VIPEPERUSHI NA NUKUU ZA KIELIMU.

@vipeperushivyakielimutz


HAPA UTAJIPATIA VIPEPERUSHI NA NUKUU ZA KIELIMU, KUTOKA KATIKA MANENO YA WANACHUONI WA KISALAFI NA MFANO WAKE AMBAZO ZIMETAFSIRIWA KATIKA LUGHA YA KISWAHILI.


•═JIUNGE NASI-JIFUNZE-TAWANYA KWA WENGINE═•

VIPEPERUSHI NA NUKUU ZA KIELIMU.

21 Oct, 19:51


KUHIFADHI ITIKADI YETU.

قال العلامة صالح الفوزان حفظه الله:

Amesema Shekh Swaaleh Alfawzaan- Allah amhifadhi:-


أغلى شيء عندنا هو عقيدتنا فعلينا أن نحافظ عليها؛ بتعلمها، وتعليمها، والدعوة إليها، والمحافظة عليها، لا سعادة لنا، ولا فلاح لنا إلا بذلك.


"Kitu kilichokua ghali zaidi kwetu sisi ni aqida yetu -itikadi yetu- basi ni juu yetu sote kuiihifadhi, kwa kujifundisha na kuifundisha na kuilingania na kuihifadhi.
Hakuna furaha -utukufu- kwetu sisi wala kufaulu isipokuwa kwa hilo -lakuhifadhi aqida yetu.


لقاء بجامع الرحمانية (٢٩ رجب ١٤٤٠هـ)


Abuu Maysarah' Saalim
.

https://t.me/vipeperushivyakielimuTZ

VIPEPERUSHI NA NUKUU ZA KIELIMU.

21 Oct, 19:50


UJASIRI KATIKA KUITETEA SUNNA NA WATU WAKE.


قال الإمام مقبل بن هادي الوادعي​ ​رحمه الله تعالى :​-

Amesema Imaam Muqbil bin Haadiy Alwaadiy- Allah amrehemu:-

​" عرضي ودمي ومالي فداءً لأهل السنة فأي واحد يتكلم في أهل السنة ويحذر منهم فأخبروني به"

"Heshima yangu, damu yangu, mali zangu ni fidia kwa watu wa sunna. Basi yeyote atakayewazungumza watu wa sunna na akawatahadharisha -bila ya haki- nijulisheni mtu huyo".

البشائر في السماع المباشر ص :  (٣٦)



Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan


https://t.me/vipeperushivyakielimuTZ

VIPEPERUSHI NA NUKUU ZA KIELIMU.

21 Oct, 19:50


KUWACHUKIA NA KUWAHAMA WATU WA BIDAA NI KATIKA DINI.


قال العلامة زيد بن محمد المدخلي  رحمه الله تعالى :-

Amesema Mwanachuoni Zayd bin Muhammad Almad-khaliy- Allah amrehemu:-


" ومن هجر المبتدع فليس بآثم وليس بملوم بل هو مأجور لأنه غضب لله وسخط عليهم من أجل الله تبارك وتعالى لمخالفتهم دينه وجماعة المسلمين في كثير من أحكام العقيدة والمنهج"

"Na atakayemuhama mtu wa bidaa sio mwenye kupata madhambi wala mwenye kulaumiwa, bali ni mwenye kupata ujira kwa sababu amechukia kwa ajili ya Allah na amewachukia juu yao kwa ajili Allah mwenye baraka na utukufu kwa kwenda kwao kinyume na dini yake na umoja wa waisilamu katika mengi miongoni mwa hukmu za akida na manhaj"

عون الأحد الصمد ج ٢ / ص : (٣٣٤)


Abuu Maysarah' Saalim

https://t.me/vipeperushivyakielimuTZ

VIPEPERUSHI NA NUKUU ZA KIELIMU.

21 Oct, 19:49


KUPENDA KWA AJILI YA ALLAH NA KUJITENGA KWA AJILI YA ALLAH.

قال العلامة صالح آل الشيخ حفظه الله تعالى :-

Amesema Mwanachuoni Swaaleh Al Shaykh - Allah amhifadhi:-


" أصل الدين الذي هو معنى لا إله إلا اللَّه : الولاء والبراء الولاء للمؤمنين وللإيمان والبراءة مِنَ المشركين والشرك ..

