Latest Posts from دار القرآن والحديث تنزانيا-دارالسلام-كيغانبوني (@darulhadeeth_songani_daresalaam) on Telegram

دار القرآن والحديث تنزانيا-دارالسلام-كيغانبوني Telegram Posts

دار القرآن والحديث تنزانيا-دارالسلام-كيغانبوني
🔊DURUUS دروس
🔊FAWAAID فوائد
🔊MIHAADHARA محاضرات
🔊KHUTBAH خطب
📝NAKALA ZA KIELIMU مقالات علمية

[NA MENGINE MENGI KUIHUSU MARKAZ DAR UL ALQUR-AN WAL HADITH ILIYO CHINI YA USIMAMIZI NA ULEZI WA AL 'ALLĀMAH AL MUHADDITH SHEIKH SALIIM BIN I'ID AL HILAALIY ALL
2,090 Subscribers
161 Photos
341 Videos
Last Updated 09.03.2025 12:12

The latest content shared by دار القرآن والحديث تنزانيا-دارالسلام-كيغانبوني on Telegram

دار القرآن والحديث تنزانيا-دارالسلام-كيغانبوني

27 Feb, 05:29

283

╔════ ❀◦✿◦❀ ════╗
🌿 *إعلان ترحيبي* 🌿
╚════ ❀◦✿◦❀ ════╝

بسم الله الرحمن الرحيم

🔹 يسرنا أن نزف إليكم بشرى سعيدة بقدوم ضيف كريم إلى ربوع تنزانيا، وهو فضيلة *الشيخ أبو زبير إبراهيم الحديدي حفظه الله تعالى.*

📍 حيث وصل يوم أمس الموافق:
📅 *27 شعبان 1446 هـ*
📅 *26 فبراير 2025 م*

🌟 *نبذة عن الضيف الكريم:*
الإمام والمدرس في مركز دار الحديث السلفية في الحامي، تحت إشراف فضيلة *الشيخ أبو بلال الحضرمي حفظه الله.*

🕌 📢 *جدول المحاضرات:*
📖 محاضرة اليوم بعد الظهر في *دار القرآن والحديث للعلوم الشرعية كيغامبوني تنزانيا دار السلام،.* في مركز فضيلة الشيخ المحدث د.سليم بن عيد الهلالي حفظه الله

📌 🔹 *بشرى سارة* 🔹
يسرنا أن نعلن أن فضيلة الشيخ *أبو زبير إبراهيم الحديدي حفظه الله* سيكون معنا طوال شهر رمضان المبارك 🌙 مدرسًا ومعلمًا ومرشدًا لإخوانه التنزانيين، حيث سيشارك في البرامج الدعوية والدروس العلمية والأنشطة التربوية طيلة هذا الشهر الفضيل.

📌 *زيارات مرتقبة:*
سيتم ترتيب زيارات لمختلف مراكز أهل السنة والجماعة في تنزانيا، وسنوافيكم بالتفاصيل قريبًا بإذن الله.

💫 *دعاؤنا:*
نسأل الله أن يجعل هذه الزيارة مباركة، وأن ينفع بها الإسلام والمسلمين، وأن يوفق شيخنا الفاضل في جهوده الدعوية، ويبارك في علمه وعمله.

🔹 للاستفسار:
📞 [+255 717 200 020]

🔸 مع تحيات *دار القرآن والحديث للعلوم الشرعية كيغامبوني تنزانيا دار السلام*🔸

╔════ ❀◦✿◦❀ ════╗
🌿 *أهلاً وسهلاً بالشيخ أبي زبير* 🌿
╚════ ❀◦✿◦❀ ════╝

📢 لا تنسوا نشر هذا الإعلان، فالدال على الخير كفاعله!
⌌⊱⇱⊶⊷⊶⊷⊷⊷⊷⊷⊶⊷⊶⊷⊰⌍
🪐 *WHATSAPP* 🪐
https://chat.whatsapp.com/BXYvdixg2pdDlKTafGyB3R
https://chat.whatsapp.com/C46gV4nIxOm6GB3qXLJ779
🪐 *TELEGRAM* 🪐
https://t.me/darulhadeeth_songani_daresalaam
دار القرآن والحديث تنزانيا-دارالسلام-كيغانبوني

