingine ISLAM n.k!
ABRAHAMIC FAMILY HOUSE ilianza kutumika 1 MARCH 2023, mpaka Sasa watu wanaenda hapo kufanya ibada. Lengo lao ukiwaskiliza wanajifichia kwenye swala la kuifanya Dunia kuwa sehem salama, kuleta amani na kujali umoja lakini behind the scenes ni agenda ya kuwa chini ya utawala wa kishetani!
Unaeza sema mimi nko huku haitaniaffect chochote lakin muda unakuja utafata Kila watakachosema wao, na kila sheria itakayowekwa either Kwa hiari au kwa lazima!