"Msingi wa dini ambao ndio maana ya 'Hapana muabudiwa apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah' ni Kupenda/ kufanya marafiki na kujitenga.
Kuwafanya marafiki / kuwapenda waumini na Imani na kujitenga kutokana na washirikina na shirki".


شرح الأصول الثلاثة ص : (۳۸)


Abuu Maysarah' Saalim
.

https://t.me/vipeperushivyakielimuTZ

VIPEPERUSHI NA NUKUU ZA KIELIMU.

20 Oct, 12:53


HAKUNA UBAYA KUMUOMBA ALLAH ATENGENEZE MAISHA YAKO.


قال الشيخ العثيمين -رحمه الله- :

Amesema Shekh Uthaymiin- Allah amrehemu:-

" لا حرج على الإنسان أن يسأل الله تعالى إصلاح معاشه لقول النبيﷺ :
(وأصلح لي دنياي التي فيها معاشي) وكل إنسان يريد أن تصلح دنياه؛ لأنها لو فسدت لكان ذلك سبباً في فساد دينه؛ ولأن الإنسان إذا اشتغل بتحصيل معاشه فربما يصده عن أشياء كثيرة من الدين ".


"Hakuna shida/ uzito/ ubaya kwa mwanaadamu kumuomba Allah aliyekuwa juu kumtengenezea maisha yake, kwa kauli ya mtume swala na salamu za Allah ziwe juu yake:-
"Na unitengenezee dunia yangu ambayo ndani yake kuna maisha yangu"
Na kila mwanadamu anataka itengenezeke dunia yake, kwa sababu lau kama itaharibika hilo litakuwa ni sababu ya kuharibika dini yake.
Na kwa sababu mwanadamu  anapojishughulisha kwa kutafuta maisha yake basi huenda hilo likamzuia na vitu vingi katika dini yake."


|[ شرح بلوغ المرام ( 15/548‎) ]|
          ●•┈┈•••✹✺✹•••┈┈•●



Abuu Maysarah' Saalim
bin Ramadhaan


https://t.me/vipeperushivyakielimuTZ

VIPEPERUSHI NA NUKUU ZA KIELIMU.

20 Oct, 12:30


MADENI NI HUZUNI WAKATI WA USIKU NA UDHALILI WAKATI WA MCHANA.


الدَّين لا ينبغي تحمله إلا من ضرورة؛ لما فيه من شغل القلب بفنائه، والهم في قضائه، والتذلل للغريم عند لقائه؛ ففي
(الصحيحين) أن النبي-صلى الله عليه وسلم- كان يدعو في الصلاة: (اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنَ الْمَأْثَمِ وَالْمَغْرَمِ. فَقَالَ لَهُ قَائِلٌ: مَا أَكْثَرَ مَا تَسْتَعِيذُ مِنَ الْمَغْرَمِ ؟! فَقَالَ: إِنَّ الرَّجُلَ إِذَا غَرِمَ [أي: استدان] حَدَّثَ فَكَذَبَ،وَوَعَدَ فَأَخْلَفَ)

Amesema Shekh Feyswal Alhaashidiy- Allah amhifadhi.

"Deni halifai kulibeba isipokuwa wakati wa dharura. Kutokana na kuushughulisha moyo wakati wa kulitekeleza ili liishe, na huzuni wakati wa kulilipa kwake na kujidhalilisha kwa aliyekukopesha wakati wa kukutana nae.

Katika swahihi mbili (Bukhaary na Muslim)  Alikuwa mtume swala na salamu za Allah ziwe juu yake akiomba katika swala:-

"Ewe Allah hakika ya mimi nataka hifadhi kwako kutokana na madhambi na madeni" akasema mtu mmoja kumuuliza -mtume-  "Kwanini unakithirisha kutaka hifadhi kutokana na madeni?"  akasema "Hakika mtu anapokopeshwa -anapokuwa na madeni- anazungumza na anasema uongo, na anaahidi kisha anaenda kinyume".

فيصل الحاشدي


Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan.


https://t.me/vipeperushivyakielimuTZ

VIPEPERUSHI NA NUKUU ZA KIELIMU.

