FOREX SIGNALS TZ

@forexclub_tanzania


FOREX CLASS
Transforming Lives๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

FOREX SIGNALS TZ

12 Oct, 04:43


1000$ to 8597$

FOREX SIGNALS TZ

03 Oct, 17:19


Trade to withdraw

FOREX SIGNALS TZ

04 Aug, 19:48


Niko kimya kwasabab nimeamishia nguv kweny darasa.

Nitaendelea na signals kwanzia leo. Asant

FOREX SIGNALS TZ

02 Aug, 04:20


Watu washaingia kwenye Memebank๐Ÿ˜‚.
Hamkomi Ya MTFE

FOREX SIGNALS TZ

27 Jul, 11:06


I teach Forex at great cost so that I can keep up with reality. Nikisema nifundishe kwa Tsh. 150K kama wengine huko mtandaoni nitapata watu wengi sana ioa SITOKAMILISHA JUKUMU LANGU

FOREX SIGNALS TZ

27 Jul, 11:03


mtandaoni yanasemwa mengi sana. kiasi cha kwamba nimechoka kufatilia yote yanaanzia wapi. kila mtu anataka aonekane ananijua sana na kutoa maoni yake. forex trade inarisk kubwa sana na inafaa kila mtu ajifunze, huwezi kununua gari na hujajifunza utakekuendesha! na hata utakaempa akuendesheee gari lako, akipata majanga utaishia kulalamika lakini kisheria sidhani kama utamfanya kitu. nasisitiza traders, tuendelee kujifunza forex kwa gharama yoyote

FOREX SIGNALS TZ

19 Jul, 06:43


No reactions ๐Ÿ˜‚

FOREX SIGNALS TZ

19 Jul, 06:40


ready?

FOREX SIGNALS TZ

01 Jul, 07:01


Nilitangaza Tutafanya Challenge ya kuitoa 200$ mpaka 1000$ ndan ya siku Tano.


Yani, kupitia forex trade tupandishe 560,000tsh mpaka 2,800,000.

Nlitangaza tutaanza leo. Shuhudia maokoto ndugu watazamaji. Lakin kwa wale ambao wanashiriki challenge, lets print some money

FOREX SIGNALS TZ

01 Jul, 06:38


CHALLENGE STARTED ๐Ÿ˜˜

FOREX SIGNALS TZ

29 Jun, 08:09


Channel name was changed to ยซFOREX SIGNALS TZยป

FOREX SIGNALS TZ

29 Jun, 08:09


Karibu kwenye ๐—™๐—ข๐—ฅ๐—˜๐—ซ ๐—ฆ๐—œ๐—š๐—ก๐—”๐—Ÿ๐—ฆ ๐—ง๐—ญ! Tunafurahi kukuona ๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—ท๐—ถ๐˜‚๐—ป๐—ด๐—ฎ hapa.

Hapa utapata:
Mafunzo na Mwongozo: Tutakusaidia kuelewa misingi ya biashara ya forex na mikakati bora.
1.Mawazo na Uchambuzi wa Biashara: Tutaangazia fursa muhimu za biashara na uchambuzi wa kina wa soko.

2.Msaada wa Moja kwa Moja: Jiunge na mazungumzo na watumiaji wengine, uliza maswali, na pata msaada kutoka kwa wataalamu wetu.

3. Habari na Matukio ya Soko: Pata habari za hivi karibuni na matukio muhimu yanayoathiri soko la forex.

Tunathamini ushirikiano wako na tunakaribisha maoni yako. Tafadhali jisikie huru kushiriki mawazo yako na kuuliza maswali yoyote.

Karibu sana na tuanze safari yetu ya mafanikio kwenye soko la forex pamoja!

FOREX SIGNALS TZ

27 Jun, 11:12


Look GOLD

FOREX SIGNALS TZ

27 Jun, 10:26


PESA ZIMEANZA KUTOKA VAULT MARKET JAPO KDGO KIDGO SANA๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜‚

FOREX SIGNALS TZ

27 Jun, 08:15


๐ŸŽ—๏ธGold Sell 2301/2306

๐ŸŽฏTP : 2298
๐ŸŽฏTP : 2295
๐ŸŽฏTP : 2291
๐Ÿ’ขSL : 2311

๐Ÿ‘จโ€๐Ÿ’ปMoney Managment๐Ÿ”ฐ
For Account Managements DM โคต๏ธ
โœ…๏ธ

FOREX SIGNALS TZ

26 Jun, 08:13


GOLD SELL ZONE (2314-2316)

TP1: 2312.5
TP2: 2310

STOP LOSS: 2318

FOREX SIGNALS TZ

25 Jun, 06:13


GOLD BUY NOW SLOWLY (2324-2322)

TP1: 2325.5
TP2: 2327

STOP LOSS: 2320

FOREX SIGNALS TZ

23 Jun, 11:38


MIMI NINA RULES ZANGU. SAWA! IWE UMELIPIA HUDUMA. AMA HUJALIPIA

Ukiwa msumbuf utaambulia Kuwa blocked... mtu anapiga simu saa saba usiku. Mwingne weekend!!!!! Tena Jumapili, kwa sina Mungu ama!




Perceptions

FOREX SIGNALS TZ

22 Jun, 11:32


Kuna Traders mnazingua


Mtu anaenda kukopa ela kubwa af mdhamana ananieka mimi. Aisee๐Ÿ˜‚