22 Feb, 03:12

367

🔸🔹🔸
🔹🔹
🔸
محاضرة نفيسة بعنوان:

🔊العقود الدرية في معالم الدعوة السلفية🔊

🎙️لفضيلة الشيخ العلامة المحدث
سليم بن عيد الهلالي
حفظه الله ورعاه

📍في مدينة رسول الله ﷺ طيبة الطيبة.
🗓 عصر يوم الجمعة 22 / شعبان / 1446 هجرية
الموافق 21/02/2025 نصرانية

🕙 المدة الزمنية: 58:39

    ⌎⊱⊶⊷⊶⊷⊶⊷⊷⊷⊶⊷⊶⇲⊰
دار القرآن والحديث تنزانيا-دارالسلام-كيغانبوني

21 Feb, 04:45

345

هذا موقع المحاضرة
لمن كان بمدينة رسول الله صلى الله عليه وسلم

لفضيلة شيخنا العلامة الدكتور :
سليم بن عيد الهلالي حفظه الله تعالى
دار القرآن والحديث تنزانيا-دارالسلام-كيغانبوني

21 Feb, 04:45

333

‎Location: https://maps.google.com/?q=24.467592,39.634457
دار القرآن والحديث تنزانيا-دارالسلام-كيغانبوني

20 Feb, 10:17

142

https://t.me/Masjid_Ali_Ibn_Abi_Talib

https://chat.whatsapp.com/F77QBMNGnjd68vYgSAbjM7
دار القرآن والحديث تنزانيا-دارالسلام-كيغانبوني

18 Feb, 20:46

189




🌴Salamah Ibn Dinar
Allah amrehemu
Amesema:


❝ Mambo mawili mukiyajua mutayapata maisha ya duniani na ya Akhera.❞

⁉️ Ikaulizwa: Je! Ni mambo yapi hayo?

Akasema:

❝ Munastahamili munayoyachukia ikiwa Allāh anayapenda, na munaacha yale munayoyapenda ikiwa Allāh anayachukia.❞

📚 [Siyar A'lam al-Nubala 6/98]


Al-Imam al-Albani
Allāh amrehemu
Amesema:


❝ Wanaolingania manhaj ni wengi, na walio imara juu yake ni wachache mno.❞

📒 [Al-‘Aqidah Awwalan 1/17]

⌌⊱⇱⊶⊷⊶⊷⊷⊷⊷⊷⊶⊷⊶⊷⊰⌍

🪐 WHATSAPP 🪐

https://chat.whatsapp.com/BXYvdixg2pdDlKTafGyB3R

https://chat.whatsapp.com/C46gV4nIxOm6GB3qXLJ779


🪐 TELEGRAM 🪐

https://t.me/darulhadeeth_songani_daresalaam
دار القرآن والحديث تنزانيا-دارالسلام-كيغانبوني

17 Feb, 20:17

197

اl| بِسْـﻣِـ اللَّهِ الرَّحْمَنِ الرَّحَيِـﻣِـ |lا

▪️⁩‌▫️⁩‌▪️
▫️⁩‌▪️
▪️

🌴 Al' Allāmah Sheikh Uthaymin,
Allāh Amrehemu:


Wanafiki katika wakati wetu, wanapowaona watu wema, watu wa dawah (walinganiaji wa Uislamu), na watu wanaoamrisha mema na kukataza maovu.
➤ Wanasema:

"Hawa ni watu wakali!"

"Hawa ni watu wenye misimamo mikali!"

"Hawa ni watu wa kimsingi (kung'ang'ania sheria za awali )!"

"Hawa ni watu walio nyuma!"

Na kauli zingine zinazofanana.
Yote haya yamerithiwa kutoka kwa wanafiki (munafiqeen) tangu zama za Mtume ﷺ hadi leo.