20 Oct, 12:10


MTU AKIJUA KUWA KIPATO CHA BABA YAKE KINATOKANA NA MALI YA HARAMU JE, ITAFAA KULA CHAKULA CHA BABA YAKE?


ﺳﺌﻞ اﻟﺸﻴﺦ العلامة اﺑﻦ ﻋﺜﻴﻤﻴﻦ ﺭﺣﻤﻪ اﻟﻠﻪ: ﺭﺟﻞ ﻋﻠﻢ ﺃﻥ ﻣﺼﺪﺭ ﺃﻣﻮاﻝ ﺃﺑﻴﻪ ﻣﻦ اﻟﺤﺮاﻡ، ﻓﻬﻞ ﻳﺄﻛﻞ ﻣﻦ ﻃﻌﺎﻡ ﺃﺑﻴﻪ؟ ﻭﺇﺫا ﻟﻢ ﻳﺄﻛﻞ ﻣﻦ ﻃﻌﺎﻡ ﺃﺑﻴﻪ ﻓﻬﻞ ﻳﻜﻮﻥ ﺫﻟﻚ ﻣﻦ اﻟﻌﻘﻮﻕ؟

Aliulizwa swali Shekh Uthaymiin - Allah amrehemu-
Mtu amejua kuwa chimbuko la mali za baba yake linatokana na mali za haramu Je, itafaa kwake  kula chakula cha baba yake? Na pindi asipokula katika chakula hiko cha baba yake Je atakuwa katika kukata udugu?


ﻓﺄﺟﺎﺏ:
"اﻟﺮﺟﻞ اﻟﺬﻱ ﻋﻠﻢ ﺃﻥ ﻣﺎﻝ ﺃﺑﻴﻪ ﻣﻦ اﻟﺤﺮاﻡ ﺇﻥ ﻛﺎﻥ ﺣﺮاﻣﺎ ﺑﻌﻴﻨﻪ، ﺑﻤﻌﻨﻰ: ﺃﻧﻪ ﻳﻌﻠﻢ ﺃﻥ ﺃﺑﺎﻩ ﺳﺮﻕ ﻫﺬا اﻟﻤﺎﻝ ﻣﻦ ﺷﺨﺺ ﻓﻼ ﻳﺠﻮﺯ ﺃﻥ ﻳﺄﻛﻠﻪ، ﻟﻮ ﻋﻠﻤﺖ ﺃﻥ ﺃﺑﺎﻙ ﺳﺮﻕ ﻫﺬﻩ اﻟﺸﺎﺓ ﻭﺫﺑﺤﻬﺎ ﻓﻼ ﺗﺄﻛﻞ، ﻭﻻ ﺗﺠﺐ ﺩﻋﻮﺗﻪ، ﺃﻣﺎ ﺇﺫا ﻛﺎﻥ اﻟﺤﺮاﻡ ﻣﻦ ﻛﺴﺒﻪ ﻳﻌﻨﻲ: ﺃﻧﻪ ﻫﻮ ﻳﺮاﺑﻲ ﺃﻭ ﻳﻌﺎﻣﻞ ﺑﺎﻟﻐﺶ ﺃﻭ ﻣﺎ ﻳﺸﺎﺑﻪ ﺫﻟﻚ، ﻓﻜﻞ، ﻭاﻹﺛﻢ ﻋﻠﻴﻪ ﻫﻮ.
، ﻭﺩﻟﻴﻞ ﻫﺬا: ﺃﻥ اﻟﻨﺒﻲ ﺻﻠﻰ اﻟﻠﻪ ﻋﻠﻴﻪ ﻭﻋﻠﻰ ﺁﻟﻪ ﻭﺳﻠﻢ ﺃﻛﻞ ﻣﻦ ﻣﺎﻝ اﻟﻴﻬﻮﺩ ﻭﻫﻢ ﻣﻌﺮﻭﻓﻮﻥ ﺑﺄﺧﺬ اﻟﺮﺑﺎ ﻭﺃﻛﻞ اﻟﺴﺤﺖ، ﺃﻫﺪﺕ ﺇﻟﻴﻪ ﻳﻬﻮﺩﻳﺔ ﺷﺎﺓ ﻓﻲ ﺧﻴﺒﺮ ﻣﺴﻤﻮﻣﺔ ﻟﻴﻤﻮﺕ، ﻭﻟﻜﻦ اﻟﻠﻪ ﻋﺼﻤﻪ ﻣﻦ ﺫﻟﻚ ﺇﻟﻰ ﺃﺟﻞ ﻣﺴﻤﻰ. ﻭﺩﻋﺎﻩ ﻳﻬﻮﺩﻱ ﺇﻟﻰ ﺧﺒﺰ ﺷﻌﻴﺮ ﻭﺇﻫﺎﻟﺔ ﺳﻨﺨﺔ (ﺃﻱ: ﺩﻫﻦ ﻣﺘﻐﻴﺮ اﻟﺮاﺋﺤﺔ) ﻓﺄﺟﺎﺑﻪ ﻭﺃﻛﻞ، ﻭاﺷﺘﺮﻯ ﻣﻦ ﻳﻬﻮﺩﻱ ﻃﻌﺎﻣﺎ ﻷﻫﻠﻪ ﻭﺃﻛﻠﻪ ﻫﻮ ﻭﺃﻫﻠﻪ، ﻓﻠﻴﺄﻛﻞ ﻭاﻹﺛﻢ ﻋﻠﻰ ﻭاﻟﺪﻩ "

