Swahili News

@habaritz


🐾

Swahili News

22 Oct, 19:31


Azam Sports

“...tumecheza mechi 16, tumeshinda 15, tumetoka na clean sheet 12”

Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi anasema muhimu kwao ni alama tatu walizopata, aeleza kilichowanyima magoli zaidi kipindi cha pili akisema “waliamua kukaa na mpira wakikabia chini, na sisi tukawaacha...”

Naye Kocha wa JKT Tanzania, Ahmad Ally anachambua kiufundi alichokifanya kipindi cha pili baada ya timu yake kuwa pungufu,, azikumbuka nafasi mbili walizopata akisema “...tungekuwa na utulivu tungepata goli... sasa hivi matokeo yangekuwa 2-2”

Kocha Ahmad azungumzia pia kadi nyekundu waliyoipata akisema “..tunalibeba sote”.

Nyota wa mchezo huu ni kiungo wa Yanga, Pacome Zouzoua ambaye amekabidhiwa tuzo yake...

FT: Yanga 2-0 JKT Tanzania.

Je, una lipi?

@alikamwe

Swahili News

22 Oct, 19:31


Azam Sports

“...tunaamini mwaka huu ubingwa ni wetu”

Wasemavyo mashabiki wa Simba mkoani Mbeya baada ya ushindi huku msemaji wa klabu, Ahmed Ally akisema “...tumetibu maradhi mengi”, na kutaja maradhi waliyotibu kwa ushindi huo.

Mashabiki wa Tanzania Prisons nao wamesema neno wakieleza kuyapokea matokeo na kuahidi kufanya vizuri mechi zijazo...

FT: TZ Prisons 0-1 Simba SC

Swahili News

22 Oct, 19:31


Azam Sports

TABORA UNITED vs PAMBA JIJI | Wote wawili wametoka kuachana na makocha wao walioanzanao msimu.....

Kesho wanakutana kwenye Dimba la Ally Hassan Mwinyi, Tabora. Je, wamejiandaaje...

Hiki ndicho pande zote mbili zimezungumza...

Mechi itakuwa saa 10:00 jioni LIVE

Swahili News

22 Oct, 19:30


Azam Sports

KUFUZU CHAN | “...nimetaka zaidi mdomo wa Aishi kuliko mkono wake”

Kocha wa Taifa Stars ya CHAN, Bakari Shime ameeleza sababu za kumchagua na kumpa jukumu la unahodha wa kikosi hicho, golikipa Aishi Manula...

Naye Afisa Habari wa TFF, Cliford Ndimbo ameeleza kuhusu ratiba kamili ya kikosi hicho kuelekea mchezo wao dhidi ya Sudan.

Swahili News

22 Oct, 19:30


Azam Sports

Pointi tatu muhimu kwa akina Ronaldo....!!!

FT: Esteghlal 0-1 Al Nassr

LIVE

Swahili News

22 Oct, 18:34


Kwa Undani

Swahili News

22 Oct, 18:08


Azam Sports

Cha pili....... Clatous Chama na free-kick ya viwango...!!!

47’: Yanga 2-0 JKT Tanzania.

LIVE

Swahili News

22 Oct, 18:08


Azam Sports

MSIMAMO: Yanga bado pointi mbili tu.....!!!

Swahili News

22 Oct, 18:08


Azam Sports

Mbili-kavu....!!!

FT: Yanga 2-0 JKT Tanzania.

Je, una lipi?

Swahili News

22 Oct, 18:08


Azam Sports

85’ |

Yanga 2-0 JKT Tanzania

LIVE

Swahili News

22 Oct, 18:08


Azam Sports

75’ |

Esteghlal 0-0 Al Nassr

LIVE

Swahili News

22 Oct, 18:08


Azam Sports

65’ |

Yanga 2-0 JKT Tanzania

LIVE

Swahili News

22 Oct, 17:04


Jioni

Swahili News

22 Oct, 16:51


Duniani Leo

Swahili News

22 Oct, 16:41


Azam Sports

RAIS SAMIA ALIPIA GHARAMA WAWAKILISHI WA TANZANIA KWENYE FIM AFRICA MOTOCROSS

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa tiketi za ndege kwenda na Kurudi nchini Morocco kwa washindi watatu wa mashindano ya Pikipiki ya Samia Motocross Championship WANAOKWENDA kushiriki mashindano ya FIM Africa Motocross of African Nations yanayofanyika Oktoba 25- 27, 2024 nchini Morocco.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametoa kauli hiyo mapema leo Oktoba 22, 2024 wakati akiwaaga washiriki wa mashindano hayo, walioondoka leo jioni.

Washiriki hao ni wachezaji Kelvin Akyoo, Simon Mangombo pamoja na Colins Simonson ambapo wameambatana na kiongozi wao mmoja.

Mwandishi Wetu

Swahili News

22 Oct, 16:41


Azam Sports

Kocha wa Tanzania Prisons, Mbwana Makata alia na makosa ya golikipa wake huku kocha wa Simba Fadlu Davids akisema ubora wa golikipa wa Tanzania Prisons umewanyima magoli zaidi.

FT: TZ Prisons 0-1 Simba SC

Inafuata Yanga vs JKT Tanzania LIVE

Swahili News

22 Oct, 16:40


Azam Sports

Uchambuzi wa vikosi vya timu zote mbili kabla ya mechi.

@godlisten_muro7 amechambua mfumo wa Yanga na @james_samwel31 amekaa na mfumo wa JKT Tanzania.

05’: Yanga 0-0 JKT Tanzania

LIVE

Swahili News

22 Oct, 16:40


Azam Sports

Yanga wametangulia dakika ya 23.....!!

Yanga 1-0 JKT Tanzania

LIVE

Swahili News

22 Oct, 16:40


Azam Sports

35’ |

Esteghlal 0-0 Al Nassr

LIVE

Swahili News

22 Oct, 16:40


Azam Sports

15’ |

Yanga 0-0 JKT Tanzania

LIVE