Elimika🧠(LEARN WITH US)

@utamued


Learn something new every day
Contact @Elimikabongo for businesses

Elimika🧠(LEARN WITH US)

14 Oct, 19:37


COLOGNE CATHEDRAL(Kölner Dom) ni moja ya makanisa makubwa na maarufu zaidi duniani, lililoko Cologne, Ujerumani.


-Ujenzi ulianza Mwaka 1248,Ujenzi ulisimama mwaka 1473 kutokana na ukosefu wa fedha na teknolojia.
- Ujenzi uliendelea tena na ulikamilika rasmi mwaka 1880, zaidi ya miaka 600 baada ya kuanza.

- Vita vya pili vya dunia:Kanisa lilinusurika vibaya mashambulio ya mabomu, lakini lilihitaji marekebisho baada ya vita.

- Urefu wake Kuta zake mbili zina urefu wa mita 157, na kuwa mojawapo ya majengo marefu zaidi ya kanisa duniani.

- Ni kanisa la pili kwa ukubwa Ulaya, lenye eneo la mita za mraba zaidi ya 7,000 na linaweza kuhudumia zaidi ya watu 20,000.

- Mwaka 1996, Cologne Cathedral iliorodheshwa kama Urithi wa Dunia wa UNESCO kutokana na umuhimu wake wa kihistoria na usanifu wake wa pekee.

Kanisa hili lina kengele kubwa zaidi ya kupiga duniani . Kengele ya Peter (St. Peter's Bell) yenye uzito wa zaidi ya tani 24


Imeandikwa na Elimika ✍️

Elimika🧠(LEARN WITH US)

14 Oct, 19:13


Hey,

⚠️I'm looking for 50 people who want to watch korean ongoing drama with English subtitle for free.

If this is you, then...
Join:https://t.me/+b3zSJTeWHiwyMGE0

Elimika🧠(LEARN WITH US)

11 Oct, 10:21


Nchini Norway hakuna ambaye anaweza kuficha siri ya kipato chake kwasababu kila Raia kipato na pesa anayoingiza kwa mwaka huwekwa hadharani mtandaoni na kila Mtu anaweza kupita na kuona, Wafanyakazi wanaweza kuona kiwango cha pesa wanachoingiza Wafanyakazi wenzao na hata jirani yako anaweza kutazama akaona unachoingiza kwa mwaka.

Mwezi wa kumi kila mwaka kiwango cha kodi ambacho Mtu hulipa kwa Mamlaka wa Mapato kuwekwa mtandaoni kikionesha na kipato anachoingiza, Unaambiwa kama utakuwa una maswali kwamba jirani yako ana pesa za kutosha kumiliki Gari kali anayotembelea?, haupati shida unaingia tu online na kupitia mkeka wa hesabu zake.

Kwa sasa ukichungulia jirani yako anatumiwa meseji kuwa ulipita kuchungulia hesabu zake, ila Waandishi wa habari wamepewa uhuru wa kuchungulia bila mwenye taarifa za pesa zake kuambiwa
.

Elimika🧠(LEARN WITH US)

11 Oct, 10:20


*Wiki mbili(siku14)* HALOTEL
Gb7-8000
Gb8-9000
Gb10-10000
*Halotel mwezi*
Gb13-12000
Gb15-14000
Gb20-18,000
Gb22-20,000
Gb25-23,000
Gb30-27000
Gb38-35,000
Gb45-40,000
Gb50-45000
GB60-50,000

NB: HUDUMA NI UHAKIKA 100% MALIPO NI KABLA YA KAZI

Kwa mawasiliano MCHEKI hapa 👇👇👇
https://wa.me/255628314490

Elimika🧠(LEARN WITH US)

05 Oct, 07:56


Asilimia 80% ya wanawake duniani kote matiti yao hayako sawa kwa ukubwa . Kati ya hao asilimia 92% ziwa la kushoto ni kubwa kuliko la kulia

Elimika🧠(LEARN WITH US)

05 Oct, 07:53


Habari, marafiki! Nimeandaa video mpya kwenye YouTube ambayo inazungumzia jinsi ya kuongezeka mwili au kilo kwa kutumia mchanganyiko wa vyakula bora. Katika video hii, nitakuelekeza hatua kwa hatua kuhusu vyakula unavyoweza kula ili kufikia lengo lako la kuongeza uzito kwa njia salama na yenye afya.

Usikose nafasi hii ya kujifunza na kuboresha lishe yako! Tembelea video yangu kupitia kiungo kilichopo hapa chini, uone jinsi ya kufanikisha malengo yako ya uzito kwa njia rahisi na yenye afya.
https://youtu.be/lm2w36VI5eA
https://youtu.be/lm2w36VI5eA

Kumbuka kusubscribe na kubonyeza kengele ili usipitwe na video zangu zijazo. Asante kwa kuangalia, na nitarajie maoni yako!