Usiseme kwamba hakuna wanafiki miongoni mwetu (nyakati hizi)!
(Bila shaka) kuna wanafiki miongoni mwetu!

════❁(🔘)❁════

🎙 KWA FAIDA ZAIDI JIUNGE;

🪐 WHATSAPP 🪐

https://chat.whatsapp.com/F77QBMNGnjd68vYgSAbjM7

🪐 TELEGRAM 🪐

https://t.me/Masjid_Ali_Ibn_Abi_Talib
دار القرآن والحديث تنزانيا-دارالسلام-كيغانبوني

14 Feb, 17:12

299

اl| بِسْـﻣِـ اللَّهِ الرَّحْمَنِ الرَّحَيِـﻣِـ |lا

🌴🌴🌴
▪️⁩‌▫️⁩‌▪️
▫️⁩‌▪️
▪️

  📢 هذه دعوتنا وعقيدتنا 📢



    🕌 MASJID 🕌
ALI IBN ABI TALIB,
          TEMEKE ,

       🌆 DAR ES SALAAM . 🏙


🎙 KHUTBAH KWA UNWAAN.

🏷
➤ MWEZI WA SHA'BAN UNAONDOKA, JE UPO TAYARI KUUPOKEA MWEZI WA RAMADHAN ⁉️ ...... TUBIA MJA WA ALLĀH ﷻ •
 
                 
🗯 TUNAKUNASIHINI KUISKIZA NA KUITAWANYA


🎤 KHATWIB :

🎙 USTADH ABU NAFI'I JĀBIR.
{ حفظه الله تعالى ورعاه }


🗓 IMETAWANYWA :
15 SHA'BAN, 1446H/ 14 FEBRUARY 2025M

🕰 21:56 🕰

┈┈•••❀◈📮◈❀•••┈┈

🎙 KWA FAIDA ZAIDI JIUNGE;

🪐 WHATSAPP 🪐

https://chat.whatsapp.com/F77QBMNGnjd68vYgSAbjM7

🪐 TELEGRAM 🪐

https://t.me/Masjid_Ali_Ibn_Abi_Talib
دار القرآن والحديث تنزانيا-دارالسلام-كيغانبوني

14 Feb, 17:12

183

اl| بِسْـﻣِـ اللَّهِ الرَّحْمَنِ الرَّحَيِـﻣِـ |lا


🌹🌹🌹
▪️⁩‌▫️⁩‌▪️
▫️⁩‌▪️
▪️

YANAYOWAHUSU WANANDOA.

No;2⃣

Haki za Jimai: Je, ni ipi Ulazima wa Idadi ya Marudio?


🌴Sheikh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Allāh Amrehemu) aliulizwa:

📥 Swali:

Je, mwanamume akiacha kufanya ngono na mkewe kwa muda wa mwezi mmoja au miwili, je kuna dhambi juu yake? Na je mume anatakiwa kutimiza wajibu huu?

📬 Akajibu:


«يجب على الرجل أن يطأ زوجته بالمعروف، وهو من أوكد حقها عليه، أعظم من إطعامها، والوطء الواجب، قيل: إنه واجب في كل أربعة أشهر مرة، وقيل: بقدَر حاجتها وقُدْرته، كما يطعمها بقدَر حاجتها وقُدْرته، وهذا أصح القولين»

❝ Ni wajibu juu ya Mwanamume afanye tendo la ndoa na mke wake kama ilivyo kawaida kwa watu, kwani hii ni moja ya haki zake muhimu juu yake mwanamume, na ni muhimu zaidi kuliko kumpa mkewe chakula. Uwajibu wa tendo la ndoa inasemekana (kwa baadhi) kutakiwa kufanya mara moja kila baada ya miezi minne, na wengine wanasema inapaswa kuwa kulingana na haja yake mwanamke na uwezo wa mwanamume (yaani kulingana na hamu ya mke na uwezo wa mume kiutendaji katika tendo), kama vile yeye humpa chakula (mkewe) kulingana na haja yake na uwezo wake (mume katika kumlisha huyo mkewe). Hii ndiyo maoni sahihi zaidi { Ikimaanisha haja hazilingani ila la muhimu ni kumridhisha mwenzio kimapenzi katika tendo la ndoa}.❞