Akajibu;
Mtu ambaye amejua kuwa mali za baba yake ni mali za haramu ikiwa ni haramu kwa aina yake -dhati ya hiyo mali- kwa maana amejua kuwa baba yake ameiba hiyo mali kutoka kwa mtu fulani haijuzu kwake kula mali hiyo.

Lau ukijua kuwa baba yako ameiba huyu Mbuzi na akamchinja basi usile na wala usijibu mualiko wake.
Ima ikiwa ni haramu katika uchumaji wake yani kama awe anakula riba au anafanya udanganyifu -katika biashara zake na anachanganya baina ya halali na haramu- au yanayofanana na hayo basi hapo kula na dhambi itakuwa juu yake.

Na dalili juu ya hilo ni kuwa mtume swala na salamu za Allah ziwe juu yake alikula katika mali za myahudi na wao mayahudi ni maarufu kwa kula riba, na kula mali za haramu. Alimpa zawadi ya nyama ya mbuzi katika Khaybara ambayo ina sumu ili afe lakini Allah alimkinga kutokana na hilo mpaka wakati maalumu.
Na alialikwa na Myahudi -kula - katika mkate wa shairi na mchuzi uliokuwa umebadilika harufu yake -unaelekea kuharibika- akaitikia mualiko huo na akala.
Na alinunua chakula kutoka kwa myahudi kwa ajili ya watu wake na akala yeye na watu wake -familia yake,
Basi -mtu ale katika chakula cha baba yake- na madhambi yatakuwa kwa mzazi wake".
Na Allah ndio mjuzi


اﻧﺘﻬﻰ ﻣﻦ "ﻟﻘﺎء اﻟﺒﺎﺏ اﻟﻤﻔﺘﻮﺡ" (188/13) .


Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan



https://t.me/vipeperushivyakielimuTZ

VIPEPERUSHI NA NUKUU ZA KIELIMU.

20 Oct, 12:08


RAHA.

Aliulizwa Imaam Ahmad - Allah amrehemu;

Lini utapata raha?

akasema;
"Wakati ambao naweka unyayo wa mwanzo katika pepo".

طبقات الحنابلة


Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan



https://t.me/vipeperushivyakielimuTZ

VIPEPERUSHI NA NUKUU ZA KIELIMU.

20 Oct, 12:07


RAHA.

Amesema Thaabit bin Qurra Allah amrehemu:-

(Raha ya mwili ipo katika kula chakula kidogo -chenye kutosheleza-. Na raha ya roho ipo katika uchache wa madhambi. Na raha ya ulimi ipo katika uchache wa mazungumzo)

زاد المعاد لابن القيم


Abuu Maysarah' Saalim



https://t.me/vipeperushivyakielimuTZ

2,285

subscribers

3,380

photos

269

videos