Elimika🧠(LEARN WITH US)

30 Sep, 17:27


Mwaka 2002 nchi ya Kenya 🇰🇪 iliipa Marekani ng'ombe kumi na nne (14) kama pole kufuatia janga la shambulio la kigaidi kwenye majengo maarufu ya twin tower

Elimika🧠(LEARN WITH US)

29 Sep, 15:21


“Puff nani?” niliuliza.
“Puff Daddy.”
“Puff Daddy?”
“Ndiyo.”
“Ndiye nani huyo?”
“Nitajuaje? Ndivyo nilivyoambiwa na jamaa mmoja.”

Kumbuka Puff Daddy alikuwa mtoto wa gangster mkubwa nchini Marekani, aliogopwa na wengi lakini pia alikuwa na uwezo mkubwa wa kuhakikisha kila anapofanya mauaji ama tukio lolote lile, ilikuwa ni vigumu mno kumtia hatiani.

Sasa bwana labda kama huelewi nini kilitokea baada ya kukamatwa kwake. Hebu tusome kidogo.

Baada ya kukamatwa, akataka kutoa kiasi cha dola milioni 50 kwa ajili ya dhamana, yaani hakutaka kukaa gerezani.
Wakamkatalia.
Hii dhamana ilikuwa ni ya mali. Yaani jumba lake la Miami lenye thamani ya dola milioni 48 na nyumba ya mama yake ambayo nayo ipo Miami.
Alikataliwa.
Hiyo ni according to TMZ.

Pia mbali na hiyo akaomba kama haiwezekani ama haijatosha wamzuie kisafiri, wachukue ndege yake binafsi iliyokuwa imepakiwa huko Los Angeles pia na kuvaa GPS device ili afuatiliwe popote atakapokuwa.
Pia wakakataa.

Wakasema akae selo na baadaye atafikishwa mahakamani na kama atakutwa na hatia, atafungwa gerezani kwa miaka 45.

Sasa hivi ana miaka 54 hivyo akitumikia hiyo atatoka akiwa na miaka 99.

Hii miaka 46 imepatikanaje?

1. Utakatishaji pesa adhabu yake miaka 20.
2. Kusafirisha watu kingono miaka 15.
3. Mengineyo miaka 10.


Twende kimatukio yake na tarehe.

NOVEMBA 17, 2023
Aliyewahi kuwa mpenzi wake, Cassi Ventura alimshtaki kwa kusema aliwahi kumnyanyasa kingono, kumpiga mpaka mahusiano yao yalipotamatika mwaka 2018. Hiyo ilikuwa kabla ya video ile akipigwa kuvuja.

NOVEMBA 23, 2023
Mwanamke aitwaye Joi Dickerson naye akapeleka kesi kwamba aliwahi kunyanyaswa kingono na kupokea kichapo huku akirekodiwa. Hiyo ilitokea mwaka 1991 akiwa na miaka 19.

NOVEMBA 24, 2023
Mwanamke mwingine akajitokeza na kusema aliwahi kunyanyaswa kingono na Diddy, akapigwa yeye na rafiki yake mwaka 1990 ama 1991. Pia wakamfuata kwenye apartment yake na kuendelea kumpiga.

DISEMBA 6, 2023
Diddy akapokea mashtaka mengine kwamba kuna mwanamke amejitokeza na kusema yeye na wanaume wawili wa kundi lake walimbaka mwaka 2003 alipokuwa na miaka 17.

FEBRUARI 26, 2024
Rodney Jones, jamaa aliyemsaidia Diddy kuprodyuzi albamu yake ya mwisho, anadai alileweshwa na kuingiliwa kingono kuanzia Septemba 2022 mpaka Novemba 2023.

MEI 21,2024
Mwanamitindo Crystal McKinney alipeleka kesi na kudai alinyanyaswa kingono na mwanaume huyo katika moja ya maonyesho huko New York. Anasema alinyweshwa pombe na hata kuvutishwa bangi na wanaume huyo akiwa na wenzake. Alipolewa, akachukuliwa na kupelekwa bafuni na Diddy kisha kunlazimisha kunyonya dyudyu yake.

MEI 23,2023
April Lampros mwenye miaka 51 akapeleka mashtaka na kusema alikutana na Diddy mwaka 1994 alipokuwa amehudhuria maonyesho ya nguo. Diddy alimlewesha na kumbaka huku akimuahidi angemuingiza kwenye masuala ya urembo.

JULAI 3, 2024
Adria English, mcheza filamu za ngono anasema Diddy alimtumikisha kingono mwanzoni mwa miaka 2000.

SEPTEMBA 24, 2024
Thalia Graves anasema Diddy na mlinzi wake walimbaka kwenye studio za Bad Boys. Anaendelea kusema kwamba alipewa wine ikiwa na kilevi, alipokunywa, akajisikia kizunguzungu na kulala. Alipoamka akajikuta amevungwa kamba huku wawili hao wakiwa wamembaka vya kutosha
.