📘[Majmu’ Al-Fatawā (32/271)]

●▬▬▬▬๑۩۩๑▬▬▬▬▬●

🎙 KWA FAIDA ZAIDI JIUNGE;

🪐 WHATSAPP 🪐

https://chat.whatsapp.com/F77QBMNGnjd68vYgSAbjM7

🪐 TELEGRAM 🪐

https://t.me/Masjid_Ali_Ibn_Abi_Talib
دار القرآن والحديث تنزانيا-دارالسلام-كيغانبوني

14 Feb, 17:12

178

اl| بِسْـﻣِـ اللَّهِ الرَّحْمَنِ الرَّحَيِـﻣِـ |lا

▪️⁩‌▫️⁩‌▪️
▫️⁩‌▪️
▪️

No: 1⃣

YANAYOWAHUSU WANANDOA.


🌴Ibn Qudamah – Allāh amrehemu – amesema katika Al-Umda:

➤Ndoa ni miongoni mwa Sunnah za Mitume, na (tendo la ndoa) ni bora zaidi kuliko kuiwacha kwa ajili ya ibada za sunnah..... (akimaanisha tendo la ndoa ni bora kuliko ibada za sunnah)....... Mwisho Wa Kunukuu.

📚Kitabu cha Ndoa:

Kujishughulisha na ndoa yaani jimaa au tendo la ndoa ni bora zaidi kuliko ibada ya Sunnah, kwa mujibu wa Abu Hanifa, Allāh amuwiye radhi, na ni rai ya Maswahaba na Wafuasi wengi wa mtume ﷺ, Allāh awarehemu.

Kwa hivyo inabidi suala hili la jimaa linafaa kutiliwa mkazo sana na wanandoa, na kila mmoja kujali hisia za mwenzake, na kuwa makini kwa mmoja kati yao kutokuwa mbinafsi kuhusiana na hilo tendo, kwa uhalisia Mwanamume inabidi awe muangalifu na ajitahidi kupalilia kwa umakini, bila shaka huko kutaleta mahaba na maelewano baina ya mume na mke.

Mwanamume anaweza kustarehe na mkewe, kama Allāh ﷻ alivyosema:

{ نِسَاۤؤُكُمۡ حَرۡثࣱ لَّكُمۡ فَأۡتُوا۟ حَرۡثَكُمۡ أَنَّىٰ شِئۡتُمۡ}

📜 ❝ Wake zenu ni mahali pa kulimwa [yaani, kupanda mbegu] kwenu, basi karibieni mahali penu pa kilimo mnavyotaka.❞ [Surah Al-Baqarah: 223]

Vile vile Mtume ﷺ amesema:

((اصنعوا كل شيء إلا النكاح))

❝ Fanya kila kitu isipokuwa jimaa.❞ (wakati wa hedhi)

Kwa kuzingatia hilo wanachuoni walisema kuwa ni sawa kwa mwanamume kumstarehesha mke wake kwa kumpapasa...kujifurahisha kwa mapaja yake, mgongo wake, kifua chake n.k maadamu anakwepa njia ya haja kubwa na hedhi...Mbali na hayo ilimruhusu kwa mujibu wa sharia kujistarehesha na mkewe, lakini ni muhimu kujiepusha na sehemu za uchafu (nyuma na hedhi). Inajuzu [kumpapasa] hata kama itapelekea kumwaga kwa mwanamume, na ikitokea kumwaga kwa yeyote kati ya wawili basi itabidi aliyemwaga aoge janaba.
Inaendelea......


════❁(🔘)❁════

🎙 KWA FAIDA ZAIDI JIUNGE;

🪐 WHATSAPP 🪐

https://chat.whatsapp.com/F77QBMNGnjd68vYgSAbjM7

🪐 TELEGRAM 🪐

https://t.me/Masjid_Ali_Ibn_Abi_Talib