Elimika🧠(LEARN WITH US)

21 Sep, 07:06


Je wajua
Pilipili husaidia kurejesha kumbukumbu na muda mwingine huwa zinatumika kama dawa kutibu ugonjwa wa Alzheimer ambao muathirika hupoteza kumbukumbu

Elimika🧠(LEARN WITH US)

16 Sep, 09:51


Hii ndiyo Dares salaam iliyokuwa na mabasi ya Gorofa mabasi hayo yaliishia mwaka 1967
Njia zilikuwa yalikuwa yakianzia stesheni na kupita barabara ya Kichwele kwa sasa Uhuru hadi Ilala Hostel (Alabama) kwa sasa shule ya viziwi Buguruni ilikuwa nyang'anyang'a
Kwa upande wa magomeni yalikuwa yanapita barabara ya Morogoro hadi magomeni mapipa
Sehemu zingine za miji ilikuwa sio muafaka kwa kwenda mabasi
hayo

Elimika🧠(LEARN WITH US)

16 Sep, 09:19


*Vodacom today packages*
Gb15-20000
GB 34 - 35000
GB 20 DAKIKA NA SMS- 30,000
GB64 -55,000
GB 80 -70,000
GB 120- 90,000

MaLIPO KABLA YA KAZI
MCHEKI HUYU 👇👇


https://wa.me/255628314490

Elimika🧠(LEARN WITH US)

15 Sep, 20:20


Wanasayansi wameumaliza mjadala wa mda mrefu usiokua na jibu wa "JE KUKU NA YAI KIPI KILITANGULIA?!"
Wanasayansi wanajibu kuku ndiye aliyeanza kwasababu protini inayotumika kutengenezea gamba la yai (eggshell) hutoka kwa kuku pekee

Hao ni wanasayansi wewe unasemaje??

Elimika🧠(LEARN WITH US)

11 Sep, 21:16


Huu ni ugonjwa adimu sana wa kurithi kwa kiingereza unafahamika kwa jina la STONE MAN SYNDROME(fibrodysplasia ossificans progressiva).

Ni ugonjwa ambao misuli na tissue ndani ya mwili hubadilika taratibu ndani ya muda na kugeuka mifupa
Swala ambalo huleta ugumu kwenye mjongeo(movement) muathirika mwisho hushindwa kabisa kutembea au kutikisika muda mwingine ugonjwa huu husababisha kifo

HAKUNA TIBA YA UGONJWA HUU

Elimika🧠(LEARN WITH US)

08 Sep, 12:58


Lisa Knofel alikuwa mfanyakazi wa kazi za kijamii kipindi alicho mchukua binti wa miaka 16 aliyeitwa Sabrina na kuanza kuishi naye huko Willoughby, Ohio. Alikuwa akiishi na mumewe, Kevin Knoefel.

Mwaka 2012 akagundua kwamba Lisa alikuwa akitoka kimapenzi na mumewe aliyekuwa akifanya kazi kama dereva wa magari makubwa.
Kevin akaamua kumlaghai Sabrina amuue mkewe, Lisa. Alimwambia angempa pesa kiasi cha dola laki nane. Kwa pesa nyingi hivyo, msichana huyo akakubali.

Novemba 16, 2012, Sabrina akavaa kinyago na kumfuata Lisa chumbani na kumchoma kisu mara 200. Alimchoma kisu mwili mpaka kikapinda.
Binti yake Lisa mwenye miaka 13 aliliona tukio hilo na kupiga namba 911. Sabrina akakamatwa na kupelekwa mahakamani.

Akiwa mahakamani, Sabrina hakutaka kuficha kitu, alielezea kila kitu na hivyo mwanaume huyo kukamatwa na wote kuhukumiwa kifungo cha maisha gerezani.

NB: Siku Lisa alipoamua kumchukua sabrina na kumlea ndiyo siku ambayo aliamua kukichukua kifo chake na kuishi nacho ndani.

Elimika🧠(LEARN WITH US)

08 Sep, 12:57


GOOD NEWS
💥💥💥💥💥💥💥💥🌄🌄🌄 ✍️✍️✍️💥
Wiki mbili(siku14)* HALOTEL

Gb05-6,000
Gb06-7000
Gb07-8000
Gb08-9000
Gb09-9500
Gb10-10000

Halotel mwezi*
Gb15-15000
Gb18-18,000
Gb20-20,000
Gb24-24,000
Gb26-26,000


Gb25-25,000
GB28-26000
GB30-28,000
Gb35-32,000
Gb38-35,000
Gb45-40,000
Gb50-45000
GB60-50,000

Kwa mawasiliano gusa link hapa https://wa.me/255628314490

NB:HUDUMA NI UHAKIKA MALIPO NI KABLA YA KAZI💯

Elimika🧠(LEARN WITH US)

05 Sep, 19:49


Ndani ya Pyramid kuna vyumba (vyemba) vilivyo jengwa juu, chini ya pyramid, kuna milango kama huo hapo kwenye picha ambao haujulikani unafunguliwaje na ndani ya chumba hicho kuna nini?

Maduara meusi unayo ona ni matobo ambayo kamera imepenyezwa kuona kuna nini ndani. Walichoona ni mlango mwingne kama huo. Hakuna kibali kilichotolewa kuendelea kufanya utafiti kujua kuna nini ndani. Ni kipi tunacho ogopa??